Wazazi wa mkoa wa Arusha wasaidiwe malezi kwa watoto wao

Sehemu gani Arusha wanafanya hivyo? Mi nipo Ungalimited hakuna kitu kama hiko.
 
Sidhani kama ktk kuchoma nyama kuna hitaji experience kulinganisha na hizo kada ulizotaja hasa ya UHASIBU.

MAPISHI ni Systematic process.. Ukishajua nini kinaanza nini kinamalizika baasi. Tofauti na UHASIBU au Kada zingine..

Unataka kusema mzee aliyekaanga chips kwa miaka 30 na Kijana aliyekaanga Chips kwa miaka 3 hawa radha za chips zao zipo tofauti?

Siamini kirahisi hiy hoja ya Umri na uchomaji nyama..
 
Kioneni hk kiazi embu
 
Mpo busy na watu wa Arusha kuliko kuwa busy na maisha yenu mnafail
 
1. Wahuni wapo kila mahali mkuu

2. Sio vijana wote wapo hivyo, ni wachache, na inategemea na maeneo

3. Arusha unayoiona mitandaoni ni tofauti na uhalisia

Ndo maana napenda kusema 'Arusha is one big meme'
 
Hao unaowaita vijana wa Arusha ni mchanganyiko wa jamii nyingi Wachaga wakiwemo usfikiri ni wale wenye asili ya Arusha pekee.
Kwani mtu akisema wanaume wa Dar unafikiri ni wazaramo tu?
 
Sehemu gani Arusha wanafanya hivyo? Mi nipo Ungalimited hakuna kitu kama hiko.
Hulka na tabia kwa uvaaji hizo za mtumba mnazovaa nyingi zimepauka chafu kwa kijana msafi hawezi kuvaa ...Kwanza kushinda na makoti sio ustaarabu hata uende wapi vijana wanapigo za uwizi mda wote wamekaa kihasira hasira ...

Kama hujazoea lazima uoe vijana kama vibaka kama wote.
 
wacha tukae kwa wazazi wetu man wewe inakuuma nini piga mbizi kwa lami. mbona Yesu mkombozi wetu anakalia zake kwa baba yake mbinguni
 
SIjaona bado hao vijana wa arusha wamekugusa wapi mkuu hebu funguka
 
Experience ina mchango kwenye kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…