green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Ndio muache undina wa kiboya mkisha vuta bange mnajiona mpo Jamaicahv arusha tu ndo mnaonaga haya mnayoyaongelea? huko kwenu hayapo? wachaneni na watu wa arusha bana.
tz nzima bangi inavutwa arusha tuNdio muache undina wa kiboya mkisha vuta bange mnajiona mpo Jamaica
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa wanavyochoma nyama hawa jamaa sioni utaalam wowote hasa kwa upande wa Uzoefu hakuna hiyo mantiki.mchukue mama ntilie mtaani kwako umpelele five star hotel akapike, kupika si kupika tu mkuu
Rrondo hebu maliza utata huuKwani mtu akisema wanaume wa Dar unafikiri ni wazaramo tu?
Vijana wa arusha naona tu wana vituko,wanavaa masuaruali makoti makofia maviatu makubwaa sijui ndyKwani mtu akisema wanaume wa Dar unafikiri ni wazaramo tu?
ss huku watu wanataka kitu natural mkuu hzo mambo ya viungo peleka pwani huko, Wapi ulisikiaga ndafu inawekwa viungo,Kwa wanavyochoma nyama hawa jamaa sioni utaalam wowote hasa kwa upande wa Uzoefu hakuna hiyo mantiki.
Nyama inachomwa haiwekewi viungo vyovyote zaidi ya chumvi.
Muda huo huo kamchukue kijana aliyemaliza mafunzo ya mapishi akuchomee nyama hali yakuwa hana experience zaidi ya mwaka ktk uchomaji nyama, huyu atakupa nyama nzuri zaidi ya huyo MZEE aliyechoma nyama miaka 20.
Vijana wa arusha wengi wanaukichaa wa chinichini alafu sasa wanajiona wajanja kweli kumbe wehu tu.Wazazi hawa wameshindwa kabisa kulea watoto wao hasa wa kiume
Unakuta mtoto ameshafikisha umri wa kujitegemea lakini bado anaiehi kwa wazazi wake Tena anajiona ndani pale yeye ni kidume
Kati ya vijana 10 walioachiwa urithi hasa wa mashamba
Ni mmoja tu au wawili ndo walivitumia vizuri
Wanapenda Sana bike kuliko kitu kingine,
Hawezi pita siku bila kusikia tusi hasa kutaja kiungo kile Cha mwanamke,
Vijana wengi ni walevi kuliko wazee,
Na hawana kabisa mpango wa kuoa😎
Pia bado wana ukabila wa chini chini baadhi ya maeneo mengi hasa ya wazawa,
Wana wivu sana, hasa watu wazima,
Ni hayo tu.
Mkuu mimi Arusha huwa nakaa siku 3-4 tu nikisema nawajua vijana wa huko nitakuwa muongo. Hata maeneo ambayo huwa nakaa na kutembelea wale wavaa mabuti makubwa na makoti sijawahi kuwaona.Rrondo hebu maliza utata huu
Ni kweli vijana wa chuga wamewehuka [emoji1]
Ova
Hizo ni Tamaduni kama vile Wanaume wa kisukuma wanavo vaa ShangaArusha ni mkoa wa vijana wapuuzi wanaojikuta wanajua. Unakuta amevaa mabuti makubwa, shati kubwa, nywele chafu, wanaongea lugha mbovu ila wanajiona wajanja. Wazazi wao na vijana wao wote kwa pamoja wachapwe viboko
Mimi mwenyewe hivi vitu naishiaga kuvisoma huku jf tu, nimeishi njiro kwa miaka mingi tu na sijaona hayo mamboSehemu gani Arusha wanafanya hivyo? Mi nipo Ungalimited hakuna kitu kama hiko.
Kazi ya Viungo ni nini? Ukishajua kazi yake kaa chini jitafutie Tusi zuri litakalokufaa.ss huku watu wanataka kitu natural mkuu hzo mambo ya viungo peleka pwani huko, Wapi ulisikiaga ndafu inawekwa viungo,
Sure chanzo kikubwa ni ukosefu wa ajiraHilo tatizo la vijana kukaa nyumbani wakati wamefika umri wa kujitegemea ni la nchi nzima
Dar ndo usiseme.Hilo tatizo la vijana kukaa nyumbani wakati wamefika umri wa kujitegemea ni la nchi nzima
🤠🤠🤠🤠🤠😁🤭
Huko m aupumbav mwingi sana..hv arusha tu ndo mnaonaga haya mnayoyaongelea? huko kwenu hayapo? wachaneni na watu wa arusha bana.
huko simiyu watu wazima na mapumbu yao kwenye suruali wanakunya pembezoni mwa nyumba.Huko m aupumbav mwingi sana..
"Two wrongs does not make it right"huko simiyu watu wazima na mapumbu yao kwenye suruali wanakunya pembezoni mwa nyumba.