Leta PDF hiyo hapa yenye viwanda 30,000 wewe kunguni wa mama Abdul.
Nilidhani ni enzi zile tu!Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo
========================
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mabadiliko makubwa aliyoyafanya katika sekta ya viwanda nchini.
Akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa kiwanda cha saruji cha Maweni Limestone mkoani Tanga leo Alhamisi Februari 27, 2025, Dkt. Jafo ameeleza kuwa takwimu zinaonesha kwamba, katika kipindi cha mwaka 2019-2021, Tanzania ilikuwa na viwanda takribani 52,000, lakini chini ya uongozi wa Rais Samia, idadi ya viwanda imeongezeka na kufikia viwanda 80,179.
Nawakumbusha tuu kwamba sera ya Kufungua Nchi inalipa na imeleta majibu .👇👇
Hivyo ndivyo viwanda elfu30 vilivyojengwa ndani ya miaka4?.
Tanzania ya Samia ina viwanda Kila Kona eg hiki Cha Transfoma 👇👇Hivyo ndivyo viwanda elfu30 vilivyojengwa ndani ya miaka4?.
Jikite kwenye hoja
Hivi viwanda vya Samia havina tofauti na viwanda vya Magufuli huwa vinaonekana kwa baadhi ya watu tu wakati kwa wengine havionekani hata bidhaa zinazotekenezwa na viwanda hivyo madukani hazipo zimejaa bidhaa za nje,sijui bidhaa zake zinauziwa kuzimu ndiomaana hazionekani madukani.Tanzania ya Samia ina viwanda Kila Kona eg hiki Cha Transfoma 👇👇
View: https://youtu.be/cKdtZ8Ru-OM?feature=shared
Nenda hapo ukaona hizo si ni location? Vitaonekana Kwa mtu anaetaka kuviona.Hivi viwanda vya Samia havina tofauti na viwanda vya Magufuli huwa vinaonekana kwa baadhi ya watu tu wakati kwa wengine havionekani hata bidhaa zinazotekenezwa na viwanda hivyo madukani hazipo zimejaa bidhaa za nje,sijui bidhaa zake zinauziwa kuzimu ndiomaana hazionekani madukani.
Umesema viko kila kona mbona kwenye kona nilipo havipo?.Nenda hapo ukaona hizo si ni location? Vitaonekana Kwa mtu anaetaka kuviona.
Upo Kona y Mkoa gani nikuoneshe?Umesema viko kila kona mbona kwenye kona nilipo havipo?.
Hahaha bado ninatamani niendelee kuishi.Upo Kona y Mkoa gani nikuoneshe?
Leta jibu la Mkoa wako unaogopa nini Sasa? Mbona Mimi Niko Katavi wewe hujui unakoishi?Hahaha bado ninatamani niendelee kuishi.
Mzee wewe ni chawa wa mama samia kwa hiyo usalama wako ni asilimia mia,pia siwezi nikajua kazi yako ni IPI,suala la kuwa na kitu cha kuitisha serekali watu wasiojulikana wanakijua.Leta jibu la Mkoa wako unaogopa nini Sasa? Mbona Mimi Niko Katavi wewe hujui unakoishi?
Mimi kwetu Mbeya shida Iko wapi? Una kipi wewe Cha kuitisha Serikali Hadi uwe Tishio eti unataka kuishi? 😂😂
Nimekumbuka enzi za jiwe, vi-wonder 100 kila mkoa🤣🤣jamaa alikuwa tapeliAwamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo
========================
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mabadiliko makubwa aliyoyafanya katika sekta ya viwanda nchini.
Akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa kiwanda cha saruji cha Maweni Limestone mkoani Tanga leo Alhamisi Februari 27, 2025, Dkt. Jafo ameeleza kuwa takwimu zinaonesha kwamba, katika kipindi cha mwaka 2019-2021, Tanzania ilikuwa na viwanda takribani 52,000, lakini chini ya uongozi wa Rais Samia, idadi ya viwanda imeongezeka na kufikia viwanda 80,179.
Nawakumbusha tuu kwamba sera ya Kufungua Nchi inalipa na imeleta majibu .👇👇
🚮🚮🚮Mzee wewe ni chawa wa mama samia kwa hiyo usalama wako ni asilimia mia,pia siwezi nikajua kazi yako ni IPI,suala la kuwa na kitu cha kuitisha serekali watu wasiojulikana wanakijua.
Hizi ni enzi za mama ni viwanda kweli kweliNimekumbuka enzi za jiwe, vi-wonder 100 kila mkoa🤣🤣jamaa alikuwa tapeli
Taja vi-wonder vipya vitatu vilivyoanzishwa mkoani mwakoHizi ni enzi za mama ni viwanda kweli kweli
Mkoa upi? Katavi au Mbeya? Sitaki nakuwekea video na picha kabisa.Taja vi-wonder vipya vitatu vilivyoanzishwa mkoani mwako