Waziri anayemiliki jumba la kifahari ufukweni Dubai atajwa

Gazeti limemtaja Leo wewe kelele mchana huu ,unadhani uchunguzi ni kama kukaanga chips

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo siku mkija kuambiwa aliyetajwa kumiliki Jumba huko Dubai ni Ndugu Wazir Mohamed Junaid Al Mazrui mfanyabishara wa Magari na vifaa vya ujenzi ambaye pia anamiliki vituo vya mafuta nchi Zambia na Msumbiji mtse,a kumbe wakimaanisha jina na sio cheo.
 
Naona kuna Subliminal message hapo kuwa Kigwa lakini Kigwa si alishafanyiwa Matumbuzi.
 
watanzania walivyo wambee kila sehemu mtajeee akitaja unataka akupangishe weweeee

pambaneni na halizenu mwenzeny kawekeza nyie mnapishana guest za bk 7 sinza shenzitype
 
Huenda urefu wa kamba yake unamruhusu kujipimia hekalu hapo Dubai, na labda ikawa hivyo ni vijisenti tu........nchi inatafunwa sana ndugu zanguni ni kama haina mwenyewe, suluhisho ni nini ili tuweze kusaidia nchi na wananchi?​
 
Kigwa ndio aliyeanzisha yote hayo.Ndio maana picha yake ikawekwa kwenye hiyo habari.
Uchaguzi umekaribia lakini nijuavyo mimi Nzega hawamtaki hata kumsikia Kigwa na huenda Jimbo lake linakuja CHADEMA Jimbo litakalobakia CCM ni Nzega Mjini Bashe kawaloga wana Nzega Town.
 
Rais wetu mpendwa aliruhusu kula kwa urefu wa kamba yako acha wenye nafasi waoneshe urefu wa kamba zao.
 
Hakuna Ushamba uliopitiliza kama kununua nyumba nje ili tu kutakatisha pesa ….mwisho wa siku na Tamaaa tu hutaweza kuifaidi kwani hata huo uwaziri ukiisha utabaki hapa na hutaweza kumudu hizo gharama ..na zaidi kuitunza hiyo nyumba ni gharama na sana ukipeleka watoto wako wataifanya kichaka cha kuvutia madawa ya kulevya , tuwe na Kiasi wandugu.

Una ziada Fanya kitu nyumbani kitasaidia kaka na dada zako watanzania
 
Majawabu anayo Mh. Hamisi Kigwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…