Wazazi, acheni kuwapotezea muda watoto wa kiume kuwafundisha kupika!

Wazazi, acheni kuwapotezea muda watoto wa kiume kuwafundisha kupika!

Hivyo ndo kusema Me wa Jf mlio wengi mmefundishwaga kupika.
 
Utotoni Ni muda ambao mtu anapaswa kufundishwa misingi ya maisha!
Upishi si msingi wa maisha wa mtoto wa kiume!
Na hii iko wazi, popote duniani, toka enzi za wafalme wasaidizi wa kazi za ndani Ni waschana
Mzee Kuna wanaume wangapi Leo hii wanaendesha familia zao kwa kupika....? Na Kuna mabilionea wangapi walio patikana kwa kupika. ...?


Open up
 
Humu kuna wachangiaji wengi ni kula kulala tena wengine wanaishi kwa shemeji zao hamna walijuwalo.

Kwa mfano mimi binafsi hawa tunaowaita wadada wa kazi wamenisumbuwa sana achilia mbali kuwabadirisha au anakuja huyu anakaa wiki anataka kuondoka kumbe ulitumioa tu kumleta mjini na saa nyingine unatuma nauli unaliwa vilevile, sasa nimeamuwa hivi.

Watoto wakubwa wako boarding, mtoto mdogo yupo day lakini anashinda shuleni anarudi jioni kabisa kwahiyo nyumbani tunapika usiku tu au nanunuwa take away hakuna kupika.

Sihitaji wala sifikilii kuleta house girl, usafi ni mara moja kwa wiki anakuja dada anafuwa anaosha vyombo anapiga deki nyumba namlipa cash yake anatambaa, siku za kawaida kufagia nyumba hakunishindi nafagia mimi au wife yeyote atakayehisi kuna michanga ndani.

Kwahiyo kwangu wala hatuhitaji mpishi na wakubwa wakirudi likizo wanapika wenyewe mchana au mama yao kabla ya kwenda job akiamka mapema awapikie ubwabwa full suti, binafsi kama nakuwa home vyakula vyangu ni michemsho tu wala havina mambo mengi ni nyama au samaki viazi ndizi na viungo unachanganya pamoja unakadiria maji, unaweka chumvi unatia na mafuta machache unawasha gesi ngoma inajipika yenyewe, hivi hapo shida iko wapi? Ukiona mimi nanunuwa chips ujuwe ni dharura tena ni usiku inanibidu tu.
Umeongea vizuri. Sasa tuambie, ENZI ZA UTOTO WAKO ULIFUNDISHWA KUPIKA? au ulijifunza mwenyewe na ukajua?

Je, unahisi watoto wa kiume ambao hawawekewi ratiba za kupika nyumbani hawatajua kupika michemsho kama yako?

Ukiyajibu haya kwa uaminifu utakua umemuelewa mtoa mada
 
[emoji23]
Ni hivi kama hukufanikiwa kupata best education wewe basi kwamba na watoto wako wasipate, sisi tulisoma shule za umma lakini leo watoto tunawalipia pesa nyingi shule za private hata wakifauru kuchaguliwa kwenda shule za serikali bado tunakomaa kuwapeleka tena private.

Hii ina maana kwamba kama makuzi uliyopitia mzazi hukujuwa au kufundishwa kupika haimaanishi kwamba hata kwa mtoto wako siyo muhimu kufundishwa hizi skills muhimu.

Kuna maisha nje ya wazazi.

FB_IMG_1649929989889.jpg


FB_IMG_1649930154961.jpg
 
Swali ni kama kupika sio kitu cha kushangaza kwa mwanaume.
Then ni kwanini wapishi wa utotoni mnahangaika kujitetea kwa nguvu?

Mna mashaka na maamuzi ya wazazi wenu na mko insecure?
Bila shaka ni hivyo hivyo.
[emoji23][emoji23]
 
Ni huyo huyo mtoa mada alipoona amekosa sapoti akaja na ID nyingine ili ajisapoti,

angalia majina yao (Weakman, Teenager)

lol, mjini mipango.
Don't be a goddamn stupid bitch!
Mimi sina upuuzi wala muda wa kufanya ujinga kama huo wa kufungua 2 IDs for bullshit purposes, soma comment zangu uone kama nina haiba ya kuwa social na mcheshi even kutumia emoji sababu situmii simu.
Support? what the fukc is Support?
Fukc you and your condescendence, Seems like I can't be civilized in front of A-holes.

Thank you for ruining my day.
 
Mzee Kuna wanaume wangapi Leo hii wanaendesha familia zao kwa kupika....? Na Kuna mabilionea wangapi walio patikana kwa kupika. ...?


Open up
Asilimia 80 ya menu zinazopikwa na Watanzania ni tofauti na zile za kwenye mahoteli kwanza sidhani kama moja ya vigezo utatumia kuomba kazi ya upishi kuwa ni ulifunzwa kupika utotoni.

Sifungamani na upande wowote lakini mpaka sasa hivi hakuna aliyempinga mleta sredi kwa hoja zenye mashiko.

Mwanaume anabadilika kutokana na mazingira, mimi sijafundishwa kupika lakini mazingira yamenifanya nijuwe kupika.

Kwahiyo kufunzwa au kutokufunzwa kupika kwa mtoto wa kiume hakumuongezei wala kumpunguzia chochote.
 
Jamaa atakuwa ndo katoka jela toka enzi za ukoloni,kaka skuizi dada zetu ni mabosi zetu ,viongozi na tunawatii kwa moyo mkunjufu.wake zetu wakisema wamechoka tunaingia jikoni tunakaangiza ,kushilikiana na hawa ndugu zetu wa kike raha sana
 
Ni huyo huyo mtoa mada alipoona amekosa sapoti akaja na ID nyingine ili ajisapoti,

angalia majina yao (Weakman, Teenager)

lol, mjini mipango.
Hapo chini umeandika "Proudly LGBTQI+ Activist". ndio uchafu gani huo?
Sasa kama nyie mnaweza kuwa mashabaki wa hayo mambo machafu basi kwenu kamwe haiwezi kuwa ajabu kwa mtoto wa kiume kufundishwa kupika na kupewa ratiba za kupika kama dada zake. hamna mipaka wala human morals, hamna hali ya utu wala ubinadamu ni kama maiti inayotembea sababu mko zaidi ya wanyama wa msituni.

I couldn't realize I was actually arguing with a little fairy, an unstable and mental ill person.
 
Back
Top Bottom