Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Watu wanabadilikaMuongo Muongo tu alisema yupo busy na hapo nilipokuepo na eneo alilokuwepo ni kama 200M tu. Kichwani nikajua tu huyu hataki shobo za kijinga, nikamwambia fresh nipo leo na kesho akasema atanicheki ndio ikatoka hiyo mpaka leo.
Ndio haya mabadiliko yapo, lakini ni nini mwisho wake?Kuna kitabu kinaitwa future shock cha alvin toffler cha mwaka nadhani 1960s kinaelezea haya yote. Too much changes in short period of time. Ndicho kinafanya hali hii kuwepo
Na kifo ni hitimisho; utajivunia hapa duniani ulifurahia nini?
Pesa ndio imegeuzwa kuwa utu siku hiziSikiliza nyimbo hii. Maswali yote unayojiuliza yameshajibiwa
AUDIO Simba Wanyika - Shilingi yaua tena ni Maua MP3 DOWNLOAD — citiMuzik
AUDIO Simba Wanyika - Shilingi yaua tena ni Maua MP3 DOWNLOADwww.citimuzik.com
Mimi naona vinginge: huyo mzee mkoa aliohamia mambo hayakumuendea vizuri, kutahamaki keshafulia na huenda aliuza kila kitu ili kujikomboa, lakini akapoteza kila kitu. Sasa amepanga banda la uani hana kitanda wala kiti. Kwa mazingira hayo lazima akimbie marafiki wa zamaniNaona alikuwa busy kweli. Next time moe.muda wa kutosha na uende wakati hana kazi.
Binafsi sijaona tatizo lolote hapo, hakuwa na nafasi hiyo siku.
Hiyo nyimbo ina ujumbe sana ukiisikiliza.Pesa ndio imegeuzwa kuwa utu siku hizi
Zamani watu waliweza kutembeleana kwasababu hatukuwa na matumizi mengi yanayohitaji hela.Ndio haya mabadiliko yapo, lakini ni nini mwisho wake?
Hakuwi mwisho wenye furahaNdio haya mabadiliko yapo, lakini ni nini mwisho wake?
Ni mwendo wa ngiri mkuu.Zamani watu waliweza kutembeleana kwasababu hatukuwa na matumizi mengi yanayohitaji hela...
Zamani watu waliweza kutembeleana kwasababu hatukuwa na matumizi mengi yanayohitaji hela.
Hakuna umeme (baadhi ya maeneo), simu wengine walikuwa hawana, vifurushi bei rahisi, vyakula vilikuwa vingi kwasababu hakukuwa na mabadiliko ya hali ya hewa, tunatumia antena (analogia), nauli bei nafuu, upatikanaji wa kazi ni rahisi n.k.
Sasa hivi matumizi yamekuwa mengi na upatikanaji wa pesa siyo rahisi.
Matumizi ya kila siku ambayo unatakiwa utumie, Bando ya internet, king'amuzi, bando la dk na sms, umeme na maji. Vyote hivyo vinahitaji hela.
Nikutafuta shilingi muda wote
Au uwepo wa simu ndio umechaangia kuharibu ule utamaduni wa zamani?Teknolojia inatosha ni vizuri ukawatembelea ndugu zako ambao hawapo busy Sana na sio kila mtu
Au elimu ya mkoloni ndio inatubadilisha kutoka kwenye tamaduni za zamani?Hata hivyo wengi hawataki yale maisha ya umbea nakufuatiliana sana we unazani mke wako atakubali kuwa anatembelewa na dada zako nyumbani kwako si unajua sisi waswahili tena maneno mengi
Watu wengi wameamua kuwa na majamaa na sio marafiki hiyo hali ndio imechangia sana kutokutembeleana
Nafikiri hili ni jambo la commitment kwa kila mtu mmoja mmojaNa hili ndilo tatizo kubwa; Unafikiri ni nini kifanyike ili ile hali ya watu kuishi kiutu na kutembeleana iweze kurudi?
Watu ni wale wale, dunia imewabadilisha vipi?Dunia imebadilika