DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Majibu haya hayatoshi kwa Mwandishi wa Mada hii

Yeye si Maskini wa roho na pia hana fikra za kimaskini kwa sababu tu ameandika kuhusu Kiongozi wa aina hii kwenye nchi inayopitia wakati Mgumu kupiga hatua kwenye Maendeleo ya watu wake

Hii Capitalist World ina Madaraja, sio tu leo Mtoto wa familia Maskini atokee aanze kujenga ghorofa wakati wanafamilia wote wapo kwenye nyumba za nyasi huku wengine wakitaabika na njaa kali kila mwaka pamoja na Mavuno duni katika shamba lao la familia (Anawajibika kuwa Chachu ya Maendeleo ya wengine japo wanaweza wasimfikie wakati akiwa yeye anakua)

Jambo lake huyu lina Msingi maana Maendeleo yaliyotajwa ya Mwenzetu ni Makubwa mno naye akiwa ndiye Mwanga wetu; Taifa zima tunaoona Mambo bado Magumu

Inafikirisha kuona licha ya kuwa umesema Azimio lenye miiko ya Uongozi lilikoma, lakini haujaweza kuona haifai kumsakama Mwenzetu huyu kuwa ni Maskini wa Roho kwa kuwa Jambo hili kwa Mazingira ya sasa halina sura nzuri kabisa.

Tunataka basi angalau Maendeleo ya aina hii yawepo kwa wingi pia kwa Raia wa kawaida wasio watu wazito katika serikali yetu
 

"Sisemi kwamba ni haramu Kwa mtu kua Tajiri au kulikinbiza mali...nachosema kwamba ni haramu ni pale Watanzania wanapoona KIONGOZI ambaye Hana muda Uongozini Lakini ghafla anzanaa ........"....haya ni Maneno ya JK.


Mtoa haonyeshi Kua ana Roho ya Umasikini au fikra za kimasikin au Wivu au vipi .

Mtoa mada akiwa kama Mtanzania, ame exercise power yake ya utanzania kuhoji !.

Je Kwa Maelezo yako , sio halali Raia kuhoji Utajiri wa Viongozi wetu sababu tu wataonekana Wana fikra za kimasikin?.
 
Kazi iendelee kama ID yako inavyosomeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…