Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Basi akasimamie kwa fimbo huko Tanga aachane na mikataba!
Ndo inavyotakiwa inabidi wacharazwe kabisa ila Mh SSH kasema hamna kufokeana na kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi akasimamie kwa fimbo huko Tanga aachane na mikataba!
Inabidi ujitafakari sana waziri! Uzalendo ndo jambo la msingi! Sio kujipamba tu wa Rais lakini uhalisia ufanisi wa kazi mdogo!
Bwawa la Million 600 lakini uhalisia wa mradi na hicho kituko ni mbingu na ardhi! Kwa hali hii Rais awe mkali Kidogo!

Upigaji upo kwingi Tena Kwa kisingizio kula Kwa urefu wa kamba,hao ni mifano michache kati ya mingi,shime wazalendo halisi popote mlipo muibue ujinga huu hata kupitia majukwa ya kuaminika kama JF ukulinusiru taifa na kukomesha upuuzi huu Kwa waliozoea wizi,huku wakidai awamu ya sita ,chochote kinawezekana.Mambo ya nchi na kumsaidia Rais hayatarajiwi kuwa mzaha. Wewe ni Waziri, tunasubiri taarifa hao watu wamefikishwa mahakamani, na mahakama ikaamue, sio wewe, pia kama muajiri, chukua hatua, hao hawafai kuwa ofisini