Watoto wetu wa Siku hizi 'wamerogwa' au 'wamelaaniwa' na nani hasa kimalezi, kiuwajibikaji na kimaadili?

Watoto wetu wa Siku hizi 'wamerogwa' au 'wamelaaniwa' na nani hasa kimalezi, kiuwajibikaji na kimaadili?

Asee kuna binti wa miaka 6 nmemkuta mahali anayweshwa uji akisubiri school bus! Ilibidi niulize, anaumwa? Kavunjika mikono? Mama ake akadakia eti "fulani anadeka huyo.. mwache tu anyweshwe huo uji akisubiri school bus" STUPID!


Mwingine ana miaka 8 eti anaogeshwa halafu akimaliza kuogeshwa umbebe..!
Shubahmit!!!
 
Bebi nikirudi nataka kula samaki...
Polish_20220120_135510880.jpg
 
POST HII INAFAA UKURASA WA MAHUSIANO.
Ni post hii au thread hii? Ina maana kwa Umri wako huo mkubwa na Elimu yako ya Kitanzania mpaka leo hujajua kutofautisha kati ya Post na Thread hasa ukiwa hapa JamiiForums?
 
Wazazi wa siku hizi wengi wetu ni malimbukeni utawasikia sitaki mwangu apitie suluba nilizopitia kumbe ndio kuharibu kizazi hiki halafu watoto wanawaombea wafa[emoji1663]
 
Back
Top Bottom