Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

Hii tabia ya kupeleka wake zenu wakakae kwenu ni hatari sana, kuna Mzee alikuwa anamkaza Mkwe wake pindi mwanae wa kiume na Mke wake wakiwa wametoka.
Kamchezo kalikomaa hadi mzee akawa hataki tena mkwewe aondoke pale nyumbani
Wazee kama hawa ndio wa kukamata na kuwapiga pipe
 
😀😀😃😃😃😃wamekutafunia ,sasa unalaumu wazee wa watu bure wakati demu wako alikua anasifia kitambi kule .Pole
Hapana wanatumia pesa kama kigezo cha kutafuna na kuwala rika letu...
Kiufupi hiyo kiserikali haitakiwi kabisa 🤴
 
Ni wazee ila ni mwanaume mwenye hisia kama wewe kijana, kumbuka fimbo ya mbali haiuwi nyoka. Jitahidi tu usikae na mke wako mbali.
Mkuu hata ukiwa nae karibu.
Wazee wa hovyo hujawahi tu kumbana nao.

Wana mambo ya ajabu na ya aibu
 
Vibinti vya siku hizi vikashaona pesa akili zinahama unadhani ukivishauri vinakuelewa
Hapana na kwanini wao watangulize pesa mbele.

Maana binadamu kuona pesa na kuchanganyikiwa hiyo ni hali ya nature
 
Hata wazee pia hawajiheshumu..
Mkuu utambui kua mwanamke ni dhaifu wewe au ...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…