Naona wanasema hapa si bara 😄Wanalazimishwa kumtumikia shetani na mambo yake yote na kazi zake zote.... hivi Zanzibar sio Tanzania? Mbona yakija huku hayabughudhiwi? yanaishi yatakavyo? Hii ndo taibia ya Waarabu/ Waislamu, Israel wawafute kabisa kwenye ramani.
Wanajifanya wasafi kumbe ushenzi mwingi wanao hukoHuu ni upunguani, au iliandikwa kipindi bado mpo utumwani na sultani anawacharaza viboko huku mnatumikishwa kwenye mashamba ya karafuu
Kweli utumwa uliwaathiri sana sasa endeleeni kukumbatia desturi za mabwana zenu za kiarabu
France walipopiga marufuku kuvaa hijab mbona waislam hawakuondoka?Lakini kwanini ule hadharani mwezi wa ramadhsni? Kila nchi ina by-laws zake kama huwezi kuzitii ondoka hilo eneo neenda pale unapo ona kuna usalama kwako.
Wafuasi wa mudi mna shidaWewe unayejitambua,
Nitajie hadithi au aya inayomtaka muhammad awaadhibu wanaokula mchana wa ramadhan.
Kumbe waliokamatwa ni timu Kobaz pekee. Ningeshangaa sana kama ingekuwa ni waumini wa dini zingine
Kweli kabisa !Sio kila kinachoandikwa kwenye mitandao ni cha kuamini
kwani Nikila hadharani tatizo nini hivi wahindu wa buddha wapagani nao wakitaka sharia zao zifuatwe hii dunia itakalika kweli??
yani afunge muisilamu kwa imani yake mimi upagani inanihusu nini?
Ufaransa walipokataza kuvaa hijab mkapayuka, sheria ilikuwa unguja?Sheria Zipo Zanzibar wanalalamika wabara, Acheni kiherehere
zanzibar nchi ya kiisilamu tangu liniSasa utafanya nini na upo katika nchi ya kiislamu? na wao wapo huru kufanya hayo kwenye nchi zao
hawana akiliUfaransa walipokataza kuvaa hijab mkapayuka, sheria ilikuwa unguja?
Maudhi ya haya madini yenu ya kikoloni siyapendi na nayachukia, ila kero za kiarabu sizipendi zaidi.
Sometimes huwa nalazimika kuwaelewa wamagharibi wanavyo watreat waislam. Nyie watu mkiendekezwa mtalazimisha Dunia nzima iendeshwe kwa Quran sio katiba za kiraia.
zanzibar nchi ya kiisilamu tangu lini
ilianza kuwa nchi liniTangu ilipoanza kuwa nchi
Nani kakashifu uislamu?waislamu wa Zanzibar wakifanya madudu tusiongee?Wakati unakaza fuvu kukashfu imani ya mtu mwingine anza kwanza kuweka hapa takataka za imani yako ilituone ni namna gani unahaki yakuona chamwenzio sio bora nachakwako ndio bora.
Hapo nasemea hizi taka taka zinazoenda kuikashifu dini ya waislamu kwatukio hilo la zanzibar.
Epukana na utumwa wewe ngozi nyeusi, huo ni ukoloni kwa kigezo cha udini.Hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Ni wanafiki tu hawana lolote.Sasa kweni ninyi mnamfungia Allah au mumelazimishwa kufunga na Allah bila hiyari yenu?
Hakuna kifungu hicho Kwenye Sheria yeyote Zanzibar kama ipo itajeMi nafikiri hao huko znz kama wamekamatwa kuna vifungu vya sheria au kanuni vimevunjwa/kiukwa, sasa watu wakomae vifungu vifutwe na si kuvivunja ukitegemea utaachwa kisa vifungu ni kandamizi
Mimi sio mzanzibar na sheria za znz hazinihusu kwahiyo sioni haja ya kuzijuaHakuna kifungu hicho Kwenye Sheria yeyote Zanzibar kama ipo itaje
Kuna kipengele kwenye sheria ya kukamatwa ukitembea na KY?. Mbona Makonda alisema watu wakamatwe?.tanzania ni nchi huru kila mtu ana uhuru wa kufanya anachotaka maadam havunji sheria,