Mwanaume hata ukosane na mzazi mwenzako hakikisha unalea mtoto/watoto. Nimefurahi Sana hawa watoto wamesema vilio vya mioyo yao. Ninajua fika kuwa hao Baba wameona hizi Sura. Shame on them.Anawauliza watoto wanaochukiwa na baba zao. Je amewaandaa kisaikolojia? Mbona yaonekankama ni udhalilishaji kwa watoto na wazazi wao. Angalia clip hapa
Mkuu kuna wanawake wapumbavu mno hapa duniani. Kuna dada kazaa na kaka yetu akawa analalamika hapati huduma.. sisi kama familia tukamwambia akiwa na shida yoyote asisite kutuambia ili tumsaidie lengo likiwa kutomlisha sumu mtoto. Binafsi nilijitolea sana mwanzoni. Shemeji akaona hapa ni mserereko akaanza kuleta mambo ya kifala mno. Akitaka kitu anasingizia jambo linalohusu mtoto na ubaya ni kwamba hapigi simu yeye bali humpa mtoto aongee. Ile hali ikaendelea nikaamua kumtolea uvivu kumwambia kama kuna shida anieleze mwenyewe bila kumpa mtoto simu. Baada ya kumwambia hivyo akanisusa na kuhamia kwa ndugu yangu mwingine. Hadi ninavyoandika hapa wote tumemblock kwa kuepuka upuuzi aliokuwa akifanya. Bro wangi yule alikuwa sahihi kabisa kukaa nae mbali.
Hawa wanaharakati uchwara wana matatizo sana. Sasa hapo amewasaidia hao watoto au amezidi kuwaharibu kisaikolojia?
Lakini ndugu zangu wanaume tuone aibu, tunatungisha mimba, tunapotea na kuwaacha watoto wakiteseka halafu baadae tunawalaumu mama zao eti wanawajaza chuki watoto.
We unesema sawa kabisa. Hii ni kazi ambayo Ustawi wa Jamii wanafanya kila siku----- baba hataki kuleta hela za matumizi.
Mwanaume hata ukosane na mzazi mwenzako hakikisha unalea mtoto/watoto. Nimefurahi Sana hawa watoto wamesema vilio vya mioyo yao. Ninajua fika kuwa hao Baba wameona hizi Sura. Shame on them.
MKuu hivi uko siriaz?
1. Yuko hapo kuwatia moyo na kuwajenga.
2. Anawaondolea stress na chuki
Kosa liko wapi?
Nchi mnapenda usiri hata kwenye makosa.
Wewe ni baba uliyekataa mtoto?
Huyu dada uchwara wake uko wapi?
Umeshajiuliza maisha watayoishi hao watoto hapo shuleni baada ya huo udhalilishaji? Kwanini asingezungumza nao pembeni bila wenzao kuona/kusikia na bila camera?MKuu hivi uko siriaz?
1. Yuko hapo kuwatia moyo na kuwajenga.
2. Anawaondolea stress na chuki
Kosa liko wapi?
Nchi mnapenda usiri hata kwenye makosa.
Wewe ni baba uliyekataa mtoto?
Anawauliza watoto wanaochukiwa na baba zao. Je amewaandaa kisaikolojia? Mbona yaonekankama ni udhalilishaji kwa watoto na wazazi wao. Angalia clip hapa
Huyu ana mtoto wa umri huu kweli na anajua ghulba tunazopitia kuwa descpline hawa teenagers wetu majumbani!!? au anawatoto kweli!!!?Anawauliza watoto wanaochukiwa na baba zao. Je amewaandaa kisaikolojia? Mbona yaonekankama ni udhalilishaji kwa watoto na wazazi wao. Angalia clip hapa
Naona Sana, najitahidi Sana kushirikiana na jamii kuchukua hatua, hata niwe wapi siachi kuchungulia nini kinaendelea na kusaidia jambo pale ninapoona niongeze nguvu, ila pamoja na kuja hadi humu, wenzako wengine wanaona ni upuzi tu kwa kuwa mara ingine naweza kutofautiana nao [emoji28]. Anyway ndiyo uongozi na binadamu ni sisi sisi, Iko siku ya kale yatapita na tazama yatakuwa mapya, tutapumzika na yote, tuendelee kushirikiana.Aseeeee
Shukrani mheshimiwa.
Kumbe mnaona.
Ahsante Sana, pamoja na kuwa Niko safari mbali Sana na masaa yanatofautiana, Mungu alinipa Rehema za kuona. Kwa kweli hili jambo halina afya kabisaaa.
Nikifika toka jana, ahsante Sana. Jambo hili halifai na tayari licha ya kuwa huku niliko ilikuwa usiku sana, nilipata nguvu ya kuamka na kufanyia kazi. Tuendelee kushirikianaNgoja aje
Amekosea, huwezi kuona kwa kuwa siyo taaluma yako pengine, lakini hata kama siyo taaluma yako, kwa mawazo ya kawaida kabisa, huwezi kwenda kufanya haya kwa utaratibu ule. Cancelling huwa ni huduma patanishi na hufanyika kwa usiri na kwa utaratibu rasmi na huzingatia pande zote.Sioni alichokosea
Ifike wakati wababa wawajibike na malezi
Hao wasichana wanahitaji upendo na malezi ya baba zao
Ukweli uliokosewa utaratibu wa kuufanya hutengeneza tatizo. Hii hapana, hatufanyagi hivi.Tunzeni watoto wenu, huo ni ukweli hakuna udhalilishaji hapo.
Uko sahihi kabisa, hapa ni kuongezea tatizo. Hatua zitachukuliwa na za awali mimi nimechukua tayariKwa kigezo kipi anatumia kuhakiki hiyo 'chuki' ikiwa ni mtoto ndio kaulizwa bila ya mzazi husika kuwepo??
Kuwaita mbele ya wenzao ni kuweka suluhisho lolote la kuleta huo upendo?? Kama dhamira ni kumkabili/wajibisha mzazi husika, je anaathirika/wajibishwa vipi ikiwa hayupo hapo??
Kwa sehemu kama shule hudhani anatengenezea hao waliojitokeza mbele mazingira ya kuonewa 'bullying' na wenzao kwa kufanyiwa dhihaka ya kutokupendwa na wazazi wao?
Uko sahihi, baada ya kugundua kuna shida hii, hapa Kila kitu kingeenda kwa utaratibu rasmi wa itifaki za huduma za ustawi na kwa usiri na kutafuta ufumbuzi kwa kushirikiana na pande zote yaani wazazi na watoto.Ndio nani huko dasilama?
Nafikiri si sawa, kuna namna nzuri ya kuwatambua na kuwasaidia lakini sio hii.
Hili kakosea, hatua zitachukuliwa na wengine wasifuate huu utaratibu. Yako baadhi ya matatizo ikiwemo haya ya migogoro ya watoto na familia inabidi jamii wawape wataalamu wa ustawi wa jamii Ili waendelee kitaalamu.Hizi harakati za wakina dada na wakina mama sidhani kama zitawaacha salama wakina dada na wakina mama wajao.
Uko sahihi, kuingia shuleni kusema na watoto kuna sehemu utaratibu unakosewa. Ngoja tuwekane sawa, siyo Kila mtu anatakiwa kuwa msemaji na watoto huko shuleniMh ikiwezekana ni maombi yetu tafadhali hawa wanaharakati katika engo yoyote wasiwe wanapewa nafasi ya kuzungumza na watoto huko shuleni bila wataamu na miongozo sahihi dhidi ya hayo mazungumzo.
Urahisi wa kujenga kizazi kijacho katika mtazamo hasi katika mambo mengi ni mkubwa mno.
Mtu mwenye maumivu na machungu na majeraha hata kuwa na jema la kuijengea jamii kwa mtazamo ulio kinyume na yalio moyoni mwake. Kuna msemo usemao kinywa cha mtu hunena yaliyo moyoni mwake.
Wakati huu mlio na dhamana ya kusimamia ustawi wa jamii yetu tunaomba mjaliwe hekima ya kusikia kinywa kinachonena majeraha yaliyo jaa moyoni ili mkinyamazishe.