Waziri Jafo sasa njia nyeupe kwenda Ikulu 2025

Ramli chonganishi
 
Jaffo ni mwepesi sana, hawezi kuhimili mikiki mikiki ya nchi hii na mikwara ya mabeberu. Wamuandae kuwa waziri mkuu anaweza kufaa.
 
Majungu hayo! Urais hauokotwi kama dodo.
 
Mi naona tupewe yule RC Hapi tu...Nafikiri atatufaa maana ni muda wa kupooza machungu humo 2025-2035
 
Jaffo haiwezekani,halafu ikitokea Magufuli haongezi muda,ni sure Rais ajae ni Majaliwa au Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais.
Tanzania haijafikia kiwango cha kuongozwa na mwanamke. Rais ajaye hawezi kujulikana mapema hivi
 
HUSSEIN ALLY HASSAN MWINYI

JANUARY YUSUPH MAKAMBA

SULEIMAN JAFFO

MAJINA YA KUJADILIWA NI HAYA HAPA

MAJALIWA SIO KARATA YA TURUFU KIKAO CHA WACHAWI KIMESHAKAA NA HAO NDO WAMEONEKANA WATU WA MUHIMU KUJA KULIPONYA TAIFA BAADA YA MAISHA YA DHIKI

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Katika hawa watu wote Kassim Majaliwa ndio mwenye uwezo zaidi Yao
 
Hatuwezi Tena kuongozwa na akili ndogo.Nasema hapana.
 
Jaffo haiwezekani,halafu ikitokea Magufuli haongezi muda,ni sure Rais ajae ni Majaliwa au Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais.
Mwanamke hapana na waziri mkuu hapana,rais ajaye Ni Hussein Mwinyi Kama Ni lazima atoke chama chakavu
 
Huh,

Mwigulu ndie atakuwa[emoji4]
 
Jaffo haiwezekani,halafu ikitokea Magufuli haongezi muda,ni sure Rais ajae ni Majaliwa au Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais.
Hii issue ya kuongeza muda inaniboaga sana.

Mbona mnapenda kulazimisha mambo. Au na wewe uko na maslahi.?
 
Hakuna kitu kama hiki. Au uko kumpigia debe na kupima upepo[emoji53]
 
Hao wasubirie 2035 ,2025 ni zamu ya waislamu Ili tule mema ya nchi,tukisubiria 2035 awamu ya msoto tena akiingia Mkristo.
Hivi kuna ukweli hapa?!

Nyerere,Mkapa&Jpm-Msoto,Mwinyi,Kikwete-Bata
 
Jaffo haiwezekani,halafu ikitokea Magufuli haongezi muda,ni sure Rais ajae ni Majaliwa au Mama Samia ,issue ya mwanamke wa kwanza Rais.
Samia na Majaliwa hadi 2025 wote watakuwa na 65+ hukuwezi kuwa na Raid mzee kiasi hicho
 
Kabudi, Mwigulu na Makonda wote in wakristo,Rais ajaye lazima awe muislam.
 
Mwinyi yupo field zanzibar atakuja kufanya kazi ya uraisi huku.
Huwezi risk machafuko tena Zanzibar kww kufanya uchaguzi wa mtu mwingine tena hasa ukizingatia hali ya kisiasa tuliyonayo dhidi ya ulimwengu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…