Basi akasimamie kwa fimbo huko Tanga aachane na mikataba!
Kosa au udhaifu sio wa waziri ni wa hao wataalam, ni wa kuwaweka ndani kwanza ili akili ziwakae sawa.Inabidi ujitafakari sana waziri! Uzalendo ndo jambo la msingi! Sio kujipamba tu wa Rais lakini uhalisia ufanisi wa kazi mdogo!Bwawa la Million 600 lakini uhalisia wa mradi na hicho kituko ni mbingu na ardhi! Kwa hali hii Rais awe mkali Kidogo!
Rais hapo anahusikaje? Rais aje kusimamia Bwawa na wizara ya maji mda huo Waziri na Katibu Mkuu na watendaji wa taasisi zake wanakuwa ofisini kufanya nini?Inabidi ujitafakari sana waziri! Uzalendo ndo jambo la msingi! Sio kujipamba tu wa Rais lakini uhalisia ufanisi wa kazi mdogo!Bwawa la Million 600 lakini uhalisia wa mradi na hicho kituko ni mbingu na ardhi! Kwa hali hii Rais awe mkali Kidogo!
Upigaji upo kwingi Tena Kwa kisingizio kula Kwa urefu wa kamba,hao ni mifano michache kati ya mingi,shime wazalendo halisi popote mlipo muibue ujinga huu hata kupitia majukwa ya kuaminika kama JF ukulinusiru taifa na kukomesha upuuzi huu Kwa waliozoea wizi,huku wakidai awamu ya sita ,chochote kinawezekana.Mambo ya nchi na kumsaidia Rais hayatarajiwi kuwa mzaha. Wewe ni Waziri, tunasubiri taarifa hao watu wamefikishwa mahakamani, na mahakama ikaamue, sio wewe, pia kama muajiri, chukua hatua, hao hawafai kuwa ofisini