Watu weusi hawapaswi kuwa viongozi kwa sasa hadi pale watakapopata akili

Unafahamu vita vilivyo kuwepo kati ya hizo jamii na wazungu wakati wana fika katika hayo maeneo ?
Hamna vita ya ndani iliyokuwa inandoa above 80% ya ethinic group ndani ya bara lolote.
Just so you know the 1st Genocide ilitokea Afrika huko Namibia, Wajerumani walitaka kufuta kabisa makabila ya herero na nama. Hata hapa Tanganyika waliua waafrika wengi kwenye vita ya Majimaji lakini bado unaona ni watu wazuri.
 
Naomba usihangaike kuwa elimisha hawa machizi na malimbukeni kwa kumwona mzungu ni kila kitu kwa sababu za movie za Hollywood!
Tupa baharini samaki wale!
Nadhani hapo ndipo tunakosea, Waafrika wengi wanakosa exposure na tuliona dunia tuna jukumu na kuwaambia ukweli. Pia ifike mahali shuleni waambie historia ya kweli ya Afrika sababu hata ukiangilia kinachotokea enzi hizi kilitoka huko Angola na Congo kwenye 16th century. Uwanawambia watu ni suala la muda tu wataanza kuja kuchukua mali zetu kwa nguvu tena. Haiwezakana kila mtu ana invest kwenye defense na bara la afrika tunacheka cheka tu.
 
Huyo Mungu wa namna hiyo ni mpumbavu, tuliza kichwa soma andiko nawe ni sample ile ile kuwa watu weusi hatuna akili maana ulicho andika kina thibitisha hilo.


Mpumbavu ni yule anayetaka kuwapa watu wengine mali yake ili wamuendeshee halafu baadaye eti awaombe kwa huruma yao wamrudishie.

Hiyo akili hata ya sisimizi ni nafuu.
 


Ni akili ya mtu asiyefikiri kabisa na asiyejua siasa za dunia ndiye anayeweza kuona ili tuendelee inabidi tuwakabidhi nchi yetu wageni watutawale, kumkabidhi mgeni nchi yako ni sawa na kurudisha Ukoloni, Ukoloni maana yake wewe mwenyewe unakosa Uhuru na unakuwa mtumwa ndani ya nchi yako mwenyewe, (you wilingly become submissive to the colonisers), kuacha nchi yako kwa wageniwakutawale/wakuongoze haina tofauti sana na kumtoa rehani mkeo, sasa wehu wa aina hiyo tunatakiwa tuujibu kwa nasaha na taaradhi??!!
 


Mashoga unawajua au unaongea kwa jazba tu kujifurahisha??!
 
Kwahiyo nn kifanyike ili kulikomboa bara la Africa toka kwa wakoloni weusi?
 
Kuna kizazi fulani, mpaka kiishe hicho.
 
Suala je mtaacha na ubaguzi
Maana akili hakuna, wizi ndio kazi, uaminifu hakuna na kila kitu rushwa

Yaani sijui hata la kuongeza
 
Crap
 
Makaburu wa kijerumani wanainasidia sana Botswana.
Mkuu Asiwaju, kwa hiyo unashauri kwamba sisi tunaweza tu tukatangaza tenda ya
Mkuu kwa hiyo sisi hatuna akili au akili zetu hazina virutubisho? Aidha huoni kwamba huenda sasa tumejifunza kutoka kwao na hivyo hatutarudia makosa.
 
Na wewe you are included. Wewe hutasalimika as long as you are black
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…