johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hao watendaji si wanaishi uraiani?Kwanini baadhi ya watu wanaoona hawatendewi haki wasidili na mmojammoja kama KIBITI?Hawa mbwa ni kukamata mmoja baada ya mwingine tu...kimya kimyaView attachment 1254990
Maandamano ndio yatarudisha haki yetuJafo atajutia kupewa uwaziri. Salama yake ni kufuta zoezi zima la urejeshaji fomu na kuanza upya.
Nitawashangaa sana CHADEMA kama watasikiliza hizi kauli za kitoto za kukata rufaa.
Eti wapinzani hawajui kujaza fomu ccm ndio malaika hawakosei wakati wengi hawajui hata kusoma!
Haw Ccm wana takiwa washtakiwe kwa kosa la uhujumu uchumi huwezi tumia gharama zote hizi halafu mna leta ushenziKumbe mlikuwa na bao la mkono kwanini mlituadaa tujiandikishe kupiga kura
Huyo punguani hana hiyo akili ya kuelewa madhara ya anachokifanya.Rais magufuli naomba ujue kuwa nchi ikitawaliwa na chama kimoja na serikali yako ikisaidia kuua upinzani jua kuwa unaenda kutengeneza upinzani mkubwa ambao unaitwa UMA WA WATANZANIA(tembo) kwa kuua vyama vya siasa pinzani(sisimizi)
.
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema wagombea wote wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao wameondolewa lakini wamekata rufaa malalamiko yao yatasikilizwa na haki kutendeka na kama wameonewa basi watarejeshwa uchaguzini.
Chanzo: ITV habari
Hizi ni habari njema kwa wapinzani ukizingatia ukweli kuwa waziri Jaffo ni muumini mzuri wa dini ya Haki.
Maendeleo hayana vyama!
Hivi Jaffo ana akili timamu ?Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema wagombea wote wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao wameondolewa lakini wamekata rufaa malalamiko yao yatasikilizwa na haki kutendeka na kama wameonewa basi watarejeshwa uchaguzini.
Chanzo: ITV habari
Hizi ni habari njema kwa wapinzani ukizingatia ukweli kuwa waziri Jaffo ni muumini mzuri wa dini ya Haki.
Maendeleo hayana vyama!