Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachapwe vibokoMvua zote hizi eti dawasa wana week hawajatupatia majii...nosense
KabisaaWachapwe viboko
👍Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando amewasili mapema asubuhi leo Ijumaa Januari 13, 2023 eneo la Kihonda mahali ambako wananchi wameathirika zaidi huku akisaidia kuokoa watu na mali zao.
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wapo kwenye maeneo mbalimbali Manispaa ya Morogoro wakiendelea kuokoa watu na mali zao.
HiyoooUzi huu bila picha ni usanii, tupieni picha tuone hali halisi kama ni kweli
Kusema yaachwe inamaanisha yanazuiwa?Si umetoa Rai 'yaachwe yaende bwawani'.. ndiyo maana nikauliza yamezuiwa
Lumemo haija tena mkuu…ifakara hapa kavu tu.
We msukuma nini!?..maana wasukuma hawajui kiswahiliKusema yaachwe inamaanisha yanazuiwa?
SGR impactPoleni sana vitengo vya dharura na uokozi vikae tayari kwa lolote! Huu sio wakati wa kwenda kazini kwa mazoea
Huenda yanaelekea wamiKama yanamwagikia bonde la Rufiji, hii ni habari njema sana, tena inyeshe kama enzi za safina
Wami sijui ina faida gani.Mgao wa umeme bye bye hayo maji yaende kwenye mabwawa ya umeme popote yalipo
'yaachwe' maana yake yali/yame-zuiliwaJibu swali mzee
Na walisema kuwa Morogoro kusini itashuka ya kutosha.Kuna wapuuzi humu walikuwa wanabeza utabiri wa TMA.
Haiwezekani mvua ya Moro kujaza mto MsimbaziMara nyingi mto msimbazi hujazwa na maji toka mvua za morogoro, hivyo, daresalamu inaweza isinyeshe mvua kubwa lakini mto ukajaa, tena kwa bahati mbaya haya hutokea usiku wakati watu wamelala, tuwe makini sana sisi wakongwe wa jiji tunafahamu hili sana.
==== ====
Mvua kubwa iliyonyesha usiku kuanzia majira ya saa nane hadi alfajiri, imesababisha mafuriko na kuleta hofu kwa madereva kuendesha magari katika maji hayo yanayokatisha juu ya barabara ya Morogoro - Dodoma.
Chanzo: ITV
Asante ila tambua mvua haipigi ila inanyesha!,Aisee kuna mafuriko ya hatari yanaendelea muda huu Morogoro mjini tangu saa 10 usiku hadi sa hivi bado yanaendelea.
Mimi nipo Kihonda huku watu kibao hawajalala wanapambana kutoa maji yalioingia ndani na kuokoa vitu vyao.
Mvua likikata tutegemee habari za vifo na watu kubomokewa nyumba tu, mvua inapiga kwa sifa kama haitopiga tena. Aisee ni balaa!
PICHA/VIDEO
View attachment 2479141
View attachment 2479185
View attachment 2479186
View attachment 2479187
View attachment 2479190
View attachment 2479207
----- --- -------
Mvua yasababisha mafuriko, foleni Morogoro
Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Morogoro kuanzia saa 9 alfajiri, zimesababisha madhara mbalimbali kwa wakazi wa mkoa huo ikiwa ni pamoja na mafuriko na foleni ya magari Barabara kuu ya Morogoro kwenda Dodoma.
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando amewasili mapema asubuhi leo Ijumaa Januari 13, 2023 eneo la Kihonda mahali ambako wananchi wameathirika zaidi huku akisaidia kuokoa watu na mali zao.
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wapo kwenye maeneo mbalimbali Manispaa ya Morogoro wakiendelea kuokoa watu na mali zao.