Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Hamna vita ya ndani iliyokuwa inandoa above 80% ya ethinic group ndani ya bara lolote.Unafahamu vita vilivyo kuwepo kati ya hizo jamii na wazungu wakati wana fika katika hayo maeneo ?
Just so you know the 1st Genocide ilitokea Afrika huko Namibia, Wajerumani walitaka kufuta kabisa makabila ya herero na nama. Hata hapa Tanganyika waliua waafrika wengi kwenye vita ya Majimaji lakini bado unaona ni watu wazuri.