Waziri Innocent Bashungwa awakabidhi Wakuu wa Majeshi Wastaafu Land Cruiser LC300 mpya

Waziri Innocent Bashungwa awakabidhi Wakuu wa Majeshi Wastaafu Land Cruiser LC300 mpya

Duuuh hatareeee sanaaa yaan.

IMG_1455.jpg

IGP sirro yeye alipewa prado mpya kama ya mke wa mwijaku
 
Kumbuka gari husika ni mali ya wizara ya ulinzi,kama akitangulia mbele za haki inarudishwa HQ.
Khaaaaah kwani hayo magari ni mali ya wizara?? Mie nikajua wanapewa wao mazimaa. Yaan umiliki ni wao Lol
 
Kumbuka gari husika ni mali ya wizara ya ulinzi,kama akitangulia mbele za haki inarudishwa HQ.

Hapana gari ni mali yao na ukomo wa kupewa gari huisha pale muhusika anapofariki na ndio maana ina umiliki binafsi, wanufaika wa magari hayo kwa mujibu wa sheria ni jaji mkuu, spika wastaafu, mawaziri wakuu wastaafu, wakurugenzi wa tiss, na kadhalika
 
Duuuh ndo maana kuna vitengo hii nchi watu wanavipendaa kumbe ni kutusua maisha hadi kufaa, mweeeeh
 
[emoji28][emoji28]aaaah we.

Gari hilo linakwenda na dereva ambaye bado ni mtumishi na mafuta ni ya wizara.
Ndio maana kuna kubadilishiwa kila baada ya miaka 5
Duuuh ila at least wanatembelea ndinga za ukweli, wako ni kusema tyuuh "nipeleke sehemu fulaani"

Na mie nifanye niwe CDF aaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwa wanapewa kwa mujibu wa sheria tangu enzi za Mzee Mkapa na hupewa baada ya miaka kadhaa ( kutaja miaka husika ni kosa)

hao wengine tangu wapewe mapya hawajamaliza ule muda wa depreciation kwa mujibu wa sheria
Kumbe kutaja muda wa depreciation ni kosa na mbona iko kwenye Act. Nilikutana nayo field ofisi ya serikali nikajua kawaida tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nyie watu jamanii khaaah

Sirro hakustahili prado, alipaswa apewe LC300 maana kafanya kazi kubwa sana operation nyingi mno alifanikiwa, hasa ile ya kibiti nchi ilikua baki kidogo itumbukie vitani jumla lakini alipambana kumpa prado kama ile hapana sio sawa
 
Itifaki imezingatiwa eti.
 
Aah sana wanachotakiwa ni kujichunga afya zao na kupata chanjo kama hii ya ufiko kuepuka kupatwa na homa ya mapafu na vichomi vya kushindwa kupumua.
Kwa kweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom