AnyWayZ
JF-Expert Member
- May 30, 2022
- 4,880
- 8,424
Ndiyo kabisa, bora shetani mkweli kuliko malaika mnafiki kama nyie.Kweli kuna watu mna mioyo ya kishetani na roho za kwanini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo kabisa, bora shetani mkweli kuliko malaika mnafiki kama nyie.Kweli kuna watu mna mioyo ya kishetani na roho za kwanini.
Kuna waliofanya makubwa sana kuliko hayo mbona haujawahi kuandika kuwashukuru!Ndugu zangu Watanzania,
Kila nikikaa nikawaza na kufikiria makubwa na mazito anayoyafanya Rais Samia katika Taifa letu kugusa maisha ya watanzania.Nabakia kusema Mama yetu Mpendwa na Rais wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Alizaliwa katika ardhi ya Tanzania kuja kuwafuta watu machozi na kuwarejeshea tabasamu katika mioyo yao.
Mama yetu Daktari Samia ni Mama Mwenye huruma isiyoelezeka wala kupimika katika mzani.Ni mama mwenye moyo wa upendo wa hali ya juu sana,ni Mama mwenye utu na kuguswa na matatizo ya watu.ni Mtumishi wa kweli wa watu ,ni Mama ambaye moyo wake na Maisha yake amejitolea kwa ajili ya kuwatumikia watanzania kwa moyo wake wote.
Embu fikiria ndugu yangu mtanzania, Unafikiri wazazi wa Mtoto huyu ambaye Mama yetu na Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia ameahidi kumhudumia na kumsaidia kupata mguu wa bandia . unafikiri wazazi wa Mtoto huyu wana furaha kiasi gani mioyoni Mwao? Unafikiri ni vipi wanaweza sahau upendo na huruma ya Rais Samia kwa mtoto wao? Ni vipi watalala na wakapata usingizi bila kumuombea maisha marefu Rais Samia?
Unafikiri Mtoto huyu na Mwanafunzi huyu aliyegusa hisia za watu atamsahau vipi Rais Samia? Unafikiri ni furaha kiasi gani atakayokuwa nayo mtoto huyu pindi atakapopatiwa Mguu wa Bandia? Unafikiri anaweza vipi kulisahau jina la Rais Samia moyoni Mwake katika uhai wake wote hapa Duniani ? Unafikiri atawasimulia nini watoto wenzake mpaka wajukuu zake panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu?
Ndugu zangu Watanzania unaweza kuwa na chuki binafsi na Rais Samia .lakini ukweli ni Kuwa Rais Samia ni mtu na nusu,ni kiongozi ambaye tunapaswa kumuombea Maisha marefu na kumuunga mkono kuendelea kutuongoza Watanzania. Ni kiongozi ambaye wapo watu watakuja waje wamkumbuke sana na kumlilia sana kwa mazuri aliyo watetendea atakapomaliza muda wake wa Urais hapo 2030 panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
View attachment 3045822
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ukitukana hiyo kenge maji muosha mbwa huwezi pigwa bana mkuuIla we jamaa unanilazimisha kupata dhambi ya kutokana kimoyomoyo japo sijui matusi. Unanipa wakati mgumu sana. Sijawahi kupata ban ila nna uhakika utakuja kunifanya nipate bila kupenda.
Kweli jambo jema limefanyika. Lakini maelezo Yako yanaondoa mantiki yote ya bandiko lako.
Kwa kuona hili tatizo, kwanini asiimarishe taasisi itakayohakikisha watoto/watu wenye hayo matatizo wanapata hii huduma Kwa urahisi na kufikia wengi?
Machawa wakipongezana, hii si bungeni tu mpaka jf kazi ni ile ile.Mama Samia ana hofu ya Mungu. Huwezi mfananisha na watu waliokosa aibu wanaochangisha maskini mamilioni ili kununua V8 la Lissu. Hongera Lucas kwa uzi mfupi wenye ufafanuzi wa kutosha.
Mbona hawampongezi mtaalam mbobevu wa kuiba kura?Machawa wakipongezana, hii si bungeni tu mpaka jf kazi ni ile ile.
Hujitambui weweBahati mbaya siwezi kujibishana na MACHOKO
Yeye anafanya hivyo kupitia kodi za wa tanzania MALISA G anafanya makubwa kwa watanzania wengi sana ktk kuokoa uhai wao na wengine kusaidiwa mambo mengi mfano elimu, kujengewa makazi nk.Ndugu zangu Watanzania,
Kila nikikaa nikawaza na kufikiria makubwa na mazito anayoyafanya Rais Samia katika Taifa letu kugusa maisha ya watanzania.Nabakia kusema Mama yetu Mpendwa na Rais wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Alizaliwa katika ardhi ya Tanzania kuja kuwafuta watu machozi na kuwarejeshea tabasamu katika mioyo yao.
Mama yetu Daktari Samia ni Mama Mwenye huruma isiyoelezeka wala kupimika katika mzani.Ni mama mwenye moyo wa upendo wa hali ya juu sana,ni Mama mwenye utu na kuguswa na matatizo ya watu.ni Mtumishi wa kweli wa watu ,ni Mama ambaye moyo wake na Maisha yake amejitolea kwa ajili ya kuwatumikia watanzania kwa moyo wake wote.
Embu fikiria ndugu yangu mtanzania, Unafikiri wazazi wa Mtoto huyu ambaye Mama yetu na Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia ameahidi kumhudumia na kumsaidia kupata mguu wa bandia . unafikiri wazazi wa Mtoto huyu wana furaha kiasi gani mioyoni Mwao? Unafikiri ni vipi wanaweza sahau upendo na huruma ya Rais Samia kwa mtoto wao? Ni vipi watalala na wakapata usingizi bila kumuombea maisha marefu Rais Samia?
Unafikiri Mtoto huyu na Mwanafunzi huyu aliyegusa hisia za watu atamsahau vipi Rais Samia? Unafikiri ni furaha kiasi gani atakayokuwa nayo mtoto huyu pindi atakapopatiwa Mguu wa Bandia? Unafikiri anaweza vipi kulisahau jina la Rais Samia moyoni Mwake katika uhai wake wote hapa Duniani ? Unafikiri atawasimulia nini watoto wenzake mpaka wajukuu zake panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu?
Ndugu zangu Watanzania unaweza kuwa na chuki binafsi na Rais Samia .lakini ukweli ni Kuwa Rais Samia ni mtu na nusu,ni kiongozi ambaye tunapaswa kumuombea Maisha marefu na kumuunga mkono kuendelea kutuongoza Watanzania. Ni kiongozi ambaye wapo watu watakuja waje wamkumbuke sana na kumlilia sana kwa mazuri aliyo watetendea atakapomaliza muda wake wa Urais hapo 2030 panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
View attachment 3045822
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lucas, mama yetu Samia Suluhu Hassan hatakuwa mwny huruma wala uelewa.Ndugu zangu Watanzania,

Kama umeona wivu kwa mtoto yule kusaidiwa basi na wewe nenda ukafanye hivyoIla we jamaa unanilazimisha kupata dhambi ya kutukana kimoyomoyo japo sijui matusi. Unanipa wakati mgumu sana. Sijawahi kupata ban ila nna uhakika utakuja kunifanya nipate bila kupenda.
Kweli jambo jema limefanyika. Lakini maelezo Yako yanaondoa mantiki yote ya bandiko lako.
Kwa kuona hili tatizo, kwanini asiimarishe taasisi itakayohakikisha watoto/watu wenye hayo matatizo wanapata hii huduma Kwa urahisi na kufikia wengi?
Kwani wewe nani amekuzuia kuwasaidia hao wengine? Kwanini unakuwa na roho kama shetani?Kasaidia mmoja tu aliyeonekana hapo je ambao hawakuonekana inakuwaje?Kunatakiwa kuwa na mifumo kushughulikia matatizo Kwa ujumla na siyo huu ujuha anaoufanya huu wa kuigiza ili aonekane anasaidia kumbe hamna kitu.
Kama umeona wivu kwa mtoto yule kusaidiwa basi na wewe nenda ukafanye hivyo
Usimfananishe Mheshimiwa Rais na vichuguu. Unafahamu Rais Samia amegusa maisha ya mamilioni mangapi ya watanzania?Yeye anafanya hivyo kupitia kodi za wa tanzania MALISA G anafanya makubwa kwa watanzania wengi sana ktk kuokoa uhai wao na wengine kusaidiwa mambo mengi mfano elimu, kujengewa makazi nk.
Huyu tumuweke ktk kundi gani.
Mi nadhani bwana lucas jaribu kuwa rational, acha uchawa.
Kuna watu wenye mioyo ya utu kuliko huyo unae mchawia.
Huyu jamaa ako ndo wale wanatembea na panadol ili wameze wakimaliza kuongea ili kutuliza maumivuKwa nyuzi zako zilivyo ndefu, naona kabisa ukiziongea utatoa mapovu ya mdomo
Umemjaza alafu alipojaa ukamnawa kweupeeee any way ile harusi yenu bado ipo?Unakuza sana mambo!
Lucas ushawahi kumuona mtu anaongea hadi mdomo unatoa mapovu meupe?
Haa Zamani Watu Aina Hiyo Waliitwa SHIHATA (Shirika La Habari Tanzania)Unakuza sana mambo!