We ndio wale wanaume wenye tabia za kike a.k.a machoko, ndio maana unajisifia kama demu wa Mwananyamala aliyekuja mjini uzeeni. Sio bure mwanaume mzima unajisifia kutumia jina la mkeo. Huenda huko ulaya ulikoenda ulikuwa unashikishwa ukuta ukaisha kupewa benz chakavu, saa hii umekuwa na tabia za kishoga.
Hivyo wewe kijana ambaye bado huja yatoa matongotongo yako usoni unafikiri kuwa wewe ni mwanamme kweli? Uta amka lini?
Amka kijana Taifa lako linakuhitaji wewe ukafanye shughuli za msingi za maendeleo ili ulijenge taifa lako na kuimarisha uchumi wake. Achana na tabia ya kupoteza mda wako mwingi kuwa bundi wa mtandaoni wakati wewe mwenyewe na Taifa lako hakuna unacho ambulia.
Kama wewe unajiona ni mwanamme kweli naomba basi niambie ni mwanamme gani ambaye amepewa billions and billions of neurons na mungu wake ambazo zina form au ku-produce billions of integrated circuit kwenye ubongo wake, ambao unaweza fanya kazi kuliko computer yeyote ile ambayo binadam ameitengeza so far, halafu yeye akaitumia thawabu yote hii ambayo mungu wake ame mtunukia katika kufanya kitu kimoja tu, nacho ni kuwa bundi wa mtandaoni? Ni mwanamme gani huyo?
Wataalam wa kiuchumi wangesema hiyo ni; the wastege of resources for useless things or nonproductive things"
By the way na kwa taarifa yako tu, usipende kuwakandia watu usio wajua mtandaoni na kuwaita mashoga, wakati kitu ambacho hukijui ni kuwa hiyo device yako ya Smartphone unayo watambia watu humu ni uvumbuzi wa Seve Jobs na Steve Jobs alikuwa shoga.
Unaona sasa jinsi gani mambo yanavyo kugeukia wewe mwenyewe? Hiyo ina kuonyesha kuwa wewe unaye jihisi kuwa ni mwanamme kumbe ni "Meme". Shoga kama Steve Jobs ana akili nyingi kuliko wewe zezeta. Vision na innovation zake ndiyo zina kufanya wewe kuwa potent. Bila hiyo ungekuwa nani wewe kunguni?
Unajigamba kuwa wewe ni mwanamme na kuwaita watu usio wajua mtandaoni mashoga kwa kisa cha kuitetea serikali ya Magufuli na kutumia majina ya ukoo wa wake zao, kama wewe unavyo hisi, una sahau kuwa hicho chombo unacho kitumia na kujigamba nacho na kukufanya wewe ujione kama mwanamme, kama wewe mwenyewe unavyo jiaminisha, kimegunduliwa na kutengenezwa na mtu ambaye alikuwa shoga. Kwa hiyo basi na wewe automatically utakuwa shoga. Umejitambua sasa kiasi gani ulivyo kuwa mpumbavu na mkosefu wa akili? Ama kweli wewe ni masikini wa akili!
Wewe jiulize mwenyewe kama kweli akili zako ziko timamu, kwani kwa kijana aliye zaliwa na kukulia katika nchi ambayo ina amani kubwa na yenye neema na fursa kem kem kama Tanzania unashindwa kuwa hata na Bachelor degree, wakati mikopo iko nje nje?
Wewe ndiyo nafikiri kama ulivyo dokeza kweye hoja yako moja hapo juu; "You are realy the ZERO BRAIN." Hata Bachelor ya art inakushinda? Mshikaji ni haibu!
Mimi ni mwanamme na dumme kweli kweli. Nimesoma na kupata utaalam wa hali ya juu
na ndiyo maana najisifu. Ni haki yangu kwa vile nimeisotea. Na nasema " Yes, I am proud of myself for my achievement"