Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

Kila mtu anafanya yake kwa namna alivyo na hulka yake...hatufanani kulingana na makabila au kanda zetu,kila aina ya watu ina mambo yake,hata kwenu kuna kituko chake japo huwezi kukisem
Umeongea kitu cha maana sana mkuu,

Ujue kila jamii hua ina tamaduni zake,na kila jamii huona au huamini tamaduni zao ni bora kuliko tamaduni za wengine.
 
Watu wa vijijini na usafi ni mbalimbali...

Ukiwa kileji halafu ukaenda kwenye kilabu cha pombe ndio utaona namna watu wasivyojali kanuni za afya...

Pombe ikishawekwa mwenye kile kibaba, lile kombe linakuwa linazunguka kwa kila mtu kupiga funda...

Kuna mikoa pombe inawekwa kwenye ndoo, halafu wadau wanaizunguka na mirija ya kienyeji inayochuja machicha (imetengenezwa kwa mianzi myembamba)...
 
Mjomba kuna wahaya wanaingia hpa nna jamaa zangu wa kihaya mjni hpa ukila nao jiandae kujionea maajabu mnakula changanyikeni lkn wao km wanakula kila mtu sahani ya peke yake
Shemeji zangu wahaya ni watu wa hovyo sana,sipendi ile tabia yao ya ukabila.unakuta Mpo wote wao wanagonga kilugha tu.Shubaamiti zao sitoenda ukweni tena(Uhayani).
 
Shemeji zangu wahaya ni watu wa hovyo sana,sipendi ile tabia yao ya ukabila.unakuta Mpo wote wao wanagonga kilugha tu.Shubaamiti zao sitoenda ukweni tena(Uhayani).
Ha hah
 
Baada ya Dar es Salaam mji unaofuatia ni Mwanza kwa ukubwa na ujanja !! We unatokea mkoa au kanda ipi tulinganishe unachokizungumza ?!
 
Umeamua kuwananga shemeji zako etii!!
 
Baada ya Dar es Salaam mji unaofuatia ni Mwanza kwa ukubwa na ujanja !! We unatokea mkoa au kanda ipi tulinganishe unachokizungumza ?!
Ukubwa wa mji hau-determine tabia zao.Mbona Texas ni kubwa ila watu hawaachi kupigana risasi.Tabia inchochewa na utamaduni wa eneo husika.
 
Sawa wewe mstarabu sana kwenu Tanga mnaunga Mkono upinde .
 
Hao wameshazoea ngwasuma kuna rafiki yangu mmoja ni mwenyeji wa shinyanga anasema tokea amezaliwa hajawahi kumuona mama yake anamuwekea baba yake maji ya kuoga na hata yeye alikataa kuoa kwao kiufupi watu wa kipande hyo ni show show
 
Sie table manner tulifundishwa tukiwa wadogo,ni kitu muhimu sana.mimi mtu akiwa anakula hivyo nami siwezi kula tena nashindwa

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sio mtu wa Tanga.Pia mambo ya upinde naona yapo sehemu nyingi hata huko kanda ya ziwa.Cha msingi tuamrishane yaliyo mazuri na tukatazane yaliyo mabaya
Maana hata Ulaya wanasema sisi siyo Wastaarabu kwakuwa hatutaki Upinde hivyo dhana ya ustaarabu inategemea umekulia wapi.Huku kanda ya ziwa kila Mtu anawekewa bakuli lake la nyama lakini pwani bakuli moja finyango mbili watu sita. Hivyo acha kuleta mambo ya Pwani huku bara . Pwani wali mnaupa kipao mbele sana huku wala hauna nafasi kihivyo ndiyo maana hata kuula hatuuli kama nyie.
 
Mimi nikisemaga kuwa wasukuma ni watu wa hovyo huwa naonekana mbaguzi, hao watu waanzishiwe kule Mwanza chuo cha ustaarabu kuwe na kozi za namna ya kuongea, kula,kuvaa na namna ya kuishi na jamii zingine. Wasukuma ni watu wa hovyo sana bora masai
Pascal Mayalla akikusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…