Duuuh hatareeee sanaaa yaan.
IGP sirro yeye alipewa prado mpya kama ya mke wa mwijaku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh hatareeee sanaaa yaan.
Nimeona hata Bajeti ya Wizara ya ulinzi nimkubwa sana ,Til.3 za wazi Je ambazo hazitajwi ni kiasi gani?
Hii nayo sio sawa sana Kwa Nchi Maskini kama Tanzania
Khaaaaah kwani hayo magari ni mali ya wizara?? Mie nikajua wanapewa wao mazimaa. Yaan umiliki ni wao LolKumbuka gari husika ni mali ya wizara ya ulinzi,kama akitangulia mbele za haki inarudishwa HQ.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nyie watu jamanii khaaahView attachment 2635344
IGP sirro yeye alipewa prado mpya kama ya mke wa mwijaku
Kumbuka gari husika ni mali ya wizara ya ulinzi,kama akitangulia mbele za haki inarudishwa HQ.
Khaaaaah kwani hayo magari ni mali ya wizara?? Mie nikajua wanapewa wao mazimaa. Yaan umiliki ni wao Lol
Hii ni Tilioni 2?T 2 bana sio tatu.
Duuuh ndo maana kuna vitengo hii nchi watu wanavipendaa kumbe ni kutusua maisha hadi kufaa, mweeeehHapana gari ni mali yao na ukomo wa kupewa gari huisha pale muhusika anapofariki na ndio maana ina umiliki binafsi, wanufaika wa magari hayo kwa mujibu wa sheria ni jaji mkuu, spika wastaafu, mawaziri wakuu wastaafu, wakurugenzi wa tiss, na kadhalika
Duuuh ila at least wanatembelea ndinga za ukweli, wako ni kusema tyuuh "nipeleke sehemu fulaani"[emoji28][emoji28]aaaah we.
Gari hilo linakwenda na dereva ambaye bado ni mtumishi na mafuta ni ya wizara.
Ndio maana kuna kubadilishiwa kila baada ya miaka 5
Kumbe kutaja muda wa depreciation ni kosa na mbona iko kwenye Act. Nilikutana nayo field ofisi ya serikali nikajua kawaida tuHuwa wanapewa kwa mujibu wa sheria tangu enzi za Mzee Mkapa na hupewa baada ya miaka kadhaa ( kutaja miaka husika ni kosa)
hao wengine tangu wapewe mapya hawajamaliza ule muda wa depreciation kwa mujibu wa sheria
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nyie watu jamanii khaaah
Aseeeeh watu wanakula good life hadi waseme inatoshaa.
Imekaa Njema Sana ,mimi naona miaka mitano ni mingi wangekuwa wanapewa magari mapya kila baada ya mwezi maana wao ndiyo waliotumikia nchi sana kuliko wengine.
Itifaki imezingatiwa eti.Sirro hakustahili prado, alipaswa apewe LC300 maana kafanya kazi kubwa sana operation nyingi mno alifanikiwa, hasa ile ya kibiti nchi ilikua baki kidogo itumbukie vitani jumla lakini alipambana kumpa prado kama ile hapana sio sawa
Kwa kweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aah sana wanachotakiwa ni kujichunga afya zao na kupata chanjo kama hii ya ufiko kuepuka kupatwa na homa ya mapafu na vichomi vya kushindwa kupumua.
walifanya kazi kubwa na iliyotukuka kipindi cha utumishi wao kwa Nchi yetu