Wazazi wa mkoa wa Arusha wasaidiwe malezi kwa watoto wao

Arusha nimetembea mitaa yake hakuna mkoa nikienda nahisi kila kijana mwizi kama Arusha. Wanaongea kwa gambe, wanatembea kwa fujo, wanavaa kama wakimbizi, wengi tu pombe na bangi ni kama lifestyle yani kila ukipishana nao unajiandaa lolote likitokea.

Kwa waliozoea wanakwambia kawaida ila ni kulea ujinga, mtu mwenye akili timamu asiye na mtindio wa ubongo unavaaje buti kubwa size 45 wakati mkuu wako ni 41?
Mtu unanunuaje shati XXXL wakati size yako ni medium?
Sehemu gani Arusha wanafanya hivyo? Mi nipo Ungalimited hakuna kitu kama hiko.
 
unaweza mlinganisha muhasibu mwenye bachelor na mwenye experience ya 10 yrs kazini na cpa juu? Au bikra na kahaba kwenye kunyanduana? Au kuli mzoefu na aliyeanza ukuli jana ktk kubeba mizigo bandarini, au wale mbwa wa police trained na mbwa koko wa mtaani? Au panya nyagawa na panya wa nyumbani kwako?
Sidhani kama ktk kuchoma nyama kuna hitaji experience kulinganisha na hizo kada ulizotaja hasa ya UHASIBU.

MAPISHI ni Systematic process.. Ukishajua nini kinaanza nini kinamalizika baasi. Tofauti na UHASIBU au Kada zingine..

Unataka kusema mzee aliyekaanga chips kwa miaka 30 na Kijana aliyekaanga Chips kwa miaka 3 hawa radha za chips zao zipo tofauti?

Siamini kirahisi hiy hoja ya Umri na uchomaji nyama..
 
Kioneni hk kiazi embu
 
1. Wahuni wapo kila mahali mkuu

2. Sio vijana wote wapo hivyo, ni wachache, na inategemea na maeneo

3. Arusha unayoiona mitandaoni ni tofauti na uhalisia

Ndo maana napenda kusema 'Arusha is one big meme'
 
Hao unaowaita vijana wa Arusha ni mchanganyiko wa jamii nyingi Wachaga wakiwemo usfikiri ni wale wenye asili ya Arusha pekee.
Kwani mtu akisema wanaume wa Dar unafikiri ni wazaramo tu?
 
Sehemu gani Arusha wanafanya hivyo? Mi nipo Ungalimited hakuna kitu kama hiko.
Hulka na tabia kwa uvaaji hizo za mtumba mnazovaa nyingi zimepauka chafu kwa kijana msafi hawezi kuvaa ...Kwanza kushinda na makoti sio ustaarabu hata uende wapi vijana wanapigo za uwizi mda wote wamekaa kihasira hasira ...

Kama hujazoea lazima uoe vijana kama vibaka kama wote.
 
Wazazi hawa wameshindwa kabisa kulea watoto wao hasa wa kiume

Unakuta mtoto ameshafikisha umri wa kujitegemea lakini bado anaiehi kwa wazazi wake Tena anajiona ndani pale yeye ni kidume

Kati ya vijana 10 walioachiwa urithi hasa wa mashamba

Ni mmoja tu au wawili ndo walivitumia vizuri

Wanapenda Sana bike kuliko kitu kingine,

Hawezi pita siku bila kusikia tusi hasa kutaja kiungo kile Cha mwanamke,

Vijana wengi ni walevi kuliko wazee,

Na hawana kabisa mpango wa kuoa😎

Pia bado wana ukabila wa chini chini baadhi ya maeneo mengi hasa ya wazawa,

Wana wivu sana, hasa watu wazima,

Ni hayo tu.
wacha tukae kwa wazazi wetu man wewe inakuuma nini piga mbizi kwa lami. mbona Yesu mkombozi wetu anakalia zake kwa baba yake mbinguni
 
Wazazi hawa wameshindwa kabisa kulea watoto wao hasa wa kiume

Unakuta mtoto ameshafikisha umri wa kujitegemea lakini bado anaiehi kwa wazazi wake Tena anajiona ndani pale yeye ni kidume

Kati ya vijana 10 walioachiwa urithi hasa wa mashamba

Ni mmoja tu au wawili ndo walivitumia vizuri

Wanapenda Sana bike kuliko kitu kingine,

Hawezi pita siku bila kusikia tusi hasa kutaja kiungo kile Cha mwanamke,

Vijana wengi ni walevi kuliko wazee,

Na hawana kabisa mpango wa kuoa😎

Pia bado wana ukabila wa chini chini baadhi ya maeneo mengi hasa ya wazawa,

Wana wivu sana, hasa watu wazima,

Ni hayo tu.
SIjaona bado hao vijana wa arusha wamekugusa wapi mkuu hebu funguka
 
Sidhani kama ktk kuchoma nyama kuna hitaji experience kulinganisha na hizo kada ulizotaja hasa ya UHASIBU.

MAPISHI ni Systematic process.. Ukishajua nini kinaanza nini kinamalizika baasi. Tofauti na UHASIBU au Kada zingine..

Unataka kusema mzee aliyekaanga chips kwa miaka 30 na Kijana aliyekaanga Chips kwa miaka 3 hawa radha za chips zao zipo tofauti?

Siamini kirahisi hiy hoja ya Umri na uchomaji nyama..
Experience ina mchango kwenye kila kitu.
 
Back
Top Bottom