Watoto wanaochukua mfanano wa mama zao au wajomba zao; sisi baba zao huwa tunakuwa katika wakati mgumu sana

Watoto wanaochukua mfanano wa mama zao au wajomba zao; sisi baba zao huwa tunakuwa katika wakati mgumu sana

''As for the resemblance of the child to its parents: If a man has sexual intercourse with his wife and gets discharge first, the child will resemble the father, and if the woman gets discharge first, the child will resemble her." inaweza kuwa jibu
Sahih Muslim 311

Anas b. Malik reported that Umm Sulaim narrated it that she asked the Messenger of Allah (ﷺ) about a woman who sees in a dream what a man sees (sexual dream). The Messenger of Allah (may peace be upon bi m) said:
In case a woman sees that, she must take a bath. Umm Sulaim said: I was bashful on account of that and said: Does it happen? Upon this the Messenger of Allah (ﷺ) said: Yes (it does happen), otherwise how can (a child) resemble her? Man's discharge (i. e. sperm) is thick and white and the discharge of woman is thin and yellow; so the resemblance comes from the one whose genes prevail or dominate
 
Mtume Muhammad (pece be upon him) alishayajibu haya maswali miaka 1400 iliyopita kabla hata ya ujio wa modern science. Sasa hivi wanaojiita wanasayansi ndio wanakuja kuthibitisha yale yaliyosemwa na Mtume wa Mungu miaka 1400 iliyopita
 
Mungu ameniepusha na kikombe hicho! Vyuma vyote ukiviona na mimi, huulizi[emoji2956]
 
Mtoto lazima afanane na baba yake..nje ya hapo unalea mtoto wa mwanaume mwenzako..no matter utafarijiwa sijui DNA, sijui gene, sijui sura ya Babu...uyo sio mtoto wako!!!

Mtoto kama hafanani na ww basi amefanana na baba yake..kama humjui muulize vizuri mke wako
_______________________________________________
Nimepigia mstari[emoji41]
_______________________________________________
 

Volume 7, Book 63, Number 225:
Narrated Abu Huraira:
A man came to the Prophet and said, "O Allah's Apostle! A black child has been born for me." The Prophet asked him, "Have you got camels?" The man said, "Yes." The Prophet asked him, "What color are they?" The man replied, "Red." The Prophet said, "Is there a grey one among them?' The man replied, "Yes." The Prophet said, "Whence comes that?" He said, "May be it is because of heredity." The Prophet said, "May be your latest son has this color because of heredity."
 
Ukiona mtoto hafanani na wewe jua kuwa ulipokutanana na huyo mwanamke ulichelewa kumwaga kabla yake. Anayewahi kumwaga (kufika mshindo) pindi mume na mke wanapokutana ndio hupelekea mtoto kufanana nae.
Mke wangu alitangulia kumwaga mambao ma2 yote..lkn toto limetoka mm kabsa yaan!
 
ni matukio ya kawaida katika jamii hayajaanza leo sema ulimwengu wa sasa hauna uvumilivu wa kutunza siri.
kuna kabila fulani wanawake walisema kuwa katika watoto labda saba wawili wanaweza kuwa wa baba tofauti ili kuongeza breed mpya kwenye familia na kingine iwapo iwapo ikatokea uchawi kwenye familia ikaua watoto wa ukoo mmoja hawa wawili wanaweza kupona na familia ikaendelea kuwa na furaha.
kingine iwapo watoto au ukoo una watoto wanachangamoto mama anaweza kuchanganya
vinginevyo kwa mjini shida(tamaa) zao kikakatikia akaogopa kutoa mtoto akazaliwa!
 
Hapo haina aja ya kupima DNA, inshort umepigwa sana mkuu... Shauri yako

Mtoto lazima afanane na baba hata kope tuu kama hivyo vingine hataki kufanana na wewe .
amini na kwambia.
 
Unakuta mtoto hana mfanano wowote kwa upande wa baba au ndugu za baba yake; wengi sisi wababa huwa tunahisi, tumepigwa na kitu kizito kichwani.

Ingawa waswahili wanasema kitanda hakizai haramu; lakini kutokuwa na mfanano wowote huwa inatutesa sana.

Wakuu, hili huwa mnalichukuliaje?​
Pole mkuu. Lea tu
 
Unakuta mtoto hana mfanano wowote kwa upande wa baba au ndugu za baba yake; wengi sisi wababa huwa tunahisi, tumepigwa na kitu kizito kichwani.

Ingawa waswahili wanasema kitanda hakizai haramu; lakini kutokuwa na mfanano wowote huwa inatutesa sana.

Wakuu, hili huwa mnalichukuliaje?​

Ushapigwa, huwezi kosa kitu kimoja unachofanana na mwanao, kata kucha, any unique feature
 
Kuna mtu aliniambia shahawa za ukubwani above 30 zinapungua nguvu ya kufananisha mtoto na baba yake

Tofauti na shahawa za ujanani under 30

Nikacheka sana hoja yake
Bora ata umecheka,
Mzee wangu kaanza kupata watoto wake akiwa 36 years. Tuko wanne kwetu. Mmoja tuu ndo kafanana na mama,wengine baba.
 
Back
Top Bottom