Wazazi wa mkoa wa Arusha wasaidiwe malezi kwa watoto wao

Nafikiri wewe umekariri wale unaowaone mitandaoni ila sio kweli. Mbona vijana wengi wanavaa fresh tu huku Arusha mzee.
Arusha nimetembea mitaa yake hakuna mkoa nikienda nahisi kila kijana mwizi kama Arusha. Wanaongea kwa gambe, wanatembea kwa fujo, wanavaa kama wakimbizi, wengi tu pombe na bangi ni kama lifestyle yani kila ukipishana nao unajiandaa lolote likitokea.

Kwa waliozoea wanakwambia kawaida ila ni kulea ujinga, mtu mwenye akili timamu asiye na mtindio wa ubongo unavaaje buti kubwa size 45 wakati mkuu wako ni 41?
Mtu unanunuaje shati XXXL wakati size yako ni medium?
 
Ni mkoa pekee wanaoshindana kua wajinga.

Yaani mjinga zaidi ndo mwenye heshima zaidi mtaani.
Si uliona alivoibuka yule chalii nani sijui kule bongo star search, aliiwakilisha vyema chuga.

Kila kijana wa chuga akihojiwa bas anaonea vilevile, anavaa vilevile 😂😂.

Ajabu wakienda kuish dar wanabadilika wanakua kama wazaramo tu, maneno meeengi..

Ila wakubwa zao wanasaka noti aisee, sijui na kizazi cha buku 2 kitawafata, manzese, mabibo maduka na bar kubwa 90% wamekamata watu wa kaskazini.
 
Wazazi hawa wameshindwa kabisa kulea watoto wao hasa wa kiume

Unakuta mtoto ameshafikisha umri wa kujitegemea lakini bado anaiehi kwa wazazi wake Tena anajiona ndani pale yeye ni kidume

Kati ya vijana 10 walioachiwa urithi hasa wa mashamba

Ni mmoja tu au wawili ndo walivitumia vizuri

Wanapenda Sana bike kuliko kitu kingine,

Hawezi pita siku bila kusikia tusi hasa kutaja kiungo kile Cha mwanamke,

Vijana wengi ni walevi kuliko wazee,

Na hawana kabisa mpango wa kuoa😎

Pia bado wana ukabila wa chini chini baadhi ya maeneo mengi hasa ya wazawa,

Wana wivu sana, hasa watu wazima,

Ni hayo tu.
Vijana wa huko wengi ni wahovyo! Hasa miaka ya hivi karibuni ndo wameharibika kbs. Miaka ya nyuma Arusha vijana wake walikua wamenyooka kwel
 
Ni mkoa pekee wanaoshindana kua wajinga.

Yaani mjinga zaidi ndo mwenye heshima zaidi mtaani.
Si uliona alivoibuka yule chalii nani sijui kule bongo star search, aliiwakilisha vyema chuga.

Kila kijana wa chuga akihojiwa bas anaonea vilevile, anavaa vilevile 😂😂.

Ajabu wakienda kuish dar wanabadilika wanakua kama wazaramo tu, maneno meeengi..

Ila wakubwa zao wanasaka noti aisee, sijui na kizazi cha buku 2 kitawafata, manzese, mabibo maduka na bar kubwa 90% wamekamata watu wa kaskazini.
Wachaga (wale wasiolewa) ndio kidogo wanawachangamsha na kuwashtua akili vijana wapumbavu wa Arusha.
Hao machalii wangekuwa mkoa kama Morogoro au Shinyanga wangekuwa wendawazimu zaidi na maskini kama mbwa koko wa uswahilini. Wanaleta ujinga na kutafuta sifa za kiwendawazimu.
 
Ukikuta mzee anachoma nyama kuna kijana anahudumia watu, huyo anafundishwa kazi, mara moja moja anaachiwa jiko, hata huyo mzee alishakuwa kijana pia, hakuzaliwa mzee.

Hii nimeielewa sana na nimeshuhudia ikifanyika. Njia nzuri ya kufuta umasikini kwenye family na jamii kwa ujumla.

Safi.
 
Wazazi hawa wameshindwa kabisa kulea watoto wao hasa wa kiume

Unakuta mtoto ameshafikisha umri wa kujitegemea lakini bado anaiehi kwa wazazi wake Tena anajiona ndani pale yeye ni kidume

Kati ya vijana 10 walioachiwa urithi hasa wa mashamba

Ni mmoja tu au wawili ndo walivitumia vizuri

Wanapenda Sana bike kuliko kitu kingine,

Hawezi pita siku bila kusikia tusi hasa kutaja kiungo kile Cha mwanamke,

Vijana wengi ni walevi kuliko wazee,

Na hawana kabisa mpango wa kuoa[emoji41]

Pia bado wana ukabila wa chini chini baadhi ya maeneo mengi hasa ya wazawa,

Wana wivu sana, hasa watu wazima,

Ni hayo tu.
Sawa tumekusikia tutafanyia kazi
 
Ata hao wazee unaowasifia pia walikua vijana sa sjui unamaanisha nn
Lkn pia ktk maisha kla mtu kla familia inakipaumbele chake ww unaweza ona kutoka nyumban na kwenda kujitegemea ni ujanja ila mwenzako akaona ni ujinga jifunze kutokupangia watu maisha

Kupanga na kujitegemea sio akili wala ujanj ila ni stage ya makuzi au maisha ya binaadmu na sio lazma kla mtu apite stage iyo

Pombe na bike ni jadi yetu
 
Arusha ni mkoa wa vijana wapuuzi wanaojikuta wanajua. Unakuta amevaa mabuti makubwa, shati kubwa, nywele chafu, wanaongea lugha mbovu ila wanajiona wajanja. Wazazi wao na vijana wao wote kwa pamoja wachapwe viboko
Wanajiita Wachuga. Lafudhi yao ni tofauti kabisa na Watanzania wengine. Niliwakemea vijana fulani huko Arusha Mjini kwa vile walikuwa wakitaka kufanya uhalifu. Lakini walianza kutoa pisipisi na kunitishia kunichoma nazo. Ilinibidi kuondoka sehemu hiyo mapema kabla ya kutobolewa utumbo.
 
Wachaga (wale wasiolewa) ndio kidogo wanawachangamsha na kuwashtua akili vijana wapumbavu wa Arusha.
Hao machalii wangekuwa mkoa kama Morogoro au Shinyanga wangekuwa wendawazimu zaidi na maskini kama mbwa koko wa uswahilini. Wanaleta ujinga na kutafuta sifa za kiwendawazimu.
Hao unaowaita vijana wa Arusha ni mchanganyiko wa jamii nyingi Wachaga wakiwemo usfikiri ni wale wenye asili ya Arusha pekee.
 
unaweza mlinganisha muhasibu mwenye bachelor na mwenye experience ya 10 yrs kazini na cpa juu? Au bikra na kahaba kwenye kunyanduana? Au kuli mzoefu na aliyeanza ukuli jana ktk kubeba mizigo bandarini, au wale mbwa wa police trained na mbwa koko wa mtaani? Au panya nyagawa na panya wa nyumbani kwako?
nyboma
 
Wachaga (wale wasiolewa) ndio kidogo wanawachangamsha na kuwashtua akili vijana wapumbavu wa Arusha.
Hao machalii wangekuwa mkoa kama Morogoro au Shinyanga wangekuwa wendawazimu zaidi na maskini kama mbwa koko wa uswahilini. Wanaleta ujinga na kutafuta sifa za kiwendawazimu.
Labda huko kwao ndp wana sifa za kijinga, ila DSM wachaga ni wapambanaji haswa.
 
Back
Top Bottom