Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Hiyo sheria ipo kwenye katiba ya Zanzibar?Atafungwa kwa sheria ya kukataza kula.mchana ramadhan na atakaa jela hadi ramadhan iishe.
kwani serikali ya Zanzibar inaongozwa na khalifa wa kiislamu?Wewe unajitambua kweli ,uhusiano wa kula mchana na serikali ni wapi na wapi,
Wamekamata watu wanaokula mchana kwakuwa ni mwezi wa rama,
Sasa hakunaje uhusiano na uislamu!
Acha kueneza chuki wewe nikosa kubwa.Uislamu Ni mgumu we acha tu.
Sasa hivi inatumika nguvu nyingi kueneza uongo kwamba Magufuli sie aliyehamasisha ujenzi wa msikiti mkubwa Kinondoni.
Achakueneza chuki wewe nikosa kubwa.Hiyo ni moja ya njia ya bwana mwamwedi aliyoitumia kusambaza dini
Yaani unaambiwa uwe mwslam au ukatwe kichwa
Si aachiwe Allah mwenyewe Serikali ya Mapinduzi inaingilia nini?Kazi kweli kweli
Jamaa anatudanganya hadharani.Wewe unajitambua kweli ,uhusiano wa kula mchana na serikali ni wapi na wapi,
Wamekamata watu wanaokula mchana kwakuwa ni mwezi wa rama,
Sasa hakunaje uhusiano na uislamu!
Sasa kama mtu imani yake inamruhusu kula anakamatwa kwa kosa gani?Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa idadi ya watu waliokamatwa kwa tuhuma za kutenda makosa mbalimbali kufikia sitini na mbili
Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini magharibi Unguja Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Abubakar Khamis Ally amesema kufuatia video iliyosambaa mitandaoni ikiwaonesha baadhi ya watu katika eneo la viwanja vya mnazi mmoja Zanzibar wakila hadharani wakati wa mchana wa Ramadhani, Jeshi hilo lilifanya msako na kuwakamata watu wapatao kumi na mbili wakiwa na vielelezo ambapo amesema wanaendelea na taratibu nyengine ili kuwafikisha Mahakamani.
Aidha ameyataja makosa mengine ni pamoja na unyang’anyi, Madawa ya kulevya na makosa mengine ambapo watuhumiwa wanashikiliwa na Polisi na wengine tayari wameshahukumiwa Mahakamani.
No commentSi aachiwe Allah mwenyewe Serikali ya Mapinduzi inaingilia nini?