Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Nashindwa kuelewa watu sijui wanakwama wapi, chama ambacho ndio chenye rais wa nchi, ndiyo nguvu ya nchi iliyo, serekali Huwekwa na chama kwa ngazi zote, chama huituma serekali na kuipa majukumu sera na kila kitu, Makonda ndiye mdomo wa chama hakuna namna waandamizi wavumilie tu, chama hakiko tayari kuona sera zake hazitekelezwi, kama kiko makini kitaikaripia serekali na pengine kuiwajibisha, POWER OF POLITICAL PARTY, CCM."Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
View attachment 2884613
Nyie ndo hamjui mnataka nini. Watendaji wakiachwa mnalalamika, wakishughulikiwa mnalalamika! Wakila Rushwa mnalalamika, wakidhibitiwa mnalalamika!!!Nashangaa Mwenezi wa Chama anamkoromea Mkurugenzi kuwa anaweza kumtumbua. Na Mkurugenzi alivyo kilaza anaanza kuimba Rashi. Ngoja Makonda awadharilishe, maana watu wenyewe hawajitambui.
HakikaNashindwa kuelewa watu sijui wanakwama wapi, chama ambacho ndio chenye rais wa nchi, ndiyo nguvu ya nchi iliyo, serekali Huwekwa na chama kwa ngazi zote, chama huituma serekali na kuipa majukumu sera na kila kitu, Makonda ndiye mdomo wa chama hakuna namna waandamizi wavumilie tu, chama hakiko tayari kuona sera zake hazitekelezwi, kama kiko makini kitaikaripia serekali na pengine kuiwajibisha, POWER OF POLITICAL PARTY, CCM.
Nashindwa kuelewa watu sijui wanakwama wapi, chama ambacho ndio chenye rais wa nchi, ndiyo nguvu ya nchi iliyo, serekali Huwekwa na chama kwa ngazi zote, chama huituma serekali na kuipa majukumu sera na kila kitu, Makonda ndiye mdomo wa chama hakuna namna waandamizi wavumilie tu, chama hakiko tayari kuona sera zake hazitekelezwi, kama kiko makini kitaikaripia serekali na pengine kuiwajibisha, POWER OF POLITICAL PARTY, CCM.
watu wazembe sana, wanashindwa kujituma Wacha awabane tuKwani yeye ni mtendaji wa chama?
Bashe yupo sahihi. Mawaziri wote na watendaji wengine wote wa Serikali wanawajibika kwa aliyewateua, na siyo mwingine yeyote.
Chama kama kinaona kuna jambo ambalo halipo sawa, kinatakiwa kimhoji Rais ambaye ni kiongozi wa chama na ndiye msimamizi wa Serikali. Msimamizi wa Serikali, ndiye ana uwezo wa kuwahoji wateule wake na watendaji wote wa Serikali.
Makonda ni mpuuzi. Anawarukia watu ambao hawawajibiki kwake wala kwa chama bali kwa serikali na wakuu wa Serikali.
Ilani, ni ya chama au serekali?Wewe unazungumzia mfumo wa chama kimoja wa Kikomunisti kama wa China.
Mbona kwao sio mbaliMara papa bashite Kawa raisi wa nchi atatafuta pa kujificha
Kwenye chama bosi wake mwenyekiti wa mtaa. Kwa ubunge bosi wake chamani niNa kwenye chama bosi wake nani?
"Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Naibu Waziri Mkuu, hawa ndiyo wanaweza kuniita na kunihoji, hakuna mtu mwingine yoyote, watu wajue mipaka yao ya kazi," Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.
View attachment 2884613
Kuna mambo kwa maneno ni rahisi sana ila kwa vitendo ni ngumu. Kwa katiba iliyopo chama kina nguvu kubwa mno. Huyo Bashe kama waziri ambaye pia ni mbunge akizinguana na chama akafutwa uanachama anapoteza vyeo vyake vya ubunge na uwaziri. Kwa katiba yetu huwezi kuwa waziri bila kuwa mwanachama wa chama cha siasa. Hata Rais hawezi kuwa rais bila chama. Kiuhalisia waziri akitunishiana misuli na MWENEZI ataishia kuumia na kulaumu watu. Bashe itakuwa kajiropokea.
Hakuna unachojua kaa kimya...unaweza kuwa Waziri bila kuwa mwanachama wa chama cha siasa.
..Rais ana nafasi 10 za kuteua wabunge na sio lazima wawe wanachama wa chama chochote cha siasa.
Hakuna unachojua kaa kimya.
Tupe mfano wa waziri aliyeteuliwa bila kuwa na Chama hapa Nchini...unaweza kuwa Waziri bila kuwa mwanachama wa chama cha siasa.
..Rais ana nafasi 10 za kuteua wabunge na sio lazima wawe wanachama wa chama chochote cha siasa.
..kwa hiyo anaweza kuteua Waziri asiye na chama kwa kutangulia kumteua kuwa mbunge.