Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Hahahahaha enzi zetu tumekula sana bata bila stressTunakamataje fursa na tupo na msongo wa mawazo unaosababishwa na wazee hawa wachche ambao ujana wao walishindwa kuponda raha
Ahahahahah au sio mkuu..Hahahahaha enzi zetu tumekula sana bata bila stress
Nywele afro kiatu raizon suruali bugaloo juu pima chini kadilia
Enzi hizo Congo Kinshasa iko on hit wapi dally kimoko
Wapi lokassa ya mbongo
Nene tchakou
🙏🙏🙏 Tukutane baada ya kaziSawa mkuu mi leo nipo hapa kwa kazi hi ya kutokomeza hawa mapepo nyemelezi...
Uwe na siku njema mkuu
Safi mkuu🙏🙏🙏 Tukutane baada ya kazi
Kijana enzi hizo tunakata mauno ya kianaume leo hii vijana unavikuta vinacheza mziki vinabinua tu matako mara boxer iko nje halafu chafu kweli vingine mpaka Suez canal iko wazi unajiuliza vijana mmepatwa na nini?Ahahahahah au sio mkuu..
Kwahiyo umeona uniringishie sio.
Mkuu hata sisi hilo bata tunakula sana tu sema daah mnatubania kinoma noma an
Mkuu unavuka mipaka sasa .Kijana enzi hizo tunakata mauno ya kianaume leo hii vijana unavikuta vinacheza mziki vinabinua tu matako mara boxer iko nje halafu chafu kweli vingine mpaka Suez canal iko wazi unajiuliza vijana mmepatwa na nini?
Nahusikaje hapa mkuu, ile ni taarifa niliweka kama ilivyo, na ni kwa nia njema kabisa ya kufikisha ujumbe.Huyu mpuuzi na Half american ni wivu unawasukuma tu. Mambo ya Chura kukataza akinamama wasichote maji wakati hawezi kuyanywa na kuyamaliza. Vijana acheni wivu wa kijinga
Aaaaah mkuu taratibu sasa....kwa jinsi wanavyofanya is not fairMaandiko yanasema 'ufalme wa mbinguni utatekwa na wenye nguvu'
Kama na wewe unaungana kutetea hawa wazee wa hovyo...Nahusikaje hapa mkuu, ile ni taarifa niliweka kama ilivyo, na ni kwa nia njema kabisa ya kufikisha ujumbe.
Kila mtu ashinde mechi zake.
Pole kwa yaliyokukutaKijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali.
Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu asiyekuwepo machoni na moyoni hayupo na kuona ni kuamini.
Yote haya lawama tunawapa wazee wa hovyo. Wazee hawa tunaishi nao humu humu mtaani. Tunachati nao na tuna kula nao.
Kuna umri ukifika jiheshimu.
View attachment 3009782
dunia ingekua fair isingekuwa inazungukaAaaaah mkuu taratibu sasa....kwa jinsi wanavyofanya is not fair
Mkuu acha tuu yanayoendelea ni full ukanjanja hawa wazee wanakera mkuu ujakutana nao tuu..Wewe kweli Fundi manyumba maana hii nyumba umeanza kuchimba msingi hadi bati umepiga mwenyewe, umetisha😅😅😅
Ila hii ni kweli,nakumbuka nikiwa chuo nilikua na Mwanamke wangu nikafuma msg Mzee anamtongozaKijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali.
Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu asiyekuwepo machoni na moyoni hayupo na kuona ni kuamini.
Yote haya lawama tunawapa wazee wa hovyo. Wazee hawa tunaishi nao humu humu mtaani. Tunachati nao na tuna kula nao.
Kuna umri ukifika jiheshimu.
View attachment 3009782
Ukweli ndo huo,vijana mmekuwa wahovyo sana,hela huna nakuvumilia nguvu nazo huna unataka nifanyeje?tulia acha kujipa stress kwa kitu ambayo haiishi.Kula kwa wakati wako na mwingine ale kwa wakati wakeDaah sasa kama na nyie mnasema hivi..
Mkuu nani kakumezesha hayo maneno machafu machafu
Wee inaelekea ni miongoni mwao.dunia ingekua fair isingekuwa inazunguka
Sio wivu madam ila wanachofanya ni too much aiseee..Unawaonea wivu babu na baba zako?
Hali mbaya wazee wana mambo ya ajabu..Ila hii ni kweli,nakumbuka nikiwa chuo nilikua na Mwanamke wangu nikafuma msg Mzee anamtongoza
Hali ni mbaya