Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma
Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo
========================
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mabadiliko makubwa aliyoyafanya katika sekta ya viwanda nchini.
Akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa kiwanda cha saruji cha Maweni Limestone mkoani Tanga leo Alhamisi Februari 27, 2025, Dkt. Jafo ameeleza kuwa takwimu zinaonesha kwamba, katika kipindi cha mwaka 2019-2021, Tanzania ilikuwa na viwanda takribani 52,000, lakini chini ya uongozi wa Rais Samia, idadi ya viwanda imeongezeka na kufikia viwanda 80,179.
Nawakumbusha tuu kwamba sera ya Kufungua Nchi inalipa na imeleta majibu .👇👇