Watu weusi hawapaswi kuwa viongozi kwa sasa hadi pale watakapopata akili

Watu weusi hawapaswi kuwa viongozi kwa sasa hadi pale watakapopata akili

Unafahamu vita vilivyo kuwepo kati ya hizo jamii na wazungu wakati wana fika katika hayo maeneo ?
Hamna vita ya ndani iliyokuwa inandoa above 80% ya ethinic group ndani ya bara lolote.
Just so you know the 1st Genocide ilitokea Afrika huko Namibia, Wajerumani walitaka kufuta kabisa makabila ya herero na nama. Hata hapa Tanganyika waliua waafrika wengi kwenye vita ya Majimaji lakini bado unaona ni watu wazuri.
 
Naomba usihangaike kuwa elimisha hawa machizi na malimbukeni kwa kumwona mzungu ni kila kitu kwa sababu za movie za Hollywood!
Tupa baharini samaki wale!
Nadhani hapo ndipo tunakosea, Waafrika wengi wanakosa exposure na tuliona dunia tuna jukumu na kuwaambia ukweli. Pia ifike mahali shuleni waambie historia ya kweli ya Afrika sababu hata ukiangilia kinachotokea enzi hizi kilitoka huko Angola na Congo kwenye 16th century. Uwanawambia watu ni suala la muda tu wataanza kuja kuchukua mali zetu kwa nguvu tena. Haiwezakana kila mtu ana invest kwenye defense na bara la afrika tunacheka cheka tu.
 
Huyo Mungu wa namna hiyo ni mpumbavu, tuliza kichwa soma andiko nawe ni sample ile ile kuwa watu weusi hatuna akili maana ulicho andika kina thibitisha hilo.

Mpumbavu ni yule anayetaka kuwapa watu wengine mali yake ili wamuendeshee halafu baadaye eti awaombe kwa huruma yao wamrudishie.

Hiyo akili hata ya sisimizi ni nafuu.
 
Umemshambulia mtoa mada bure kbs bila kutoa hoja juu ya hoja yake! Ni vzr ungemueleza ni Nchi gan Africa imepiga hatua kubwa kimaendeleo angalau kufikia hatua za Asia na magharib, issue ya ushoga haikua na mantiki kuiweka kweny hoja maan hiyo ni tabia ya watu haihusian na maendeleo ya nchi au utawala bora!!

Ni akili ya mtu asiyefikiri kabisa na asiyejua siasa za dunia ndiye anayeweza kuona ili tuendelee inabidi tuwakabidhi nchi yetu wageni watutawale, kumkabidhi mgeni nchi yako ni sawa na kurudisha Ukoloni, Ukoloni maana yake wewe mwenyewe unakosa Uhuru na unakuwa mtumwa ndani ya nchi yako mwenyewe, (you wilingly become submissive to the colonisers), kuacha nchi yako kwa wageniwakutawale/wakuongoze haina tofauti sana na kumtoa rehani mkeo, sasa wehu wa aina hiyo tunatakiwa tuujibu kwa nasaha na taaradhi??!!
 
Bora tuwe na mashoga ila wanajua kuipangilia nchi na kila kitu kinapatikana kwa muda unaofaa,Kuliko kuwa na Viongozi kama wa wakati huu akili zao wanawaza kukopa tu kila siku.
Hela wanakopeshwa wanakuja kununua mabasi,Magari ya kubeba Makaa ya mawe na kujenga majumba kwa manufaa yao tu na kuwasahau watanzania wenzao, huku wanazuga na mabaibui na matai ya bendera ya Taifa.

Mashoga unawajua au unaongea kwa jazba tu kujifurahisha??!
 
Ni akili ya mtu asiyefikiri kabisa na asiyejua siasa za dunia ndiye anayeweza kuona ili tuendelee inabidi tuwakabidhi nchi yetu wageni watutawale, kumkabidhi mgeni nchi yako ni sawa na kurudisha Ukoloni, Ukoloni maana yake wewe mwenyewe unakosa Uhuru na unakuwa mtumwa ndani ya nchi yako mwenyewe, (you wilingly become submissive to the colonisers), kuacha nchi yako kwa wageniwakutawale/wakuongoze haina tofauti sana na kumtoa rehani mkeo, sasa wehu wa aina hiyo tunatakiwa tuujibu kwa nasaha na taaradhi??!!
Kwahiyo nn kifanyike ili kulikomboa bara la Africa toka kwa wakoloni weusi?
 
Kwa kuwa bado sisi watu weusi maarufu kama Waafrika hatuja pata akili ni vyema basi swala zima la uongozi tuachie wazungu na watu jamii za mashariki mwa asia ya mbali (wachina, wajapan, wakorea .........)

Sisi kama watu weusi cha kufanya sasa kuanzisha mpango kabambe wa kukopa watu kutoka katika hizo jamii ili waje katika mataifa yetu ili kutu ongoza.

Taifa kama la Tanzania lina hitaji kukopa watu wengi sana kutoka katika hizo jamii na kupewa uraia wa kudumu kabisa hapa nchini ili waje kutuongoza.

Tuna hitaji pia kuchanganya damu kwa kasi na hawa watu kwa manufaa ya mataifa yetu. Tuna hitaji kuwaachia nchi hawa watu watuongoze kwa zaidi ya miaka mia moja (100) mpaka pale tutakapo ona kuwa sasa tumepata akili ndipo tutaanza kujipenyeza kwenye uongozi na sisi kuongoza.

South Africa makaburu walifanya kosa kubwa sana kuwa achia uongozi watu weusi sasa matokeo ya makosa yao wana yalipia.

Nyerere alikuwa hafahamu anacho kipigania.

Trump alikuwa sahihi ni vyema tuki rejea ushauri bora kabisa kutoka kwa bwana Trump kwa ajili yetu.

MTU MWEUSI HAPASWI KUWA KIONGOZI KWA SASA MPAKA PALE ATAKAPO PATA AKILI.
Kuna kizazi fulani, mpaka kiishe hicho.
 
Suala je mtaacha na ubaguzi
Maana akili hakuna, wizi ndio kazi, uaminifu hakuna na kila kitu rushwa

Yaani sijui hata la kuongeza
 
Kwa kuwa bado sisi watu weusi maarufu kama Waafrika hatuja pata akili ni vyema basi swala zima la uongozi tuachie wazungu na watu jamii za mashariki mwa asia ya mbali (wachina, wajapan, wakorea .........)

Sisi kama watu weusi cha kufanya sasa kuanzisha mpango kabambe wa kukopa watu kutoka katika hizo jamii ili waje katika mataifa yetu ili kutu ongoza.

Taifa kama la Tanzania lina hitaji kukopa watu wengi sana kutoka katika hizo jamii na kupewa uraia wa kudumu kabisa hapa nchini ili waje kutuongoza.

Tuna hitaji pia kuchanganya damu kwa kasi na hawa watu kwa manufaa ya mataifa yetu. Tuna hitaji kuwaachia nchi hawa watu watuongoze kwa zaidi ya miaka mia moja (100) mpaka pale tutakapo ona kuwa sasa tumepata akili ndipo tutaanza kujipenyeza kwenye uongozi na sisi kuongoza.

South Africa makaburu walifanya kosa kubwa sana kuwa achia uongozi watu weusi sasa matokeo ya makosa yao wana yalipia.

Nyerere alikuwa hafahamu anacho kipigania.

Trump alikuwa sahihi ni vyema tuki rejea ushauri bora kabisa kutoka kwa bwana Trump kwa ajili yetu.

MTU MWEUSI HAPASWI KUWA KIONGOZI KWA SASA MPAKA PALE ATAKAPO PATA AKILI.
Crap
 
Makaburu wa kijerumani wanainasidia sana Botswana.
Mkuu Asiwaju, kwa hiyo unashauri kwamba sisi tunaweza tu tukatangaza tenda ya
Serikali za majimbo zina wafaa watu walio na akili pekee kama ambavyo democracy ina hitaji watu wa namna hio bila hivyo umasikini na rushwa vita tawala katika majimbo.

Mfano ni Kenya na Nigeria wamecopy mifumo ya namna hiyo lakini hakuna kitu wanacho nufahika nacho zaidi ya umasikini.
Mkuu kwa hiyo sisi hatuna akili au akili zetu hazina virutubisho? Aidha huoni kwamba huenda sasa tumejifunza kutoka kwao na hivyo hatutarudia makosa.
 
Na Mwenye Enzi Mungu akupe haja ya moyo wako, yaani mfe nyote wewe na familia yako na ndugu zako wote mpaka asibaki hata mtu mmoja katika ukoo wako mpaka miaka 1000 ipite walahi!
Ehh Mwenye Enzi Mungu wewe ni Mungu kweli nina hakika atapata haja ya moyo wake kama Zaburi ya 109 isamavyo!
Aamina [emoji2972]
Na wewe you are included. Wewe hutasalimika as long as you are black
 
Back
Top Bottom