Kwa aina yako ya uandishi ww inaonekana ni mshamba na pia mtu dhalimu. Na kuna uwezekano ww ni sehemu ya watu wanaoendesha udhalimu dhidi ya wote wasiojinyenyekeza kwa serikali hii. Na ni dhahiri ww ni mnufaika wa serikali hii, tena unajipatia fedha nyingi kwa njia isiyo sahihi bali katika kuratibu udhalimu dhidi ya wananchi wote wasiokubaliana na mambo yote machafu yote ndani ya awamu hii. Ni hivi endelea na kuhubiri udhalimu lakini hayo mambo yataisha, na ww utageuka kuwa sehemu ya udhalimu uliofanyika ndani ya nchi hii. Kazana.
Kama nimesha wahi sikia watu wenye akili za sokwe basi elewa kuwa wewe ni mmoja wapo. Unajaribu kutumia maneno ambayo hata maana yake yenyewe unashindwa kuyaelewa.
Unanitupia mimi neno la udhalim, kana kwamba umesha wahi mjua mtu anaye wafanyia binadam wengine udhalim? Acha umasikini wa kingedele wewe!
Kama huelewi maana ya udhalim ni nini basi pia huta mjua mtu ambaye ana matendo ya udhalim yukoje? Kwa taarifa yako basi huyo mtu ndiyo wewe na genge lako. Unajua kwa nini ni wewe? Kwa sababu mara zote unajaribu kueneza mambo ya uongo mtandaoni ambayo hayapo na hakuna mtanzania ana yafikiria.
Kwa mtu mwenye akili timamu na mwenye IQ kubwa hataweza hata siku moja kujikunja kama ngurue wa pori anaye kimbizwa na simba, eti kudai serikali ya Magufuli ina udhalim. Umesha ziona serikali ambazo zina endeshwa kidhalim wewe?
Mtu anaye andika mambo ya uzushi kama huu;
"Na ni dhahiri ww ni mnufaika wa serikali hii, tena unajipatia fedha nyingi kwa njia isiyo sahihi bali katika kuratibu udhalimu dhidi ya wananchi wote wasiokubaliana na mambo yote machafu yote ndani ya awamu hii."
wakati hujui maisha ya huyo mtu yakoje na anaishi wapi? Hiyo ni Insanity na ni uchizi wa kuto elewa mambo.
Mtu kama wewe wajerumani wangekuambua; "Du bist ein Fall für Mirembe." Kwa sababu hustahili hata mara moja kuishi na jamii iliyo staarabika kama ya watanzania. Watanzania wengi ni watu smart sana! Sio watu ambao wanapenda kubuni mambo ya kishenzi yasiyo na miguu wala mikono na kuyaaambaza mitandaoni kama wewe na genüge lako unavyo fanya. Wewe ni pathetic!
Hakuna mtu ambaye katika ulimwengu huu anakulazimisha wewe eti uinyenyekee serikali ambayo wewe unadai kuwa ni ya kidhalim kwa wananchi wake. Nani amesha fanya hivyo zaidi yako? Nikikuuliza udhalim gani amabo serikali ya Magufuli inaufanya kwa wana nchi wake unaweza nipa jibu ambalo ni sahihi? Ina maana kujipatia fedha kwa njia ambayo sio sahihi kwako ndiyo maana ya udhalim hiyo?
Kwa mawazo na fikra duni kama hizi za kwako, kwangu nakuona kama ni mtoto mdogo ambaye anajaribu kujilinganisha na watu wenye kuelewa maisha ambayo hana uwezo wa kuyafikia. Kwa hali hiyo ninge kupa wosia mmoja ambao kama utaufuata utakusaidia sana kujitambua kimaisha.
Wewe mkuu fikra zako ni za uchi wa ngedele. Hujui kitu chochote katika maisha ya binadam. Ubongo wako uko mtupu kama mtoto anaye jifunza kutambaa leo.
Nikuambie ukweli wako leo, wewe mbele ya watu wanao jua maisha unaonekana kama kifaranga cha kuku kilicho jua kwa nini mama yake ana hamaki na kuhofia maisha yake punde anaponmwona mwewe. In fact huna experience yeyote ile ya maisha na uwezo wowote ule wa kumwonyesha au kumthibitishia mtanzania kuwa una ufahamu wa maisha ya binadam duniani. Huna capacty yeyote ya kuyalinganisha maisha yako na baadhi ya watanzania ambao wame yaona mengi duniani. Usilete ulemavu wa akili yako katika maswala yanayo husu maisha ya watu.
Wewe ni nani katika dunia hii ambaye unaweza thubutu mwambia mtanzania kuwa hii serikali ya Magufuli ni serikali ya kidhalim na kwa lipi? Kwa kununua ndege? Kwa kuwahamasisha wananchi wake anao watawala wafuate sheria?
Wewe katika maisha yako unadhani wazungu ambao una wasujudu wanaishi maisha ya kuto tii sheria? Uhuru gani wewe unautaka usio kuwa na sheria? Nionyeshe nchi ambayo imepiga hatua ya kimaendeleo duniani ambayo wananchi wake wana ishi kiholela holela bila kutii na kuheshimu sheria.
Kama una kumbukumbu nzuri, uliwaona askari polisi wa Spain walivyo wakong'ota ma separists wa Catalonia? Au polisi wa Ufaransa walivyo watimua wahuni wao wanao jiita Yellow Vest? Hali ya aina hii Rais Magufuli amesha wahi wafanyia wananchi wenzake?
Unaelewa sasa kwa nini serikali za nchi hizi mbili zimechukua hatua hiyo thabiti ya kuwa piga na kuwatimua wanachi wao? Kama ulikuwa hujui basi elewa kuwa hivyo ndivyo nchi zenye misingi ya kisheria zinavyo fanya kazi.
Sheria ni msumeno. Bila sheria na kanuni na vyombo vya Dola vinavyo linda sheria hizo hakuna Taifa linaweza exist kwa usalama na wananchi wake waka ishi kwa amani.
Ili uweze ondokana na frustrations zako za maisha ulizo nazo, nimesha kueleza mara nyingi sana humu mtandaoni kuwa tumia wakati wako kikamilifu kwa kujenga future ya maisha yako. Usikubali kulaghaiwa na wana siasa ambao wao ndiyo kazi zao. Wanapata kipato chao kwa kupiga porojo kama hizi. Lakini wewe mwenzangu mimi naona unahangaika kwa mambo usiyo yaelewa vizuri and for nothing.
Usipoteze mda wako mwingi mitandaoni, nenda kafanye kazi za msingi za kujiingizia kipato ambacho kitakuwezesha kujitegemea na kuwa na familia yako nzuri.
Usipende kushindana na mtu kama mimi, mimi nina familia yangu na profession yangu nzuri ambayo ina nisaidia kuishi maisha ninayo yataka na kuniwezesha kutembelea nchi tofauti za ulimwengu na kujionea mwenyewe maisha tofauti ya binadam, kwa uwezo wangu.
Jitahidi kusoma kwa ufanisi na sio kushinda kutwa kucha mitandaoni, hakuna mtu atakuja kukusifia kuwa unajenga Taifa lako kwa kujenga hoja mitandaoni. Toa hoja na changia hoja inapo bidi halafu fanya mambo mengine ya kimaisha. Mitandao haitakusaidia kitu. Na sio kila hoja uitolee comment.
Maomba utambue kuwa elimu ndiyo ufunguo na pia msingi wa maisha yako na familia yako ya baadae.
Magufuli yeye ni Rais na atabaki kuwa Rais umchukie au usipende hakuna kitu kitabadilika. Anafanya kazi yake kwa mujibu wa sheria na ukifika mda wake ata staafu na kula penssioni nono. Wewe mwenzangu mie utaishia baadae kuokota chupa za plastiki na kuuza au kugema pombe ya mnazi. Whatch out!