DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Upuuzi huu ,ikiwa huna details za utajiri wa ester vipi unaleta uchonganishi haoa???
Miaka ya 199x wakati wa Scandinavia Express kuna waheshimiwa kama waziri mkuu akiwa Sumaye alitumbukiza Scania zake pale kwa mwarabu na hata wengine pia walizipachika pale.

Tatizo ni kuwa kutokana na matumizi mabaya ya uongozi kuna vitu vingi serikali inakosa kama kodi stahiki nk.

Ndiyo maana Mwalimu alipinga kiongozi kuwa mfanyabiashara sababu kuna kutumia vibaya madaraka yako kwa mustakabali wa uchumi wa nchi.
 
Hiyo kampuni mmiliki halisi ni Nañi? Na kama ni Mwigulu Nchemba ameikabidhi Kwa board of trustee waiendeshe na yeye kukaa pembeni?

Pili bill of loading ni dollar ngapi na calculation ya ushuru ni shilling ngapi? Lete details.

Kuna mchaga wa rombo anaishi mabibo karibu na chuo cha NIT alioa sehemu hela iko akapewa 2 kama kianzio cha maisha yeye na mkewe sasa kadri siku zinaenda na ndio yanazidi kuongezeka(huyo esta ni jina la mwanae wa kike ambaye alikufa kifo cha kutatanisha na alipoenda kuzikwa baba yake hakuhudhuria alipiga chenga fulani ndugu wakaamua kuzika wenyewe)kilichofuata !!!!!naomba niishie hapo vya watu havisemwi
Ngoja nilinde kiapo changu
 
Yaani aendeshe Timu ya mpira harafu ashindwe kuagiza vibasi hivyo ?

Lini sheria ilikataza watumishi kufanya biashara? Hii mentality ya wizi kila kitu ndio inawafanya mzidi kuwa maskini ..

Nikuulize umewahi kuona wapi mbunge wa ccm ni maskini au anagombea ubunge hana pesa?

Kwa hiyo kwa akili zako mbovu kuna mtu ambae TISS hawana taarifa yake?

Ukishaanza kuwa na kacheo na hela huko kitaa lazima Tiss wakujue au hata ukiwa mtu mwenye ushawishi kwenye jamii lazima wajue..

Yaani watu Wana kampuni za ujenzi zina set kama 5 za equipments harafu unazungumzia huto tumabasi? Kuwa serious Mzee.
 
Hiyo kampuni mmiliki halisi ni Nañi? Na kama ni Mwigulu Nchemba ameikabidhi Kwa board of trustee waiendeshe na yeye kukaa pembeni?

Pili bill of loading ni dollar ngapi na calculation ya ushuru ni shilling ngapi? Lete details.
Mmiliki wa hiyo kampuni ni mzee mmoja hivi anakaa Kimara Baruti!! Kuna bar inaitwa Hawaii baruti pale,upande wa pili wa hiyo bar nyuma nyuma tu kidogo ndo kuna ghorofa yake!! Nyuma ya sheli ya Puma tuseme!! Tunakulaga nae vichungu baruti hapo!! Hata hafananii
 
Kuna mchaga wa rombo anaishi mabibo karibu na chuo cha NIT alioa sehemu hela iko akapewa 2 kama kianzio cha maisha yeye na mkewe sasa kadei siku zinaenda za ndio yanazidi kuongezeka(huyo esta ni jina la mwanae wa kike ambaye alikufa kifo cha kutatanisha na alipoenda kuzikaa baba yake hakuhudhuria alipiga chenga fulani ndugu wakaamua kuzika wenyewe)kilichofuata !!!!!naomba niishie hapo vya watu havisemwi
Ngoja nilinde kiapo changu
Mhuuuuu!!!
 
Back
Top Bottom