Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Mnataka kumkwamisha Mama na Bashe. Mama ndio kamteua BsheHuyo msomali alipewaje uwaziri? Tangu apewe hiyo wizara kafanya lipi la maana zaidi ya ufisadi, huyu si ndio anahusishwa na ile kampuni dhulumati ya tumbaku mkwawa? Hawa mawaziri shida sana