Waziri anayemiliki jumba la kifahari ufukweni Dubai atajwa

Kuna watu wengine akili zenu zinawatosha kuvuka barabara tu.
 
Ukiletea habr Kama hzo humu uatambiwa una wivu ,husada maskini ,huna pesa ,hujui maisha


Watanganyika Ni wapumbafu kiwango Cha lami
 

Wanamjua ila kama kawaida hato chukuliwa hatua
 
Makonda na mwenye viti wa ccm mikoa na wilaya, wakuu wa wilayana mikoa wanapiga debe tuende na mama hadi 2030.

Watu wanatokea na mabango maelfu Kwa mamia.

Kama huyu mama ana uwezo kwanini hadimamia majukwaani kuomba kura na kujinadi Kwa wananchi mwenyewe?

Huyu mama hana nakotupeleka .

Na Kuna dalili hajui kitu chochote.
 
Nchi ya kijinga saana hii, hao wote ni wezi wanajuana, hakuna hatua itachukuliwa labda kama siku watofautiane kwenye harakati zao, ndio utaona mtu anaambiwa hadi uraia wake sio tz 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…