Wazazi tusiache kusomesha watoto wa kike

Wazazi tusiache kusomesha watoto wa kike

Mnaenda kwenye Ndoa na ajenda zenu..

Nijitongozeshe,anioe nimuache nichukue 50%.nika enjoy.chukua Sasa..


Unataka umfananishe mama na mke (tena hawa wa kizazi kipya).Una kichaa???

1.Mama
2.Mama
3.Mama
4.Kaka/Dada/Watoto
5.mke

Hivi honestly speaking,kuna mwanamke wa kumpa thamani akakaa hata kwenye top 4 hapo???kama sio wanaume wachache wamebahatisha ndo wanaweza kumuweka hapo juu..mke

Kuna kitu kimepoteza thamani km mke nowadays??Unadhani vijana ni wajinga kukwepa kuoa???


Mimi mke wangu atakuja kukaa hapo kwenye 1 au 2 akifikisha miaka 45 bila mauzauza ndo naweza mzingatia nikamuweka hapo..

Kwa Sasa muache awepo ana hang hang.Hamna makubwa niliyopitia na yeye aka prove she deserves Seat no .1..

A woman has to prove she is the One..

Kama ambavyo mama Ali prove kwamba ana Mchango kwa kunilea Toka utoto mpk umri huu.Na yeye a prove kwamba nafasi ya mke anahistahili otherwise utampa mtu thamani kubwaaa mwisho wa siku Yeye ndo anakukwamisha...Nione kweli anastahili.

Na hapo kwenye ku prove ndo kipengele
Sawa mkuu
 
Habari ndio hiyo, sasa hivi wanawake wasome wafuate ndoto zao wafanye kazi au biashara wanazozitaka, hakuna tena kufuata ndoto za mume

Kila mtu awe busy kutafuta pesa zake, mwanamke hata akiondoka asubuhi na kurudi usiku hatakiwi kuulizwa wala kulalamikiwa sababu naye anatafuta pesa zake, ili mwisho wa siku wakiachana naye awe na chake asidai cha mumewe

Na wanaume waache kelele za oo mke wangu hanipikii hanifulii hanipetipeti wala hanijali kama anavyowajali watoto, maana kumbuka naye yuko busy kama wewe anatafuta pesa zake, hapo ndoa ndio zitakuwa rahisi
Mnaweza sasa hayo ulosema mna kazi zenu tu kila siku vizinga
 
SASA YULE JAMAA WAPI KAMDHARAU MWANAMKE? YEYE HAJAMUAMINI MKEWE ALIJUA KABISA AFTER YEYE KUFANIKIWA KILA MWANAMKE ANAEKUJA KWAKE NI KWAAJILI YA ALICHONACHO NA SIO UPENDO WA DHATI HIVYO AKAJIANDAA MAPEMA, NA KUMBE NI KWELI BHANA... JAMAA AMEJUA KWENDA NA MAANDIKO. NINYI NI WA KUISHI NANYI KWA AKILI.

NA UNAVYOZUNGUMZIA ELIMU KWAMBA NDO UKOMBOZI WENU IT'S GOOD ILA KWANI YULE DADA UNADHANI HAJASOMA?? IFIKE MAHALI WANAWAKE WAWE NA CHEMBE YA UTU, KINDOA CHA MWAKA MMOJA UMENIKUTA NIPO NA KILA KITU ALAFU UNATAKA TUKIACHANA TUGAWE MALI HUO SI UFALER.
 
Back
Top Bottom