Watu wa aina hii huwa mnaishi nao vipi?

Hii kitaalam tunaita GG au BOTH TEAM TO SCORE. Hii ndo defense mechanism yangu kubwa sana kwa Manzi, siku zote huwa natafuta kubalance mzani🤔
Mnatukosea sana aisee kuomba msamaha unapokosea ni muhimu jitahidini muwe mnafanya hivyo
 
Duh! Sasa ilikuwaje ulifanikiwa kuzipata?
 
Mnatukosea sana aisee kuomba msamaha unapokosea ni muhimu jitahidini muwe mnafanya hivyo
Kuna makosa naweza omba msamaha ila mengine lazima nigeuze kesi. Mfano amechukua simu yangu kaanza kupekua vitu, yaani hata akutane na video namcheat hiyo siwezi omba msamaha
 
Kuna makosa naweza omba msamaha ila mengine lazima nigeuze kesi. Mfano amechukua simu yangu kaanza kupekua vitu, yaani hata akutane na video namcheat hiyo siwezi omba msamaha
Heeeeh! Kwanini usiombe msamaha sasa hapo?
 
Usikose wala kupoteza Amani yako kwaajili ya mtu ambaye inawezekana ndivyo alivyolelewa, inakupasa wew ndio uangalie huyo mtu akiendelea kuwa ndani ya himaya yako kunafaida gani unapata? Kama Hana faida weka pemben angali maisha yako, pambana kusanya noti utajiri yangu huyo amesha kuchoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…