Waziri Jafo: Wagombea wote walioondolewa kwa kuonewa haki itatendeka na watarejeshwa kwenye uchaguzi

Awali ya yote nilipenda nichukue nafasi hii kuishutumu serikali chini ya waziri Jafo kushindwa kujibu fedhea inayo tolewa na hawa wahuni wasio taka kuishi kwa amani na wananchi wenzao kwa makusudi ya kutaka kuitia dosari serikali na chama cha CCM.

Vutendo hivi vya fedhea vinavyo letwa na vyama vya upinzani dhidi ya serikali vilitakiwa vijibiwe vikali kwa njia ya kuwadhalilisha.
Nisinge sikitika kama serikali nayo inge weka bayana makosa ambayo wagombea wao wame yafanya mpaka kung'olewa au kutenguliwa ugomnea wao ili wananchi na hasa ushabiki wao waone mambo yaliyotokea.

Kitendo hiki cha serikali kukaa kimya na mda wote kuwashauri wapinzani waende kwenye halimashauri ya rufaa wakakate rufaa kama wana ona hawaja tendewa haki, hiyo mimi naona haitoshi. Hii mishetani yenye lengo la kutaka mambo kirahisi rahisi, ingekuwa busara nao kuwaumbua kama wao wanavyo jitahidi kutumia nguvu nyingi kutaka kuwa aminisha wananchi na ulimwengu kwa ujumla kuwa serikali inawanyima haka kwa kuminya demokrasia, kwa kuwaonyesha wananchi hizo formu zao walizo zijaza na makosa waliyo yatenda.

Hii mijitu ina vyombo vyao vinavyo wasaidia kuidhohofisha serikali yetu ikiwemo; BBC, VOA na DW mitandao mingine ya kijamii na online TVs. Hii mitandao ya lugha ya kiswahili imewekwa rasmi kwa lengo moja tu, nalo ni kuliangusha taifa letu. Sioni sababu na faida nyingine zaidi ya hilo. Habari zao nyingi ni zile za kusaidia wapinzani kutuaminisha sisi kuto kuwa na imani na serikali yetu.

Mambo mazuri yanayo fanywa na serikali kwa ajili ya maendeleo yetu, hii mitandao haiipi kipao mbele katika kuitangaza. Kama kuna kitu ambacho wazungu wanakitumia kutumia sana katika mikutano yao inayo husu maendeleo ya uchumi wa bara la Afrika basi ni neno RUSHWA. Hata hivyo naona ajabu sana hii mitandao wala haiwaabarishi chochote wana ulimwengu kuhusu jitihada ambazo zime fanywa na serikali hii ya kupunguza kwa kiasi kikubwa sana rushwa na pia matumizi ya madawa ya kulevya.

Kwa hali hiyo naomba serikali iwe makini sana na hawa watu. Hawa watu wanaonekana walikuwa wamesha jiandaa na kujipanga kwa makusudi kufanya hivyo na ndiyo maana hawa kujishughulisha na mchakato mzima wa kuwafundisha wagombea wao jinsi ya kujaza hizo formu kulingana na maelezo yaliyo tolewa na serikali kama CCM ilivyo fanya.

Zaidi ya hayo mimi siamini kuwa wao ni wajinga kiasi hicho mpaka wagombea wao wengi wakashindwa kuzijaza hizo formu kisahihi. Naona hiyo ilikuwa mpango wao kususia huo uchaguzi na kujaribu kuwahiniza wananchi kuto toa ushirikiano kwa serikali yao.

Hiyo inaonyesha dhahiri kuwa lengo lao ni kuwapa wasiwasi wananchi kuto kuwa na imani na serikali yao kwa malengo ya kuidhohofisha Serikali.

Wapinzani wanajua uwezo ambao Rais Magufuli ameuonyesha kwa wananchi wake na wanajua dhahiri kuwa hawana uwezo wa kui beat CCM, ndiyo maana wana fanya kila hila kuidhoofisha serikali ili ipoteze imani kwa wananchi wake.

Waziri Jafo na Naibu waziri Mwaitara na nyie chukueni hatua kubwa kwa miaka ya serikali za kuwaanika hayo majingili hadharani, kama inawezekana, kama mlivyo fanya kwa akina Kinana, Nape, Ngeleja, Membe na Makamba senior na junior, vinginevyo hawatawaelewa hao.

Watu wengi wamesha sema sana kuwa mambo ambayo hawa wahuni wanayafanya dhidi ya serikali yetu na bunge letu tukufu na pia Taifa letu sio matendo ya kiupinzani wa vyama bali ni hujuma dhidi ya Taifa letu. Haya majangili yamekuwa militant na wako tayari kutumia kila njia kuliangamiza Taifa letu kwa maslahi yao na mabeberu wao.
Nadhani mimba yako ya miezi mitatu uliyopata baada ya kubakwa inakusumbua
 
Kama nimesha wahi sikia watu wenye akili za sokwe basi elewa kuwa wewe ni mmoja wapo. Unajaribu kutumia maneno ambayo hata maana yake yenyewe unashindwa kuyaelewa.

Unanitupia mimi neno la udhalim, kana kwamba umesha wahi mjua mtu anaye wafanyia binadam wengine udhalim? Acha umasikini wa kingedele wewe!

Kama huelewi maana ya udhalim ni nini basi pia huta mjua mtu ambaye ana matendo ya udhalim yukoje? Kwa taarifa yako basi huyo mtu ndiyo wewe na genge lako. Unajua kwa nini ni wewe? Kwa sababu mara zote unajaribu kueneza mambo ya uongo mtandaoni ambayo hayapo na hakuna mtanzania ana yafikiria.

Kwa mtu mwenye akili timamu na mwenye IQ kubwa hataweza hata siku moja kujikunja kama ngurue wa pori anaye kimbizwa na simba, eti kudai serikali ya Magufuli ina udhalim. Umesha ziona serikali ambazo zina endeshwa kidhalim wewe?

Mtu anaye andika mambo ya uzushi kama huu;wakati hujui maisha ya huyo mtu yakoje na anaishi wapi? Hiyo ni Insanity na ni uchizi wa kuto elewa mambo.

Mtu kama wewe wajerumani wangekuambua; "Du bist ein Fall für Mirembe." Kwa sababu hustahili hata mara moja kuishi na jamii iliyo staarabika kama ya watanzania. Watanzania wengi ni watu smart sana! Sio watu ambao wanapenda kubuni mambo ya kishenzi yasiyo na miguu wala mikono na kuyaaambaza mitandaoni kama wewe na genüge lako unavyo fanya. Wewe ni pathetic!

Hakuna mtu ambaye katika ulimwengu huu anakulazimisha wewe eti uinyenyekee serikali ambayo wewe unadai kuwa ni ya kidhalim kwa wananchi wake. Nani amesha fanya hivyo zaidi yako? Nikikuuliza udhalim gani amabo serikali ya Magufuli inaufanya kwa wana nchi wake unaweza nipa jibu ambalo ni sahihi? Ina maana kujipatia fedha kwa njia ambayo sio sahihi kwako ndiyo maana ya udhalim hiyo?

Kwa mawazo na fikra duni kama hizi za kwako, kwangu nakuona kama ni mtoto mdogo ambaye anajaribu kujilinganisha na watu wenye kuelewa maisha ambayo hana uwezo wa kuyafikia. Kwa hali hiyo ninge kupa wosia mmoja ambao kama utaufuata utakusaidia sana kujitambua kimaisha.

Wewe mkuu fikra zako ni za uchi wa ngedele. Hujui kitu chochote katika maisha ya binadam. Ubongo wako uko mtupu kama mtoto anaye jifunza kutambaa leo.

Nikuambie ukweli wako leo, wewe mbele ya watu wanao jua maisha unaonekana kama kifaranga cha kuku kilicho jua kwa nini mama yake ana hamaki na kuhofia maisha yake punde anaponmwona mwewe. In fact huna experience yeyote ile ya maisha na uwezo wowote ule wa kumwonyesha au kumthibitishia mtanzania kuwa una ufahamu wa maisha ya binadam duniani. Huna capacty yeyote ya kuyalinganisha maisha yako na baadhi ya watanzania ambao wame yaona mengi duniani. Usilete ulemavu wa akili yako katika maswala yanayo husu maisha ya watu.

Wewe ni nani katika dunia hii ambaye unaweza thubutu mwambia mtanzania kuwa hii serikali ya Magufuli ni serikali ya kidhalim na kwa lipi? Kwa kununua ndege? Kwa kuwahamasisha wananchi wake anao watawala wafuate sheria?

Wewe katika maisha yako unadhani wazungu ambao una wasujudu wanaishi maisha ya kuto tii sheria? Uhuru gani wewe unautaka usio kuwa na sheria? Nionyeshe nchi ambayo imepiga hatua ya kimaendeleo duniani ambayo wananchi wake wana ishi kiholela holela bila kutii na kuheshimu sheria.

Kama una kumbukumbu nzuri, uliwaona askari polisi wa Spain walivyo wakong'ota ma separists wa Catalonia? Au polisi wa Ufaransa walivyo watimua wahuni wao wanao jiita Yellow Vest? Hali ya aina hii Rais Magufuli amesha wahi wafanyia wananchi wenzake?

Unaelewa sasa kwa nini serikali za nchi hizi mbili zimechukua hatua hiyo thabiti ya kuwa piga na kuwatimua wanachi wao? Kama ulikuwa hujui basi elewa kuwa hivyo ndivyo nchi zenye misingi ya kisheria zinavyo fanya kazi.

Sheria ni msumeno. Bila sheria na kanuni na vyombo vya Dola vinavyo linda sheria hizo hakuna Taifa linaweza exist kwa usalama na wananchi wake waka ishi kwa amani.

Ili uweze ondokana na frustrations zako za maisha ulizo nazo, nimesha kueleza mara nyingi sana humu mtandaoni kuwa tumia wakati wako kikamilifu kwa kujenga future ya maisha yako. Usikubali kulaghaiwa na wana siasa ambao wao ndiyo kazi zao. Wanapata kipato chao kwa kupiga porojo kama hizi. Lakini wewe mwenzangu mimi naona unahangaika kwa mambo usiyo yaelewa vizuri and for nothing.

Usipoteze mda wako mwingi mitandaoni, nenda kafanye kazi za msingi za kujiingizia kipato ambacho kitakuwezesha kujitegemea na kuwa na familia yako nzuri.

Usipende kushindana na mtu kama mimi, mimi nina familia yangu na profession yangu nzuri ambayo ina nisaidia kuishi maisha ninayo yataka na kuniwezesha kutembelea nchi tofauti za ulimwengu na kujionea mwenyewe maisha tofauti ya binadam, kwa uwezo wangu.

Jitahidi kusoma kwa ufanisi na sio kushinda kutwa kucha mitandaoni, hakuna mtu atakuja kukusifia kuwa unajenga Taifa lako kwa kujenga hoja mitandaoni. Toa hoja na changia hoja inapo bidi halafu fanya mambo mengine ya kimaisha. Mitandao haitakusaidia kitu. Na sio kila hoja uitolee comment.

Maomba utambue kuwa elimu ndiyo ufunguo na pia msingi wa maisha yako na familia yako ya baadae.

Magufuli yeye ni Rais na atabaki kuwa Rais umchukie au usipende hakuna kitu kitabadilika. Anafanya kazi yake kwa mujibu wa sheria na ukifika mda wake ata staafu na kula penssioni nono. Wewe mwenzangu mie utaishia baadae kuokota chupa za plastiki na kuuza au kugema pombe ya mnazi. Whatch out!

Hili gazeti lote ni langu? hapa tunaita ni povu kama lote. Kwa maneno marahisi utafurahi, ww ni dhalimu na mtu wa kujipendekeza hilo halina mjadala, na jinsi ulivyopanic ndio nimejua huna lolote.
 
Tatizo la akili finyu ndiyo ina sababisha usielewe nini dhamira yake.

Wito wangu kwako, rudi tena darasani uka keti kwenye mabenchi ya madawati ya shule ili uelewe maana ya shule ni nini. Shule sio tu sehemu ya kwenda kuangalia kuta na paa za madarasa kwa ndani isipokuwa kulikuwa na lengo la kupanua ubongo wako.

Nasikitika umetoka mtupu huja ambulia la msingi. Ndiyo maana unashindwa changia hoja kama mtu aliye liona darasa.
Huna tofauti na Zombie!
Mkuu unataka atoe majibu yanayokupongeza sio
 
Hili gazeti lote ni langu? hapa tunaita ni povu kama lote. Kwa maneno marahisi utafurahi, ww ni dhalimu na mtu wa kujipendekeza hilo halina mjadala, na jinsi ulivyopanic ndio nimejua huna lolote.
Lako ndiyo limeze. Si unataka kuwa mkubwa. Soma sasa halafu uchangie hoja.

Si unadai integrated circuits za kwenye hypothalamus ya brain yako iko functional?

Ichambue hjyo hoja kama unamishipa kama sisi. Masikini wa akili wewe!
 
Toa ushahidi hata fomu moja tu ya mtu mmoja wa upinzani aliyeenguliwa wakati amejaza vizuri fomu yake?
Si lazima uamini nilicho kiandika ndugu yangu, lakini unapaswa ujue kwamba sina sababu ya kuongopa au kuandika yasiyo kuwa ya kweli..kwa sababu CHADEMA hainilishi wala CCM hainishi pia.
 
Awali ya yote nilipenda nichukue nafasi hii kuishutumu serikali chini ya waziri Jafo kushindwa kujibu fedhea inayo tolewa na hawa wahuni wasio taka kuishi kwa amani na wananchi wenzao kwa makusudi ya kutaka kuitia dosari serikali na chama cha CCM.

Vutendo hivi vya fedhea vinavyo letwa na vyama vya upinzani dhidi ya serikali vilitakiwa vijibiwe vikali kwa njia ya kuwadhalilisha.
Nisinge sikitika kama serikali nayo inge weka bayana makosa ambayo wagombea wao wame yafanya mpaka kung'olewa au kutenguliwa ugomnea wao ili wananchi na hasa ushabiki wao waone mambo yaliyotokea.

Kitendo hiki cha serikali kukaa kimya na mda wote kuwashauri wapinzani waende kwenye halimashauri ya rufaa wakakate rufaa kama wana ona hawaja tendewa haki, hiyo mimi naona haitoshi. Hii mishetani yenye lengo la kutaka mambo kirahisi rahisi, ingekuwa busara nao kuwaumbua kama wao wanavyo jitahidi kutumia nguvu nyingi kutaka kuwa aminisha wananchi na ulimwengu kwa ujumla kuwa serikali inawanyima haka kwa kuminya demokrasia, kwa kuwaonyesha wananchi hizo formu zao walizo zijaza na makosa waliyo yatenda.

Hii mijitu ina vyombo vyao vinavyo wasaidia kuidhohofisha serikali yetu ikiwemo; BBC, VOA na DW mitandao mingine ya kijamii na online TVs. Hii mitandao ya lugha ya kiswahili imewekwa rasmi kwa lengo moja tu, nalo ni kuliangusha taifa letu. Sioni sababu na faida nyingine zaidi ya hilo. Habari zao nyingi ni zile za kusaidia wapinzani kutuaminisha sisi kuto kuwa na imani na serikali yetu.

Mambo mazuri yanayo fanywa na serikali kwa ajili ya maendeleo yetu, hii mitandao haiipi kipao mbele katika kuitangaza. Kama kuna kitu ambacho wazungu wanakitumia kutumia sana katika mikutano yao inayo husu maendeleo ya uchumi wa bara la Afrika basi ni neno RUSHWA. Hata hivyo naona ajabu sana hii mitandao wala haiwaabarishi chochote wana ulimwengu kuhusu jitihada ambazo zime fanywa na serikali hii ya kupunguza kwa kiasi kikubwa sana rushwa na pia matumizi ya madawa ya kulevya.

Kwa hali hiyo naomba serikali iwe makini sana na hawa watu. Hawa watu wanaonekana walikuwa wamesha jiandaa na kujipanga kwa makusudi kufanya hivyo na ndiyo maana hawa kujishughulisha na mchakato mzima wa kuwafundisha wagombea wao jinsi ya kujaza hizo formu kulingana na maelezo yaliyo tolewa na serikali kama CCM ilivyo fanya.

Zaidi ya hayo mimi siamini kuwa wao ni wajinga kiasi hicho mpaka wagombea wao wengi wakashindwa kuzijaza hizo formu kisahihi. Naona hiyo ilikuwa mpango wao kususia huo uchaguzi na kujaribu kuwahiniza wananchi kuto toa ushirikiano kwa serikali yao.

Hiyo inaonyesha dhahiri kuwa lengo lao ni kuwapa wasiwasi wananchi kuto kuwa na imani na serikali yao kwa malengo ya kuidhohofisha Serikali.

Wapinzani wanajua uwezo ambao Rais Magufuli ameuonyesha kwa wananchi wake na wanajua dhahiri kuwa hawana uwezo wa kui beat CCM, ndiyo maana wana fanya kila hila kuidhoofisha serikali ili ipoteze imani kwa wananchi wake.

Waziri Jafo na Naibu waziri Mwaitara na nyie chukueni hatua kubwa kwa miaka ya serikali za kuwaanika hayo majingili hadharani, kama inawezekana, kama mlivyo fanya kwa akina Kinana, Nape, Ngeleja, Membe na Makamba senior na junior, vinginevyo hawatawaelewa hao.

Watu wengi wamesha sema sana kuwa mambo ambayo hawa wahuni wanayafanya dhidi ya serikali yetu na bunge letu tukufu na pia Taifa letu sio matendo ya kiupinzani wa vyama bali ni hujuma dhidi ya Taifa letu. Haya majangili yamekuwa militant na wako tayari kutumia kila njia kuliangamiza Taifa letu kwa maslahi yao na mabeberu wao.

Hovyoooooooooo!!!
 
Kama nimesha wahi sikia watu wenye akili za sokwe basi elewa kuwa wewe ni mmoja wapo. Unajaribu kutumia maneno ambayo hata maana yake yenyewe unashindwa kuyaelewa.

Unanitupia mimi neno la udhalim, kana kwamba umesha wahi mjua mtu anaye wafanyia binadam wengine udhalim? Acha umasikini wa kingedele wewe!

Kama huelewi maana ya udhalim ni nini basi pia huta mjua mtu ambaye ana matendo ya udhalim yukoje? Kwa taarifa yako basi huyo mtu ndiyo wewe na genge lako. Unajua kwa nini ni wewe? Kwa sababu mara zote unajaribu kueneza mambo ya uongo mtandaoni ambayo hayapo na hakuna mtanzania ana yafikiria.

Kwa mtu mwenye akili timamu na mwenye IQ kubwa hataweza hata siku moja kujikunja kama ngurue wa pori anaye kimbizwa na simba, eti kudai serikali ya Magufuli ina udhalim. Umesha ziona serikali ambazo zina endeshwa kidhalim wewe?

Mtu anaye andika mambo ya uzushi kama huu;wakati hujui maisha ya huyo mtu yakoje na anaishi wapi? Hiyo ni Insanity na ni uchizi wa kuto elewa mambo.

Mtu kama wewe wajerumani wangekuambua; "Du bist ein Fall für Mirembe." Kwa sababu hustahili hata mara moja kuishi na jamii iliyo staarabika kama ya watanzania. Watanzania wengi ni watu smart sana! Sio watu ambao wanapenda kubuni mambo ya kishenzi yasiyo na miguu wala mikono na kuyaaambaza mitandaoni kama wewe na genüge lako unavyo fanya. Wewe ni pathetic!

Hakuna mtu ambaye katika ulimwengu huu anakulazimisha wewe eti uinyenyekee serikali ambayo wewe unadai kuwa ni ya kidhalim kwa wananchi wake. Nani amesha fanya hivyo zaidi yako? Nikikuuliza udhalim gani amabo serikali ya Magufuli inaufanya kwa wana nchi wake unaweza nipa jibu ambalo ni sahihi? Ina maana kujipatia fedha kwa njia ambayo sio sahihi kwako ndiyo maana ya udhalim hiyo?

Kwa mawazo na fikra duni kama hizi za kwako, kwangu nakuona kama ni mtoto mdogo ambaye anajaribu kujilinganisha na watu wenye kuelewa maisha ambayo hana uwezo wa kuyafikia. Kwa hali hiyo ninge kupa wosia mmoja ambao kama utaufuata utakusaidia sana kujitambua kimaisha.

Wewe mkuu fikra zako ni za uchi wa ngedele. Hujui kitu chochote katika maisha ya binadam. Ubongo wako uko mtupu kama mtoto anaye jifunza kutambaa leo.

Nikuambie ukweli wako leo, wewe mbele ya watu wanao jua maisha unaonekana kama kifaranga cha kuku kilicho jua kwa nini mama yake ana hamaki na kuhofia maisha yake punde anaponmwona mwewe. In fact huna experience yeyote ile ya maisha na uwezo wowote ule wa kumwonyesha au kumthibitishia mtanzania kuwa una ufahamu wa maisha ya binadam duniani. Huna capacty yeyote ya kuyalinganisha maisha yako na baadhi ya watanzania ambao wame yaona mengi duniani. Usilete ulemavu wa akili yako katika maswala yanayo husu maisha ya watu.

Wewe ni nani katika dunia hii ambaye unaweza thubutu mwambia mtanzania kuwa hii serikali ya Magufuli ni serikali ya kidhalim na kwa lipi? Kwa kununua ndege? Kwa kuwahamasisha wananchi wake anao watawala wafuate sheria?

Wewe katika maisha yako unadhani wazungu ambao una wasujudu wanaishi maisha ya kuto tii sheria? Uhuru gani wewe unautaka usio kuwa na sheria? Nionyeshe nchi ambayo imepiga hatua ya kimaendeleo duniani ambayo wananchi wake wana ishi kiholela holela bila kutii na kuheshimu sheria.

Kama una kumbukumbu nzuri, uliwaona askari polisi wa Spain walivyo wakong'ota ma separists wa Catalonia? Au polisi wa Ufaransa walivyo watimua wahuni wao wanao jiita Yellow Vest? Hali ya aina hii Rais Magufuli amesha wahi wafanyia wananchi wenzake?

Unaelewa sasa kwa nini serikali za nchi hizi mbili zimechukua hatua hiyo thabiti ya kuwa piga na kuwatimua wanachi wao? Kama ulikuwa hujui basi elewa kuwa hivyo ndivyo nchi zenye misingi ya kisheria zinavyo fanya kazi.

Sheria ni msumeno. Bila sheria na kanuni na vyombo vya Dola vinavyo linda sheria hizo hakuna Taifa linaweza exist kwa usalama na wananchi wake waka ishi kwa amani.

Ili uweze ondokana na frustrations zako za maisha ulizo nazo, nimesha kueleza mara nyingi sana humu mtandaoni kuwa tumia wakati wako kikamilifu kwa kujenga future ya maisha yako. Usikubali kulaghaiwa na wana siasa ambao wao ndiyo kazi zao. Wanapata kipato chao kwa kupiga porojo kama hizi. Lakini wewe mwenzangu mimi naona unahangaika kwa mambo usiyo yaelewa vizuri and for nothing.

Usipoteze mda wako mwingi mitandaoni, nenda kafanye kazi za msingi za kujiingizia kipato ambacho kitakuwezesha kujitegemea na kuwa na familia yako nzuri.

Usipende kushindana na mtu kama mimi, mimi nina familia yangu na profession yangu nzuri ambayo ina nisaidia kuishi maisha ninayo yataka na kuniwezesha kutembelea nchi tofauti za ulimwengu na kujionea mwenyewe maisha tofauti ya binadam, kwa uwezo wangu.

Jitahidi kusoma kwa ufanisi na sio kushinda kutwa kucha mitandaoni, hakuna mtu atakuja kukusifia kuwa unajenga Taifa lako kwa kujenga hoja mitandaoni. Toa hoja na changia hoja inapo bidi halafu fanya mambo mengine ya kimaisha. Mitandao haitakusaidia kitu. Na sio kila hoja uitolee comment.

Maomba utambue kuwa elimu ndiyo ufunguo na pia msingi wa maisha yako na familia yako ya baadae.

Magufuli yeye ni Rais na atabaki kuwa Rais umchukie au usipende hakuna kitu kitabadilika. Anafanya kazi yake kwa mujibu wa sheria na ukifika mda wake ata staafu na kula penssioni nono. Wewe mwenzangu mie utaishia baadae kuokota chupa za plastiki na kuuza au kugema pombe ya mnazi. Whatch out!

Ndio imebidi nisome sasa hili gazeti lako la udaku, nimegundua kuwa ww ni hanithi fulani unayeleta mikwara ya kishamba hapa jukwaani. Huna lolote zaidi ya kujipendekeza kwa wanaume wenzio ili wakutoe kimaisha. Unasema umeenda ulaya, ni ulaya ipi umeenda ww hata kuandika kwa ufasaha hujui, labda kama ulikuwa punda wa mtu unapeleka unga, au ulienda huko ukawa housemaid na sio zaidi ya hapo. Ngorongoro jike wa, una maisha gani ya kutamba mbele ya wanaume, labda ukawatambie huko ukweni kwako maana ww ndio wanakutegemea uwanunulie sukari. Mimi niko na maisha ya wastani na sina stress kama ww muuza sura. Kawachimbe mikwara wash
Lako ndiyo limeze. Si unataka kuwa mkubwa. Soma sasa halafu uchangie hoja.

Si unadai integrated circuits za kwenye hypothalamus ya brain yako iko functional?

Ichambue hjyo hoja kama unamishipa kama sisi. Masikini wa akili wewe!

Nasema hivi, ww ni dhalimu, mshamba na limbukeni juu. Unadhani ukichangia na kuweka maneno ya kiingereza utaonekana bonge la msomi kumbe ni ulimbukeni wa hali ya juu. Nimesoma lile gazeti lako nimejua ww ni hanithi fulani unayejifanya mjuaji kumbe limbukeni tu. Ndio maana unajifanya una uchungu na serikali, na kuleta nyuzi za vitisho kwa wote wasiokubaliana na kila kitu cha serikali. Kwa taarifa yako kama mabasha wamekukimbia huko ulaya ulikotoka, hapa huwezi kupata mabasha hata ukijipitishapitisha. Ngiri jike ww.
 
Ndio imebidi nisome sasa hili gazeti lako la udaku, nimegundua kuwa ww ni hanithi fulani unayeleta mikwara ya kishamba hapa jukwaani. Huna lolote zaidi ya kujipendekeza kwa wanaume wenzio ili wakutoe kimaisha. Unasema umeenda ulaya, ni ulaya ipi umeenda ww hata kuandika kwa ufasaha hujui, labda kama ulikuwa punda wa mtu unapeleka unga, au ulienda huko ukawa housemaid na sio zaidi ya hapo. Ngorongoro jike wa, una maisha gani ya kutamba mbele ya wanaume, labda ukawatambie huko ukweni kwako maana ww ndio wanakutegemea uwanunulie sukari. Mimi niko na maisha ya wastani na sina stress kama ww muuza sura. Kawachimbe mikwara wash

Nasema hivi, ww ni dhalimu, mshamba na limbukeni juu. Unadhani ukichangia na kuweka maneno ya kiingereza utaonekana bonge la msomi kumbe ni ulimbukeni wa hali ya juu. Nimesoma lile gazeti lako nimejua ww ni hanithi fulani unayejifanya mjuaji kumbe limbukeni tu. Ndio maana unajifanya una uchungu na serikali, na kuleta nyuzi za vitisho kwa wote wasiokubaliana na kila kitu cha serikali. Kwa taarifa yako kama mabasha wamekukimbia huko ulaya ulikotoka, hapa huwezi kupata mabasha hata ukijipitishapitisha. Ngiri jike ww.
Umekiri sasa kuwa elimu yako ndogo?
Hilo lili kuwa lengo langu. Sina haja ya kuendelea ku kuzozana na mtu mwenye mawazo finyu ya ubongo kama wewe, kwani sita jifunza kipya kutoka kwako ambacho mimi sikijui na pili nimesha kuanika hadharani kuwa wewe ni mtu wa haina gani. Na kama ilivyo kawaida yako pia huwezi jibu hoja.

Umesha jidhihirisha kuwa wewe ni mtu ambaye huna elimu ya kutosha. Sidhani kama hata kidato cha nne umemaliza? Kwa hali hiyo naona imetosha kwangu kujithibitishia kuwa huna mawazo mapana ya kuweza ku debate na watu walio yaona mengi. Nasema tena " waliyo yaona mengi".

Nasema hivi kwa sababu elimu sio tu ile unayo ipata darasani bali pia unayo ipata kwa kuona maisha ya jamii nyingine duniani. Nasikitika wewe bahati hiyo hukuwa nayo na sidhani kama utaipata ukiendelea kupoteza mda wako mitandaoni. Siku itakuja maisha yatakapo kusuta. Wewe endelea tu na mambo ya mitandaoni.

Pumzi yenyewe ya kuandika na kusoma mambo uka ya elewa vizuri huna. Watu wasio liona darasa kwa ndani mnashida sana.

Nakutakia mafanikio mema ya maisha yako ya kushinda mitandaoni!
 
Nasema hivi, ww ni hanithi fulani unayejifanya una elimu lakini huna lolote ujualo zaidi ya mihemko ya kishamba. Kama ww una elimu hata kuandika kwa ufasaha hujui, basi acha nisiwe na hiyo elimu maana nitaishia kuwa mtu wa kujipendekeza kama ww. Sio kidato cha nne mbona huko mbali, hata kusoma na kuandika sijui.

Unadhani kuingia humu mitandaoni ni sawa na kwenda kwenye ibada, basi ukiwa ibadani mambo mengine yote yanasimama kisa umeingia ibadani? Sisi wenzako tumejiajiri hatutegemei ajira za wanaume wenzetu kama ww, hivyo tunafanya lolote wakati wowote. Ww hiyo ajira yenyewe umeipata baada ya dada yako kutoa utamu utamtisha nani. Kama ulileta uzi wa kutishia watu, basi hicho kisimi kilichotokeza nje nimekirudishia ndani ya housing. Kenge jike ww.
 
Jesus Christ! Unajitegemea kwa kuandika mambo ya uongo dhidi ya serikali ya Magufuli mitandaoni? Unafikiri tutafika mbali na mwenendo huo wa ku publish habari zisizo za kweli?

Ukitakankujua kuwa unapotoshwa vibaya basi angalia hii clip. Nafikiri utajifunza mengi juu ya udhalim wa Magufuli na serikali yake.

Mbali na hayo kama nilivyo sema, usipende kumzushia mtu mambo usiye mjua unaweza ukashtakiwa! Unalijua hilo? Unawezaje thibitisha kuwa mimi nina dada? Umesha mwona dada yangu wakati ambapo niko peke yangu katika family?

Be careful! Usivuke mipaka tunaweza kutana mahakamani? Litambue hilo. Kama unatoa habari toa na facts pia na sio kuzusha upuuzi usio ujua. Huo ni upungufu wako wa akili.

Unashabikia vyama ambavyo vyenyewe havina demokrasia hata moja zaidi ya kutafuta sympathy tu kwa wananchi?
 
Nasema hivi, ww ni hanithi fulani unayejifanya una elimu lakini huna lolote ujualo zaidi ya mihemko ya kishamba. Kama ww una elimu hata kuandika kwa ufasaha hujui, basi acha nisiwe na hiyo elimu maana nitaishia kuwa mtu wa kujipendekeza kama ww. Sio kidato cha nne mbona huko mbali, hata kusoma na kuandika sijui.

Unadhani kuingia humu mitandaoni ni sawa na kwenda kwenye ibada, basi ukiwa ibadani mambo mengine yote yanasimama kisa umeingia ibadani? Sisi wenzako tumejiajiri hatutegemei ajira za wanaume wenzetu kama ww, hivyo tunafanya lolote wakati wowote. Ww hiyo ajira yenyewe umeipata baada ya dada yako kutoa utamu utamtisha nani. Kama ulileta uzi wa kutishia watu, basi hicho kisimi kilichotokeza nje nimekirudishia ndani ya housing. Kenge jike ww.

Jesus Christe! Unajitegemea kwa kuandika mambo ya uongo dhidi ya serikali ya Magufuli mitandaoni? Unafikiri tutafika mbali na mwenendo huo wa ku publish habari zisizo za kweli?

Ukitakankujua kuwa unapotoshwa vibaya basi angalia hii clip. Nafikiri utajifunza mengi juu ya udhalim wa Magufuli na serikali yake.

Mbali na hayo kama nilivyo sema, usipende kumzushia mtu mambo usiye mjua unaweza ukashtakiwa! Unalijua hilo? Unawezaje thibitisha kuwa mimi nina dada? Umesha mwona dada yangu wakati ambapo niko peke yangu katika family?

Be careful! Usivuke mipaka tunaweza kutana mahakamani? Litambue hilo. Kama unatoa habari toa na facts pia na sio kuzusha upuuzi usio ujua. Huo ni upungufu wako wa akili.

Unashabikia vyama ambavyo vyenyewe havina demokrasia hata moja zaidi ya kutafuta sympathy tu kwa wananchi?

Nakuambia ww umeshadata, ukitaka amkia mahakamani hiyo kesho. Vyama havina demokrasia? Kama havina kavifute ili visiendelee kupata hiyo huruma ya umma. Nguruwe pori ww. Yaani unapoandika kiswahili kisha kujifanya unachomeka na maneno ya kiingereza, unanitia kinyaa cha hali ya juu. Huu ulimbukeni wako kawakoge mabarmaid, wao ndio ukiongea maneno ya kiswahili na kuchanganya na ya kiingereza watakuona msomi.
 
Nieleze instruments zinazotumika katika kupima akili ya mtu. Na nani kazileta mungu wako au binadam kama wewe?

Ebu niondolee mzoga wa maiti yako hapa usije uka ninukia na kunichfulia hewa nzuri ninayo vuta.
Kwani na wewe ni mpumbavu kama Jafo au wewe ni mpumbavu kama Mrisho
 
Nakuambia ww umeshadata, ukitaka amkia mahakamani hiyo kesho. Vyama havina demokrasia? Kama havina kavifute ili visiendelee kupata hiyo huruma ya umma. Nguruwe pori ww. Yaani unapoandika kiswahili kisha kujifanya unachomeka na maneno ya kiingereza, unanitia kinyaa cha hali ya juu. Huu ulimbukeni wako kawakoge mabarmaid, wao ndio ukiongea maneno ya kiswahili na kuchanganya na ya kiingereza watakuona msomi.
Wewe ni mpumbvu sana! Unaelewa maana ya demokrasia kweli wewe? Au ndiyo tuseme umejawa na ushabiki tu. Kama unajua maana ya demokrasia, umejiuliza kwa nini miaka 25 sasa Mbowe bado ni mwenye kiti wa chama? Ni demokrasia hiyo?

Nimesha kueleza acha kuleta maneno ambayo hujui maana yake, unajidhalilisha mwenyewe. Hujitambui tu?

Angalia hii link uone jinsi gani msajili wa vwama analizungumzia sakaka la uchaguzi wa mitaa na makosa ambayo wapinzani wame yafanya;

Sina haja ya kwenda kwa mabarmaid, mimi nimesoma na nina elimu kubwa na sio tu ya darasani na mitaani bali ya kitaalam pia.
Nina elewa mambo mengi ambayo wewe huya elewi. Najivunia my archivement na ni mafanikio yangu ambayo nime yasotea mwenyewe kwa nguvu na jitihada zangu mwenyewe kwa kutii na kuheshimu sheria na kanuni na maadili ya nchi yangu na vile vile kuwa patriotic kwa nchi yangu ninayo ipenda Tanzania.

By the way mimi najua kijerumani zaidi kuliko kiingereza kwa taarifa yako na uhanithi wangu ulio usema hapo wali umenifanya niwe na watoto watatu na mjukuu mmoja, nionyeshe wako.

Wewe huna mamlaka ya kuniambia mimi jinsi gani ya kuji express my self mitandaoni hata kama wewe una boreka. It is my choice.
 
Nasema hivi hicho kimbelembele chako ulichokuwa unamuagiza Jaffo na mikwara kibao uliyokuwa unaleta, na propaganda za kizee nimezishusha na sasa utakuja ukiwa umejipanga vizuri. Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara, mimi sio mtetezi wa Mbowe lakini nani kakuambia kuwa Mbowe kawa mwenyekiti wa cdm kwa miaka 25? Mtu mzima hovyo, unapamia propaganda mfu mpaka hata huwezi kupima ukweli wa unachoambiwa au kukisikia.

Unajua kijerumani zaidi kuliko kiingereza hamna mtu anajal hilo, sana sana tunakuona mshamba mwenye ulimbukeni wa kiwango cha juu. Kwakuwa huko ulikoajiriwa na wanaume wenzio, wanakunyenyekea unadhani kila mtu anatakutetemekea ww shoga mjane. Unaniwekea link ya huyo msajili, nani alikuambia mimi naangalia link za hao wazandiki, hao ndio sehemu ya mifumo mibovu ndani ya nchi yetu kuficha udhaifu wa serikali.

Nasema hivi, nenda kawakoge mabarmaid, au hao wadada wanaopika chai kwenye ofisi yako, wao ndio wanaoshoboka na wauza sura wa aina yako, wakiamini ni bonge la msomi kumbe bingwa wa kukariri. Huku mitandaoni uje taratibu, hatuna muda wa kujisifia kama ww na kuleta vitisho vya kizee, bali tunakosoa tusichokubaliana nacho, hiyo ndio demokrasia. Kama hutaki kajinyonge ww fala mzee.
 
Unakosoa nini wakati hakuna cha kukosoa? Ndiyo maana nakuwekea links kama vielelezo na uthibitisho kuwa hiyo demokrasia ya kukosoa tu bila substance ni ujinga usio eleweka. Hiyo sio demokrasia ambayo ulimwengu inaijua. Hakuna kitu kama hicho ngumbaru. Acha upuuzi huo wa kujiona kuwa wewe born town. Unajifanya Born town wakati hata elimu ya kuelewa vitu imekushinda?

Kama umeshindwa pata elimu ya bure ya Magufuli unafikiri utafanikiwa tena kimaisha? Nyie ndiye watu ambao ni pontential ya kusukuma mikokoteni na kuzama kwenye umachinga. Usiwe mzembe kijana, nenda kafanye kazi ya kukuingizia kipato kupe badala ya kupoteza mda wako kwenye mitandao na kuzomea na kutoa matusi kwa watu ambao hujui maisha yao yako vipi. Unazomea na kutukana watu wakati hata kuelewa maana ya maneno unayo yaandika hujui.

Mimi sikutishi na wala sina uwezo wa kumtisha mtu kama wewe, najaribu tu kukuelimisha mtanzania mwenzangu maana naona kwa kukosa kwako elimu ya msingi kumekufanya kuwa mtu ambaye huna perspective nzuri ya maisha. Umepata panic ya maisha. Kuna vitu ungependa sana kuwa navyo lakini kwa vile unaona uwezo wa kuvipata vitu hivyo huna, ume amua kuyakatia maisha tamaa na ndiyo maana unafanya mambo ambayo hakuna mtanzania timamu ana kuelewa.

Zaidi ya hayo nahisi umezungukwa na watu ambao hawakuambii ukweli matatizo uliyo nayo. Unacho kijua na kukimwaga humu sio mtandaoni sio sahihi na wala wewe mwenyewe hukielewi. Unaonekana kama mtu ambaye ni mbumbumbu vile, kiasi kwamba hata una diriki ku interpret demokrasia vibaya. Mimi nakusaidia tu kijana wetu uko maana nakuona uko totally wrong na hakuna mtu ana kushtua.

Ushauri wangu kwako tumia busara yako kumtafuta mwelewa wa mambo ya sheria na haki za binadam ili akuelimishe juu ya maana ya demokrasia na kanuni nyingine juu ya haki za binadam kwa vile naona unapenda mambo hayo kuliko kuendelea kutapika madudu usiyo yaelewa. Kwa tabia hiyo wajerumani wangeweza sema; "Du hast eine ganz andere Auffassung über das verstehen der Bedeutung der Demokratie." Nikijaribu kutafsiri kwa kiingereza; "You have a very different view of understanding the meaning of democracy"

Usiichukulie mitandao kama Platform ya kuwa "contra" kwa kila kitu usicho kipenda na kudhani ndiyo demokrasia. Hiyo si kweli mnadanganyana tu wenyewe kwa wenyewe. Tumia mitandao ya jamii kama sehemu ambayo ita kusaidia kupanua mawazo na sio ukumbi wa kuwazomea watu au kufanya defamation na kuiita hiyo ndiyo demokrasia, sio kweli. Ni ujinga na utoto huo.
 
Umekata network tayari, vile vitisho vya kishamba wapelekee wanaokutetemekea. Niko vizuri kimaisha na nimejiajiri na sina muda wa kutambia elimu yangu hapa kama wewe limbukeni. Unajisifia una elimu hata kuandika kwa ufasaha huwezi, unaweka paragraph kisha unaeleza jambo fulani, halafu kwenye paragraph nyingine unachanganya jambo la paragraph nyingine. Ww ulienda shule kujuana na watu na kukariri. Mimi sina elimu lakini ninaandika kwa ufasaha kuliko ww. Kwa ujumla elimu yako ni kwa ajili ya kukoga wasiojua lolote, ndio maana unadharau kwa shuguli nyingine halali za watu kama kusukuma mkokoteni, wamachinga nk.

Nasema hivi ww ni muuza sura kama wauza sura wengine. Na hapa unachoniambia ni mtiririko wa jazba, maana ulidhani huku mitandaoni wako watu mabogus ambao unaweza kuwaletea dharau ndogo ndogo na vitisho vya kishamba. Nadhani sasa utakuwa ukiona hii Id unaikalia mbali ww shetani mzee.
 
Mbona una bwabwaja vitu visivyo eleweka kijana? Ebu nenda kwanza kanawe uso ili uondoe utongotongo ambao mama yako bado kakuachia. Unapenda sana kuyaona makosa

Hivyo wewe mkoma hujioni kama umesha jianika hadharani? Off course wewe ni Bogus! Elimu huna, maarifa huna na utaalam pia huna. Una kitu gani cha kujivunia? Off course huna! Yaani unajigamba kwa kutukana watu usio wajua mtandaoni? Wewe mzima kweli?
Utamtunia nani wewe mnuka jasho la Bongo Uswahilini!

Kelele nyingi za kujiajiri. Umejiajiri wapi kichaa wewe! Wewe ni bundi tu wa mitandaoni. Nani akulipe wewe bwege ambaye hata maana ya maneno unayo yaandika huyajui? Ukiulizwa nini maana ya maneno uliyo yaandika, kazi yako ni kubwabwaja matusi tu. Hujui hata ile kuelezea vitu unavyo viandika.

Kama wewe umejiajiri mwenyewe basi naomba niambie TIN namba yako ya kitega uchumi chako ili ni ifuatilie TRA.

Ndiyo ninajivunia elimu yangu na utaalam wangu nilioupata. Ni maarifa yangu na hakuna mtu ataninyan'ganya. Unajua kwa nini ninekuwa na mafanikio hayo? Kitu cha kwanza nina washukuru sana wazazi wangu ambao walionyesha mapenzi ya dhati kwangu na pili majirani zangu walio nizunguka.

Sababu nyingine niliwaheshimu na kuwatii wazazi wangu, nilifuta mawaidha yao, sikuwa mtoro shuleni, nilijibidisha kuelewa mambo mengi, darasni nilikuwa napenda kukaa mbele, niliwasaidia wanafunzi wenzangu kutatua matatizo yao, Team work na cha zaidi ni kuelewana vizuri na walimu wangu.

Hata kama wewe unaye jiona born town sifa zangu hizi utazikandia, kwangu mimi hii ni neema yangu kutoka kwa mungu. Ni thawabu niliyopewa na mungu na ndiyo maana leo najivuna na kujidai kwa matarumbeta.

Wewe mnuka jasho la Bongo ulie tu! Na baadae utaishia kwenye kuburuza mikokoteni tu. Hutafika kokote!
 
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema wagombea wote wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao wameondolewa lakini wamekata rufaa malalamiko yao yatasikilizwa na haki kutendeka na kama wameonewa basi watarejeshwa uchaguzini.

Chanzo: ITV habari

Hizi ni habari njema kwa wapinzani ukizingatia ukweli kuwa waziri Jaffo ni muumini mzuri wa dini ya Haki.

Maendeleo hayana vyama!

And who will ever believe this Lunatic?

And anafikiri kuna mtu atarudi kwenye uchaguzi!?

He must be outta his shitty mind!
 
Back
Top Bottom