Wazazi wa mtoto huyu watakesha wanabubujikwa machozi ya furaha na kumuombea maisha marefu Rais Samia

Mambo mnayakuza mno nyie chawa hivi mama kutimiza wajibu wake hilo nalo ni la kujadili
 
Kuna waliofanya makubwa sana kuliko hayo mbona haujawahi kuandika kuwashukuru!
 
Huu msafara ungepunguzwa by half watoto zaidi ya 50 wenye uhutaji wa mguu au baiskeli za miguu mitatu wangeweza kuguswa na kupata unafuhu wa maisha .
 

Attachments

  • 5771428-3ac42bba2641c68d8af63f1a2f71a52.mp4
    6.8 MB
Ukitukana hiyo kenge maji muosha mbwa huwezi pigwa bana mkuu
 
Mama Samia ana hofu ya Mungu. Huwezi mfananisha na watu waliokosa aibu wanaochangisha maskini mamilioni ili kununua V8 la Lissu. Hongera Lucas kwa uzi mfupi wenye ufafanuzi wa kutosha.
Machawa wakipongezana, hii si bungeni tu mpaka jf kazi ni ile ile.
 
Yeye anafanya hivyo kupitia kodi za wa tanzania MALISA G anafanya makubwa kwa watanzania wengi sana ktk kuokoa uhai wao na wengine kusaidiwa mambo mengi mfano elimu, kujengewa makazi nk.
Huyu tumuweke ktk kundi gani.
Mi nadhani bwana lucas jaribu kuwa rational, acha uchawa.
Kuna watu wenye mioyo ya utu kuliko huyo unae mchawia.
 
Lucas, mama yetu Samia Suluhu Hassan hatakuwa mwny huruma wala uelewa.

Umefanya kazi kubwa. Unafaa kulitumikia taifa, naamini ataelewa.
 
Unalipwa ujira kiasi gani wewe kibaraka kwa kupiga zumari na ngoma
 
Kasaidia mmoja tu aliyeonekana hapo je ambao hawakuonekana inakuwaje?Kunatakiwa kuwa na mifumo kushughulikia matatizo Kwa ujumla na siyo huu ujuha anaoufanya huu wa kuigiza ili aonekane anasaidia kumbe hamna kitu.
 
Kama umeona wivu kwa mtoto yule kusaidiwa basi na wewe nenda ukafanye hivyo
 
Kasaidia mmoja tu aliyeonekana hapo je ambao hawakuonekana inakuwaje?Kunatakiwa kuwa na mifumo kushughulikia matatizo Kwa ujumla na siyo huu ujuha anaoufanya huu wa kuigiza ili aonekane anasaidia kumbe hamna kitu.
Kwani wewe nani amekuzuia kuwasaidia hao wengine? Kwanini unakuwa na roho kama shetani?
 
Usimfananishe Mheshimiwa Rais na vichuguu. Unafahamu Rais Samia amegusa maisha ya mamilioni mangapi ya watanzania?
 
Kwa nyuzi zako zilivyo ndefu, naona kabisa ukiziongea utatoa mapovu ya mdomo
Huyu jamaa ako ndo wale wanatembea na panadol ili wameze wakimaliza kuongea ili kutuliza maumivu
 
Ni upuuzi mtupu. Alipaswa kuweka mifumo ya kuwasaidia watanzania wengi walio na changamoto kama ya huyu mtoto
 
Unakuza sana mambo!
Lucas ushawahi kumuona mtu anaongea hadi mdomo unatoa mapovu meupe?
Haa Zamani Watu Aina Hiyo Waliitwa SHIHATA (Shirika La Habari Tanzania)


Miaka Hii Wanasema Friji Haligandishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…