Mipango hawezi, kwenye mkutano na wananchi alipewa majina, hata moja hajalitaja. Usalama wa taifa wanajua hujuma hiyo, na mkuu wao anajua wahusika lakini ana ongea tu!Utakuta Hawa Wanafamilia 12, wameanza hii shughuli baada ya JPM kufariki.
Tumtume nani Sasa?? Mipango?? Ataweza kweli ??
Imepowa inalamba asali na kufadhiliwa safari za ulayaMbona yalianza enzi zake,yeye alichoona cha maana ni kupambana na Chadema tu
Na majangili yaliyo kubuhu, hawagusiki.CCM ni kichaka cha majangili
Ukigusa wanakuuaNa majangili yaliyo kubuhu, hawagusiki.
Watu wa kwanza kuchapwa viboko ni mamlaka za usimamizi wa mto Ruaha. Vizuizi vyote vinajengwa wapo na wana kula mishahara.21 November 2022
MFEREJI ULIOJENGWA UKUTA MKUBWA KUZUIA MAJI KUINGIA MTO RUAHA MKUU WAANZA KUBOMOLEWA -
Ni utekelezaji wa maagizo 10 ya Makamu wa Rais kuhakikisha mabanio yote haramu ya maji yanabomolewa - Inakadiriwa umegharimu zaidi ya Milioni 400.
- Kazi zaidi inahitajika kufanyika kubomoa kingo nyingine Siku chache baada ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango kuzielekeza Mamlaka zinazosimamia mto Ruaha Mkuu kuhakikisha vizuizi vyote vinaondolewa Ili kuuruhusu mto huo kutiririsha maji kama kawada.
Moja kati ya kizuizi kikuu Cha mto Ruaha kupata maji kimeanza kuondolewa Hapa ni Kata ya Imalio Usongwe katika mfereji wa nguvu kazi Mwanavala unaopeleka maji katika mashamba ya mnazi katika eneo la Warumba yanayotakiwa kuingia katika Mto Ruaha Mkuu na kuelekea hifadhi ya Taifa ya Ruaha, Bwawa la Mtera, Kidatu, Bwawa la Nyerere na hatimaye Bahari ya Hindi.
Zoezi la kubomoa mabanio haya yasiyorasmi yanayotumika kuchepusha kinyume na sheria kutoka katika Mto Mfereji huu unakadiriwa kuwa umejengwa kwa zaidi ya Milion 400 miaka kadhaa nyuma.
Jitihada za kuuokoa mto Ruaha Mkuu kuufanya uwe unatiririsha maji mwaka mzima Zinaendelea na Mto Ruaha kuacha kukauka mwaka mzima INAWEZEKANA.
Ukiokoa mtiririko wa Maji mto Ruaha Mkuu maana yake umeoko na kuilinda Hifadhi ya Taifa ya Ruaha Maana yake pia umalihakikishia Taifa Upatikanaji wa umeme katika Bwawa la Mtera, Kidatu na Nyerere linaloelekea kukamilika.
Source : JAMVI online TV
Mamlaka za usalama zimebaki na kazi ya kuhakikisha CCM inashinda na kumlinda rais.Nimemsikiliza ndugu yangu Balile! Kwa aliyosema ni mambo mazito yanayofanya kama Taifa tujiulize mamlaka zetu hasa za usalama wanamuogopa nani kwenye ulinzi wa rasilimali zetu?
Balile binafsi nimekupa heshima ya pekee kwa hili.
Hizi familia 12 tunaomba zisishiriki mchakato wa mwaka2025.
Ni kundi hatari sana.
Lukuvi hizi familia anazifahamu na ndizo zilimchomoa Uwaziri
Hapo chachaAnasema kwenye hiyo list wapo mpaka majaji! Katika mazingira hayo watu wanashangaa vipi wakiona majaji wanaagizwa na serikali jinsi ya kuamua kesi?
Mkuu usiwalaumu hawana nguvu yoyote ya kuwaondoa wao ni wadogo sana kwao unataka wafukuzwe kazi wakati hawana pakwenda hujasikia huyo mtoa taarifa amesema waliojaribu kusema wote wamepotezwa na wengine kuuliwa.Watu wa kwanza kuchapwa viboko ni mamlaka za usimamizi wa mto Ruaha. Vizuizi vyote vinajengwa wapo na wana kula mishahara.
Anapambana na umeme tanesco hawezi kuwa na mda kama zamaniMbn sahv yuko kimya
Ova
Unapoona mpaka Mtendaji wa Kijiji au Mtaa anashiriki wizi wa kura ama kuharibu Uchaguzi in favor for CCM ujue ana maslahi binafsi ndani ya serikali ya CCM. Ndo maana wengi wanaoteuliwa wanakuwa branded kuws WAMEULANi taarifa inayoonesha kwamba hatutaendelea. Tuna kundi la watu wa hovyo, lakini wanaitwa ni powerful!
Kwa maoni yako endelea;
Ndio nasema hayo majina yote yana sababu zake, Magufuli kaitwa dikteta kaitwa shetani kutokana na aina ya uongozi wake na Kikwete kaitwa dhaifu kutokana na aina ya uongozi wake ulivyokuwa.Na wao wanasema Magufuli alikuwa shetani
Kumbe? Sasa akiitwa shetani usikasirikeNdio nasema hayo majina yote yana sababu zake, Magufuli kaitwa dikteta kaitwa shetani kutokana na aina ya uongozi wake na Kikwete kaitwa dhaifu kutokana na aina ya uongozi wake ulivyokuwa.