Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Tudokeze mkuu.Hujui kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tudokeze mkuu.Hujui kitu
Hii kambi ya Fisi ni ya Masasi hapa Stendi au????Watz wako vizuri kwa umbea Ila hawapo vizuri kukataa kuibiwa.
Nchemba hoyeee!!
Miaka ya 199x wakati wa Scandinavia Express kuna waheshimiwa kama waziri mkuu akiwa Sumaye alitumbukiza Scania zake pale kwa mwarabu na hata wengine pia walizipachika pale.Upuuzi huu ,ikiwa huna details za utajiri wa ester vipi unaleta uchonganishi haoa???
Ni ya matejoo chugaHii kambi ya Fisi ni ya Masasi hapa Stendi au????
Hiyo kampuni mmiliki halisi ni Nañi? Na kama ni Mwigulu Nchemba ameikabidhi Kwa board of trustee waiendeshe na yeye kukaa pembeni?
Pili bill of loading ni dollar ngapi na calculation ya ushuru ni shilling ngapi? Lete details.
Kweli kabisa, habari za namna hii zisizo na ushahidi huwa zinanikera!!Ameshaagiza tuletee evidence, au umesikia tu story..!!
Mmiliki wa hiyo kampuni ni mzee mmoja hivi anakaa Kimara Baruti!! Kuna bar inaitwa Hawaii baruti pale,upande wa pili wa hiyo bar nyuma nyuma tu kidogo ndo kuna ghorofa yake!! Nyuma ya sheli ya Puma tuseme!! Tunakulaga nae vichungu baruti hapo!! Hata hafananiiHiyo kampuni mmiliki halisi ni Nañi? Na kama ni Mwigulu Nchemba ameikabidhi Kwa board of trustee waiendeshe na yeye kukaa pembeni?
Pili bill of loading ni dollar ngapi na calculation ya ushuru ni shilling ngapi? Lete details.
Amerithi kwa wajomba zake wa Unyankindi na Kititimo.Mumuache alete mahela mjini.Zubaa uzikwe.😂😂😂😂
Mhuuuuu!!!Kuna mchaga wa rombo anaishi mabibo karibu na chuo cha NIT alioa sehemu hela iko akapewa 2 kama kianzio cha maisha yeye na mkewe sasa kadei siku zinaenda za ndio yanazidi kuongezeka(huyo esta ni jina la mwanae wa kike ambaye alikufa kifo cha kutatanisha na alipoenda kuzikaa baba yake hakuhudhuria alipiga chenga fulani ndugu wakaamua kuzika wenyewe)kilichofuata !!!!!naomba niishie hapo vya watu havisemwi
Ngoja nilinde kiapo changu