Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar
Wanalazimishwa kumtumikia shetani na mambo yake yote na kazi zake zote.... hivi Zanzibar sio Tanzania? Mbona yakija huku hayabughudhiwi? yanaishi yatakavyo? Hii ndo taibia ya Waarabu/ Waislamu, Israel wawafute kabisa kwenye ramani.
Naona wanasema hapa si bara 😄
Ila hakunaga sheria ya kupiga mtu hao wahuni tu wanajichukulia sheria mkononi ,mimi najuaga ukikanatwa unakula wanakuchukua wanakufungia mpaka ramadhani inaisha

Sema jamaa huko wana mambo ya kiduanzi sana

Ova
 
Huu ni upunguani, au iliandikwa kipindi bado mpo utumwani na sultani anawacharaza viboko huku mnatumikishwa kwenye mashamba ya karafuu

Kweli utumwa uliwaathiri sana sasa endeleeni kukumbatia desturi za mabwana zenu za kiarabu
Wanajifanya wasafi kumbe ushenzi mwingi wanao huko

Ova
 
Lakini kwanini ule hadharani mwezi wa ramadhsni? Kila nchi ina by-laws zake kama huwezi kuzitii ondoka hilo eneo neenda pale unapo ona kuna usalama kwako.
France walipopiga marufuku kuvaa hijab mbona waislam hawakuondoka?
 
Juzi hapa walikuwa wananyang'anya wamasai virungu na sime.(ambao ni utamaduni wa hiyo jamii) na leo wanaibuka kufunga wala mchana kwa hoja mfu ileile ya utamaduni waliyoipinga kwa wamasai.

Mimi kula mchana kunakuathiri vipi wewe uliyefunga?

Hizi chokochoko ipo siku zitapata muarobaini wake.
 
Sio kila kinachoandikwa kwenye mitandao ni cha kuamini
Kweli kabisa !
Hata huko mitaani sio kila linalosemwa ni la kweli !
Wazungu Wanasemaga “Rumours is carried by haters ………. “
Tuwe waangalifu sometimes !
 
kwani Nikila hadharani tatizo nini hivi wahindu wa buddha wapagani nao wakitaka sharia zao zifuatwe hii dunia itakalika kweli??

yani afunge muisilamu kwa imani yake mimi upagani inanihusu nini?

Sasa utafanya nini na upo katika nchi ya kiislamu? na wao wapo huru kufanya hayo kwenye nchi zao
 
Sheria Zipo Zanzibar wanalalamika wabara, Acheni kiherehere
Ufaransa walipokataza kuvaa hijab mkapayuka, sheria ilikuwa unguja?

Maudhi ya haya madini yenu ya kikoloni siyapendi na nayachukia, ila kero za kiarabu sizipendi zaidi.

Sometimes huwa nalazimika kuwaelewa wamagharibi wanavyo watreat waislam. Nyie watu mkiendekezwa mtalazimisha Dunia nzima iendeshwe kwa Quran sio katiba za kiraia.
 
Ufaransa walipokataza kuvaa hijab mkapayuka, sheria ilikuwa unguja?

Maudhi ya haya madini yenu ya kikoloni siyapendi na nayachukia, ila kero za kiarabu sizipendi zaidi.

Sometimes huwa nalazimika kuwaelewa wamagharibi wanavyo watreat waislam. Nyie watu mkiendekezwa mtalazimisha Dunia nzima iendeshwe kwa Quran sio katiba za kiraia.
hawana akili
 
Wakati unakaza fuvu kukashfu imani ya mtu mwingine anza kwanza kuweka hapa takataka za imani yako ilituone ni namna gani unahaki yakuona chamwenzio sio bora nachakwako ndio bora.

Hapo nasemea hizi taka taka zinazoenda kuikashifu dini ya waislamu kwatukio hilo la zanzibar.
Nani kakashifu uislamu?waislamu wa Zanzibar wakifanya madudu tusiongee?
 
Mi nafikiri hao huko znz kama wamekamatwa kuna vifungu vya sheria au kanuni vimevunjwa/kiukwa, sasa watu wakomae vifungu vifutwe na si kuvivunja ukitegemea utaachwa kisa vifungu ni kandamizi
Hakuna kifungu hicho Kwenye Sheria yeyote Zanzibar kama ipo itaje
 
Back
Top Bottom