Watu 10 maarufu zaidi kuwahi kutokea duniani

Swala la kumuweka Messi na Ronaldo ukamuacha Mwamba Osama Bin Laden ambaye hata waliokuwa wapendi Mpira wa enzi au sio wafuasi wa Dini walikuwa wanamjua
 
Swala la kumuweka Messi na Ronaldo ukamuacha Mwamba Osama Bin Laden ambaye hata waliokuwa wapendi Mpira wa enzi au sio wafuasi wa Dini walikuwa wanamjua
Wapo wengi sana mkuu. Sio osama peke ake kuna wakina malkia elizabeth, mr.bean n.k nao hawapo. Hakuna list itatajwa bila watu kuhoji mbona fulani na fulani hayupo
 
Umemsahau "Joseph Pombe Magufuli"
 
Mtume S.A.W na Yesu hao wapo zaidi kiimani ,kuwaweka na watu ambao % kubwa wamewaona ni kama kudhoofisha imani za watu wanaowaamini.

Yesu alizaliwa miaka 2030 iliyopita na Mtume alizaliwa miaka 1456 iliyopita ,hii ina maana hakuna mtu hata mmoja anayeweza kudhibitisha uwepo wao kwa 100% zaidi ya kiimani zaidi tofauti na hawa kina Bob Marley , Hitler ,Messi ambao watu wengi wamewashuhudia na video zao halisi zipo na wamezaliwa wengi miaka 80 - 100 iliyopita.
 
MUNGU huyu kitu hadi dunia itaisha atazid kuwa maarufu
 
Huyo Yesu na Mudi si watu.

Ni fictional characters wa kwenye hekaya za Biblia na Quran.

Hawajawahi ku- exist kwenye huu ulimwengu.
Historia inaonyesha walikuwepo. Sema zile simulizi za kufufuka na kupaa na farasi mpaka mbingu ya saba ndio tumepigwa kamba
 
Lakini mkuu nje ya masuala ya kiimani wanahistoria wanakubaliana kwamba hawa jamaa wawili walishawahi kuwepo hapa duniani
 
Ana abudiwa una muabudu Kwa kuzubaishwa kuwa haumuabudu , Kila siku una muomba bila ya kujua una muomba , Allahuma swali alaaa Muhammad Wala aliih Muhammad ni Nini hii !??
Naomba nikuweke sawa kidogo chief, Muhammad haabudiwi yeye ni Mtume tu,kwahiyo uwe makini na unachosema
Mmechotwa Akili bila ya kujijua
 
We msamehe tu mkuu. Katika orodha yangu ya watu kumi maarufu duniani Mohamed nitamweka namba Moja na Yesu hatakuwepo kabisa kwenye orodha.
Mkuu kuwa serious basi, Mtume Mohammad unamfananisha na Yesu kweli!!! Huyo Muhammad hata mimi hanikuti
 
Though simpendi Yesu Wala Muhammad but hao jamaa wapo kwenye top 2 huwezi kuwakosa hapo namba 3 ni Michael Jackson namba 4 ni Adolf Hitler

Halafu hizo namba nyingine watagawana hao wengine
Eleza kwanini huwapendi Yesu na Muhammad, walikukosea nini maana hawa wawili waliishi miaka Mingi Sana kabla ya ukoo wenu kuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…