Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Naomba ushauri wako mkuuWatu wengi humu wanajifanya wajuaji Sana wakati wanayoyaongea ni uongo.Siku hizi kuanzia shule ya msingi wako kwenye mfumo mmoja wa serikali.Kumhamisha mtoto shule ya private ni lazima kupita ngazi zote kwa mujibu wa serikali,unaanzia shuleni,unaenda kati hadi halimashauri.Nyie mdanganyeni wakati anaomba ushauri.Mifano mnayotoa ni ya Zamani.
Kasemaje? Yaani kawapigia kelele gani?Sheikh kishki kawapigia kelele sana walimu wake leo wa al hikma
Ukiomba ajira wanakwambia tuletee CV yako sio cheti cha Darasa la 7
Ndiyo vinahitajika kuwa admitted form oneKwani vyeti vya darasa la 7 vinatambulika tena kwenye kuonesha elimu au uombaji wa ajira. Nilisikia waziri alisema havitambuliki
Muwe mnafuatulia kanuni na taratibu kwa Sasa hakuna kitu kama hichoHaina athari ndugu. Anakosa tu admission shule za serikali.
Anaendelea sekondari kama kawaida na haitadhuru kufanya mitihani ya taifa ya kidato cha 2 na kuendelea.
Kwa kweli wajiunge watafute mwanasheria na kuzishtaki hizo shule ili kukomesha mtindo huu.Poleni sana,
Unganeni fuatilieni kujua mnajikwamuaje hapo
Duh kumbe! Basi mambo yamebadilika.Muwe mnafuatulia kanuni na taratibu kwa Sasa hakuna kitu kama hicho
Shule ya msingi utaratibu wa namba huanza toka std 4 ambayo itampa ruksa kufanya mtihan wa std 7 Kisha mtihan wa std 7 utampa ruksa kufanya mtihan wa FORM 2
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Aliwaambiaje. Waache njaa au..Sheikh kishki kawapigia kelele sana walimu wake leo wa al hikma
PREM No ni identity ya mwanafunzi. Inasaidia kujua idadi ya wanafunzi kuanzia shule Kata,tarafa,Wilaya ,mkoa hadi Taifa.Waalimu wa sekondari waje watuambue nini umuhimu wa PREM NUMBER ambayo mtoto anatokanayo shule ya msingi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nitumie namba yako inbox. Nipo naunda group la Whatsapp la wazazi wa watoto wote ambao wamefutiwa matokeo. Tusimame pamoja na kuongea kwa sauti mojaNdugu zangu, usiku wa leo sijalala vizuri, nimefadhaishwa sana na kitendo cha mwanangu wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya St Anne Marie academy ya jijini Dar es Salaam kufutiwa matokeo. Yaani nina hasira kali sana kiasi sijajua nichukue hatua gani dhidi ya uongozi wa shule.
Naombeni tushauriane, kama wewe siyo mhanga wa jambo hili unaweza pita kimya kimya tu maana kwa sasa sihitaji kejeli, nahitaji faraja na ushauri.
Hivi mtoto ataenda private? Je, haiwezi kuwa na athari kwenye mitihani ya form four?
Naomba kuwasilisha.
Sawa kabisa mkuuNitumie namba yako inbox. Nipo naunda group la Whatsapp la wazazi wa watoto wote ambao wamefutiwa matokeo. Tusimame pamoja na kuongea kwa sauti moja
Hakuna mzazi anayeweza unga mkono uhuni huu, ikithibitika wafungiwe kabisa, I wazazi na watoto ni whanga katika jambo hili, yaani sio fair kwa mzazi ambaye hana Idea na hata watoto wengine hawana Idea ama ridhaa katika mazingira kama hayo ...Naungana na serekali kufungia matokeo baadhi ya shule serekali ipo sahihi kabisa uhuni wa shule za binafsi haukubaliki kabisa, maana haiwezekani ndani ya darasa moja, swali la kwanza wanafunzi wote wajaze B, swali la pili wanafunzi wote wajaze C swali la tatu darasa ZIMA wakose, swali la nne wanafunzi wote wapate, alkadhalika hivyo hivyo kwa maswali yote 25. This is evils.
Aisee pole Sana inauma mno ku-invest kwa mtoto ukiamini anapewa elimu Bora kumbe Kuna wengine wanafanya ukora ili waongeze "umaarufu" kwa ajili ya kuwateka wateja...Ndugu zangu, usiku wa leo sijalala vizuri, nimefadhaishwa sana na kitendo cha mwanangu wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya St Anne Marie academy ya jijini Dar es Salaam kufutiwa matokeo. Yaani nina hasira kali sana kiasi sijajua nichukue hatua gani dhidi ya uongozi wa shule.
Naombeni tushauriane, kama wewe siyo mhanga wa jambo hili unaweza pita kimya kimya tu maana kwa sasa sihitaji kejeli, nahitaji faraja na ushauri.
Hivi mtoto ataenda private? Je, haiwezi kuwa na athari kwenye mitihani ya form four?
Naomba kuwasilisha.
Acha kumdanganya, atafanyaje mtihani wakati namba yake imefutwa?Haina athari ndugu. Anakosa tu admission shule za serikali.
Anaendelea sekondari kama kawaida na haitadhuru kufanya mitihani ya taifa ya kidato cha 2 na kuendelea.