Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #61
Naona jibu la kitabu kitakatifu, liko sahihiWataalam watakujibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona jibu la kitabu kitakatifu, liko sahihiWataalam watakujibu
Sahih Muslim 311''As for the resemblance of the child to its parents: If a man has sexual intercourse with his wife and gets discharge first, the child will resemble the father, and if the woman gets discharge first, the child will resemble her." inaweza kuwa jibu
_______________________________________________Mtoto lazima afanane na baba yake..nje ya hapo unalea mtoto wa mwanaume mwenzako..no matter utafarijiwa sijui DNA, sijui gene, sijui sura ya Babu...uyo sio mtoto wako!!!
Mtoto kama hafanani na ww basi amefanana na baba yake..kama humjui muulize vizuri mke wako
Narrated Abu Huraira:
A man came to the Prophet and said, "O Allah's Apostle! A black child has been born for me." The Prophet asked him, "Have you got camels?" The man said, "Yes." The Prophet asked him, "What color are they?" The man replied, "Red." The Prophet said, "Is there a grey one among them?' The man replied, "Yes." The Prophet said, "Whence comes that?" He said, "May be it is because of heredity." The Prophet said, "May be your latest son has this color because of heredity."
Alisema mtoto anafanana na mjomba wake[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji1787][emoji1787][emoji1787] qummaaninnah!Usilee NIDA ya mutu braza.
Wajomba wengi ndio wazaz wa watoto kwenye ndoa zenu.
View attachment 2623176
Mke wangu alitangulia kumwaga mambao ma2 yote..lkn toto limetoka mm kabsa yaan!Ukiona mtoto hafanani na wewe jua kuwa ulipokutanana na huyo mwanamke ulichelewa kumwaga kabla yake. Anayewahi kumwaga (kufika mshindo) pindi mume na mke wanapokutana ndio hupelekea mtoto kufanana nae.
Kweli kabisa.Kwa namna yeyote Ile "lazima" mtoto awe na ufanano wowote ule na baba yake.
Hapo alafu unakuta la mama kakuletea shombeshombe...Yan mm niwe na mwanya niwe na dimpo pua kubwa alaf mtoto wangu akose kati ya ivo Aweeeeeee
Pole mkuu. Lea tuUnakuta mtoto hana mfanano wowote kwa upande wa baba au ndugu za baba yake; wengi sisi wababa huwa tunahisi, tumepigwa na kitu kizito kichwani.
Ingawa waswahili wanasema kitanda hakizai haramu; lakini kutokuwa na mfanano wowote huwa inatutesa sana.
Wakuu, hili huwa mnalichukuliaje?
Unakuta mtoto hana mfanano wowote kwa upande wa baba au ndugu za baba yake; wengi sisi wababa huwa tunahisi, tumepigwa na kitu kizito kichwani.
Ingawa waswahili wanasema kitanda hakizai haramu; lakini kutokuwa na mfanano wowote huwa inatutesa sana.
Wakuu, hili huwa mnalichukuliaje?
Bora ata umecheka,Kuna mtu aliniambia shahawa za ukubwani above 30 zinapungua nguvu ya kufananisha mtoto na baba yake
Tofauti na shahawa za ujanani under 30
Nikacheka sana hoja yake
Wanasemaga mtoto kufanana na wajomba ni barakaAlisema mtoto anafanana na mjomba wake[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji1787][emoji1787][emoji1787] qummaaninnah!
Si ndio wanakua wamesha mbarikia mkeo[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Wanasemaga mtoto kufanana na wajomba ni baraka