DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sikia hiki kijambio cha mama[emoji115]
 
Huyu jamaa baada ya jiwe kumtumbua kwenye uwaziri na ile team ya mpira iliyumba kinoma lakin baada ya mama kumrudisha uwaziri angalieni maendeleo ya team yalivyo mazuri kiuchumi
 
Kwa hiyo umenuna mtu kujinunulia magari?Hebu acha akili za kimasikini mkuu!Au haupendi tukalione ziwa Singidani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tatizo siyo kununua, pesa amezipata wapi na mshahara wake wajulikana? Au atuoneshe amechukua wapi mkopo? Watu wengine hata wakiibiwa waona sawa tu endapo aibaye ni Waziri! Mwizi ni mwizi tu.
 
Kaka Paskali,
Unadhani ni fair waziri wa fedha kumiliki kampuni ya betting wakati wizara anayoisimamia ndiyo inayohusika kutengeneza some of the policies governing betting nchini, is it ethical ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…