Waziri Innocent Bashungwa awakabidhi Wakuu wa Majeshi Wastaafu Land Cruiser LC300 mpya

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa, Innocent Bashungwa amewakabidhi magari mapya Wakuu wa Majeshi Wastaafu kwa maelekezo ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Wakuu wa Majeshi Wastaafu waliokabidhiwa magari ni CDF Mstaafu George Waitara na Robert Mboma na makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi za Wizara ya Ulinzi Mtumba Jijini Dodoma

Akikabidhi Magari hayo, Waziri Bashungwa amesema kuwapatia Wastaafu hao magari ni sehemu ya maelekezo ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwamba wapatiwe magari mapya ambayo yanatengenezeka na spea zake zinapatikana kwa urahisi.

“Wakuu hawa wa Majeshi Wastaafu walifanya kazi kubwa na iliyotukuka kipindi cha utumishi wao kwa Nchi yetu, Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan imewapatia magari na kuwatakia kheri na maisha marefu Majenerali Wastaafu hawa”
 
Duuuh ila at least wanatembelea ndinga za ukweli, wako ni kusema tyuuh "nipeleke sehemu fulaani"

Na mie nifanye niwe CDF aaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa hapo ni kwenye gari.

Bado ulinzi,vinywaji baridi,matibabu.[emoji16][emoji16]

Halafu unakuta fala anauliza kwanini wana urafiki na serikali ya cmc.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nchii hii ukiwa kwenye mfumoo, mbna utafurahi na nafsi.

Unavimbiwaa bado unasogezewaa chakulaa kilichotokaa jikoni cha motoooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni kawaida sana mbona, nashangaa tu leo limefanywa kisiasa, hili tukio hifanyika miaka yote tena kimya kimya, wanabadilishiwa magari kila baada ya muda fulani, yanajazwa wese na familia zao zinatunzwa safi kabisa, jeshini kustaafu ukiwa na cheo kuanzia bridigia jenerali, meja jenerali, luteni jenerali na jenerali mwenyewe ujue ume ula uzee wako wote, yaani wewe ni reserve
 
View attachment 2635275
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa @innocentbash amewakabidhi magari mapya Wakuu wa Majeshi Wastaafu kwa maelekezo ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Wakuu wa Majeshi Wastaafu waliokabidhiwa magari ni CDF Mstaafu George Waitara na Robert Mboma na makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi za Wizara ya Ulinzi Mtumba Jijini Dodoma

Akikabidhi Magari hayo, Waziri Bashungwa amesema kuwapatia Wastaafu hao magari ni sehemu ya maelekezo ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwamba wapatiwe magari mapya ambayo yanatengenezeka na spea zake zinapatikana kwa urahisi.

“Wakuu hawa wa Majeshi Wastaafu walifanya kazi kubwa na iliyotukuka kipindi cha utumishi wao kwa Nchi yetu, Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan imewapatia magari na kuwatakia kheri na maisha marefu Majenerali Wastaafu hawa”

AYO TV
Huyu anaogopa kuoindukiwa Urais na wenzake 2025, kwahiyo anaanza kutoa rushwa kwa watu wenye mizizi mirefu JWTZ, aache uoga
 
Halafu mnasema nchi masikini, Tz siyo masikini inategemea uko wapi. Ulipita kwenye system, uko ama utakuja kuwa. Uko karibu nao, zaidi ya hapo ndiyo upambane haswa.

Kwenye sekta ya Elimu na Afya changamoto zimeisha? Mpaka unawakumbuka watu, wanajizeekea kwa raha. Mboma anahitaji hilo gari kweli? Mbona yuko vizuri? Kama pesa ni nyingi hamna cha kuzifanyia, angalieni shule zenu za kata ni aibu.
 
Stupid baboon, police ni DEFENSIVE FORCE?

Service force, falsafa ya jeshi na polisi ni jeshi ni mbwa anaehakikisha ulinzi nje ya nyumba usiku kucha na adui asiingie ndani na polisi ni paka anaelinda ndani ya nyumba hivo kimsingi mbwa humlinda pia paka hivo jeshi huwalinda pia polisi
 
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa, Innocent Bashungwa amewakabidhi magari mapya Wakuu wa Majeshi Wastaafu kwa maelekezo ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Wakuu wa Majeshi Wastaafu waliokabidhiwa magari ni CDF Mstaafu George Waitara na Robert Mboma na makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi za Wizara ya Ulinzi Mtumba Jijini Dodoma

Akikabidhi Magari hayo, Waziri Bashungwa amesema kuwapatia Wastaafu hao magari ni sehemu ya maelekezo ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwamba wapatiwe magari mapya ambayo yanatengenezeka na spea zake zinapatikana kwa urahisi.

“Wakuu hawa wa Majeshi Wastaafu walifanya kazi kubwa na iliyotukuka kipindi cha utumishi wao kwa Nchi yetu, Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan imewapatia magari na kuwatakia kheri na maisha marefu Majenerali Wastaafu hawa”
duuh, mods namna gani pale, leo wameunga uzi wako
 
Nani alikwambia huwa wanarudisha
NDIVYO ILIVYO NA SIO DCF TU
IGP (na wakuu wa majeshi uyajuayo)
SPEAKER
CS
PM
PRESIDENTS
Nawengine wengi tu wanaendelea kulipwa 80% mshahara wa aliyepo madarakani Siku wakifa magari yanarudishwa.
MAJAJI wanalamba 100% ya mshahara wake hadi kifo kimtenganishe na mshahara
 
V
mbona huyu wa juzi kazi mwamunyange yeye hajakabidhiwa? ama yeye utaratibu wake uko tofauti? ila kwa nchi masikini kama bomgo kuendelea kukumbatia haya mashangingi ambayo ulaya yanamilikiwa na matajiri wakubwa tu ni kuendelea kuwa masikini tena masikini hohehahe.
Ipi Sarakikya na Msuguri na watapewa lini?
 
Back
Top Bottom