Kuna Watanzania mamiloni wenye integrity angeweza kuwateua kama alimwona ni dhulumati.Aliangalia siasa za Tz Bara, na ku balance uongozi wa kitaifa na si kuangalia kutokuwa muungwana kwakèeeeeee na zaidi ya hapo adhabu stahili kwa mtu asiye muungwana ni kumfanyia uungwana ndio atajifunza vizuri zaidi
Huyo hapoKatika Kitabu cha kuelezea maisha yake Mstaafu Mwinyi anasema alipojiuzulu Uwaziri wa Mambo ya Ndani Waziri aliyechukua nafasi yake alimtaka ahamishe haraka mizigo yake ili yeye ahamie kwenye nyumba ya Serikali aliyokuwa anakaa Mzee Mwinyi.
Mzee Mwinyi alishindwa kuhamisha vifaa vyake vya ujenzi wa nyumba yake ya Mikocheni kwa Mwalimu, yule Waziri akamdhulumu.
Pamoja na ubazazi na udhulmati wa Waziri huyo lakini Mzee Mwinyi alipochaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alimchukua Waziri huyo kwenye Baraza lake la Mawaziri.
Waziri huyo ni nani?
Ni Jackson Makweta ndiye alipaswa kuingia nyumba iliyokuwa inakaliwa na Ali Hassan Mwinnyi. Baada ya kukosa pa kwenda ndipo Kitwana Kondo akamkaribisha Mwinyi nyumbani kwake Upanga. Na hapo ndipo uswahiba kati ya Mwinyi na Kitwana Kondo ulipo shamiriLate Major General Abdalah Natepe
Roho safi asingeuza Roliondo.Yaani ana roho safi sana. Wajanja ndio walimleta mizengwe kwa kupenyeza ajenda zao wakati wa utawala wake. Mama Samia ajifunze kitu. Sio kila mtu anaaminika 100%
JK alisema akili za kuambiwa changanya na za kwako
Hakuna eneo linaitwa Roliondo hapa Tamzania, pili hakuna eneo lolote lililouzwa Tanzania.Roho safi asingeuza Roliondo.
Hakuna eneo linaitwa Roliondo hapa Tamzania, pili hakuna eneo lolote lililouzwa Tanzania.
Ninachojua kampuni ya Ortelo Business Corp kutoka UAE inakodi hunting blocks huko Loliondo wilaya ya Ngorongoro
Mpumbavu hukimbilia matusi akikosa hoja. Mwerevu hukaa kimya kwa dharau. NimekudharauJinga kabisa wewe
Sio Mzanzibar, ni JACKSON MAKWETANi mzanzibari hivi. Jina limenitoka
Kiukweli alikuwa Lt. General Abdallah Natepe. Na ushahidi ni kwamba alipoteua Baraza lake la kwanza la Mawaziri alimbakisha kwenye wizara hiyo hiyo na akiwa anamwapisha alimwabia, "Sio kama nakupenda sana, bali nimekuteua kwasababu unafanya vizuri pale. Kaendelee kufanya vizuri!".Ni Jackson Makweta ndiye alipaswa kuingia nyumba iliyokuwa inakaliwa na Ali Hassan Mwinnyi. Baada ya kukosa pa kwenda ndipo Kitwana Kondo akamkaribisha Mwinyi nyumbani kwake Upanga. Na hapo ndipo uswahiba kati ya Mwinyi na Kitwana Kondo ulipo shamiri
Ila yawezekana hiyo incidence ya mabati na cement ikawa ya Abdallah Natepe
MakwetaKutoka katika historia ya Hayati Mwinyi moja ya jambo kubwa la kiungwana ni kumteua Waziri ambaye alimfukuza katika nyumba ya serikali.
Je atakuwa ni nani huyo? Maana mzee mpaka anafariki hajapenda kumtaja Ila ni vizuri atajwe tu ili watu wajifunze.
Not same bodySame body makweta
Huyu waziri alimfukuza Mwinyi wakati huo Mwinyi akiwa na cheo gani? Kosa la Mwinyi mpaka kufukuzwa lilikuwa lipi?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Huyu waziri alimfukuza Mwinyi wakati huo Mwinyi akiwa na cheo gani? Kosa la Mwinyi mpaka kufukuzwa lilikuwa lipi?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app