Watoto wanaochukua mfanano wa mama zao au wajomba zao; sisi baba zao huwa tunakuwa katika wakati mgumu sana

Watoto wanaochukua mfanano wa mama zao au wajomba zao; sisi baba zao huwa tunakuwa katika wakati mgumu sana

Usilee NIDA ya mutu braza.
Wajomba wengi ndio wazaz wa watoto kwenye ndoa zenu.
FB_IMG_16646613623086734.jpg
 
Mwezi wa 10 tampokea first born wangu .jembe lazma lichukue ata kisogo Changu asee DNA ya familia
hii [emoji81]
Angalia usije ukafanya mauaji, pale atakapofanana na wajomba zake
 
Kawaida mkuu katika watoto wote mimi ndo sijafanana na mzee wangu mamaangu aliamua kujipiga copy kuna kipindi mzee Alikuwa anapenda sana kutembea na mimi akikutana na mtu anamjua ananitambulisha kuwa mimi mwanae kilichokuwa kinamshangazi watu wakawa wanamkatalia kuwa mbona hujafananae huyu mtoto kabsa hapo ndo mzee alipokuwa anachanganyikiwa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom