Watu 48 waokolewa mafuriko Morogoro

Poleni sana Morogoro, huo Mji inahitaji umakini sana wakati wa manunuzi ya ardhi.
Bora ukajenge mlimami
 
Kuna mtu yuko maeneo ya Kingolwira amenipigia nina mifugo yangu kule anasema kuna mvua kubwa sana inanyesha. Wanaangaika kuweka miundombinu sawa
Subiri kuambiwa mifugo yako imeondoka na maji
 
Poleni sana
 
 

Attachments

  • IMG_5664.MOV
    6.9 MB
  • IMG_5663.MOV
    4.2 MB
  • 7ED1F953-474B-470B-A713-240E708EDB21.jpeg
    27.1 KB · Views: 3
Ule nao unakuwaga kama wa kiganga ,mamlaka zenyewe hazijipangi- kamati ya maafa na majanga kama vile ipo kwenye makaratasi tu
Haya mafuliko ilaumiwe serikali sababu wanachimba barabala zisizo na misingi mvua zikinyesha maji yanakosa muelekeo yanaingia kwenye makazi ya watu
 
Serikali wapeleke ndege zibebe maji hapo kwenye mafuriko yapelekwe bwawa la nyerere huko yakajazwe haraka, tumechoka migao ya umeme ya hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…